JK akimpongeza Ben kwa kuteuliwa na CCM kuwa mgombea urais huko Chimwaga mwaka 1995
Mwalimu akimkumbatia JK na kumpongeza kwa kukubali kushindwa baada ya kura kutotosha. Mvumilivu hula mbivu, wahenga walisema. miaka 10 baadaye JK akala bingo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. I miss Mwalimu Nyerere! Maneno yake ya Busara ambayo ukitafakari unaona umuhimu wa jambo. We miss you Baba!!!

    ReplyDelete
  2. Yalikuwa maneno mazuri sana "KURA HAZIKUTOSHA" HAHAHAHA!!

    ReplyDelete
  3. The hug between JK and BWM was real hug!!! Yaani imeonesha kukubali kabisa matokeo safi sana wana wakuu

    ReplyDelete
  4. Mwalimu we will always miss you Quote: " Ukimpenda mtu kwa ajili ya sura yake mkaribishe kwako unywe naye chai"
    Mwalimu 1995, Chimwaga Idodomia

    ReplyDelete
  5. Hapo chini JK anamuuliza Mwl unaniahadi 2005 zitatosha eheeh!!! Naona Mzee anamwambia ndio mwanangu pata kwanza exposure

    ReplyDelete
  6. Michuzi, mi sijaelewa unaposema miaka 10 baadae akala Bingo!! inamaanisha akapata ulaji poa????? nieleweshe, maana sentensi zako nawe saa nyingine ni tata.

    ReplyDelete
  7. Anonymous September 02, 2008 1:20 PM
    HAPO USICHOELEWA NI NINI? WEWE HATA UKIELEWESHWA VIPI HUTAELEWA. MICHUZI ACHANA NAE MWAMBIE ARUDIE KUISOMA USIKU KABLA HAJALALA KESHO UTAMPA MTIHANI

    ReplyDelete
  8. Huku kwenye blog kuna watu ukisoma comments zao ni kama unawaona usoni walivyo na sura ya wivu, chuki na kila kitu... usichoelewa ni nini? unaonyesha wewe ni mshari na hapa unatafuta mjadala. endelea kutoelewa

    ReplyDelete
  9. Ilikua siku hiyo hiyo moja kwenye hayo matukio mawili au JK hilo ni Lucky charm coat lake? Naona the same coat kwa siku zote mbili.....

    ReplyDelete
  10. Watanzania anzeni kutafakari umuhimu wa kuwa na ushindani wa mawazo na itikadi mbalimbali za kisiasa!Miaka 44 na ushee bado mawazo yaleyale,akili zilezile,mwelekeo uleule,mvinyo uleule japo katika chupa mpya,kwa namna hiyo tusitarajie mabadiliko hata kidogo katika maisha yetu!Fikiria University Graduate wa mwaka 1977 kafanya kazi serikalini kwa uadilifu mkubwa miaka yote hiyo hana uwezo hata wa kujijengea nyumba yake mwenyewe ya kuishi!Akitaka kujenga shurti ajenge kwa pesa taslim(Construction By Cash Basis)kutoka katika mshahara wake ambao pengine ulipanda polepole toka ule wa awali wa shs.1,500/=kwa mwezi labda kufikia shs.250,000/=kwa mwezi mwaka 2008(?).Maendeleo hayo.Mtu akistaafu ni masikini kupindukia na hakuna anayejali.Siasa ndiyo kila kitu.School Failures wameachiwa usukani eti ndiyo wawe viongozi,tutarajie nini?Bado yatahitajika mabadiliko makubwa sana hapa nchini ili nchi iende sawaswa.Si ajabu kwa nini bado tunao ving'ang'anizi kupindukia katika safu za uongozi.Kustaafu hawataki,waende wapi na kila pahali wameshatibua wakidhania watafia maofisini kumbe ipo siku itabidi wapishe vijana waongoze nchi.Ni aibu kubwa!Sioni misingi imara ya uchumi wa kisasa ambayo itamwezesha mtu hata akifikia umri wa kustaafu,aone fahari kupumzika na kupisha vijana.Hapa tulipofikia ukimtajia Mzee yeyote kwamba wakati wake wa kustaafu umewadia hana budi kuachia ngazi,nafikiri anaweza kukumeza mzimamzima!Astaafu,aende wapi,hata kibanda hana?Maendeleo hayo!Tusione fahari watu wenye mawazo yanayo fanana wakipokezana Uongozi wa nchi.Hakuna cha ajabu kitakacho fanyika.Ushahidi gani bado mnasubiri?Hamyaoni wenyewe?Kalageni Baho,Mabozi!

    ReplyDelete
  11. Sio kweli kama Kikwete alishindwa,kulikuwa na ujanjaujanja, wagombea walikuwa watatu Mkapa,Msuya na kikwete na kura zilipopigwa Kikwete akashinda mara wakasema kwamba akushinda kwa asilimia 50 au zaidi kwahiyo uchaguzi urudiwe kati ya mkapa na kikwete na hapo ndipo mkapa akashinda.

    kwa watu ambao wanaelewa ukipiga kura kwa watu 3 nafasi ya Mgombea mmoja kupata kura zaidi ya hamsini ni mdogo sana, sasa kama wao walishajua hilo haikuwa na maana kupiga kura wakati wagombea ni watatu.

    CCM na mambo yao na sera zao za ubabaishaji.

    Mjusi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...