hasheem thabeet flying high. below with actor chris tucker when they met in a-taun
If he finally makes it to the NBA, he will become the first Tanzanian national to ever play in that league. Standing at 7″3 and weighing 272lbs, Hasheem Thabeet is the tallest player ever to play for the Huskies.



He is currently on his third year at the University of Connecticut studying Psychology. He is highly projected to be among the top five overall pick in the 2009 NBA Draft! By all means, he is currently our Tanzania mostly recognizable athlete in North America if not in the world.


We recently caught up with him for a lengthy and detailed interview on his humble beginnings all the way to where he is right now as well as where he is going or wants to go. Hasheem had a lot to say. Check him out @ www.bongocelebrity.com for more

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. I REALLY HOPE HASHEEM WILL MAKE IT TO THE NBA.

    TANZANIANS WE ARE DESPARATE TO HAVE PRO IN ANY SPORTS.

    ALL THE BEST HASHEEM, MAKE US PROUD.

    ReplyDelete
  2. Mimi ningeona huyu kijana atafute personal adviser, atamuelewesha jinsi ya kuwa yeye na kutotaka kuplease kila mtu...Huwezi kuwarishisha wabongo just be yourself...Na pia aache kuhang na cougar...wabongo mtoto mdogo sana huyu ni urefu wake tu lakini kuna papa na nyangumi kwenye bahari ...mimama mikubwa inamng'ang'ania huyu kijana....

    ReplyDelete
  3. dogo hafiki mbali kwa sababu tabia zero na tayari anajiona kashaitoa kumbe ndio kwanza kaanza maana kikapu sio ujuzi tu na tabia inachangia dogo tabia chafu hajui kuongea na watu vizuri na bado mshamba hajazoea mazingira inabidi afuliwe sawa ili afike huko mbele la sivyo haendi popote na starehe za macougar kama alivyosema huyo anony hapo juu anatembea na watu wazima akidhani anawakomesha kumbe anajikomesha dogo inabidi awahiwe mapema kabla hajaaibisha taifa letu maana mara ya mwisho huku bongo kaaribu na tabia yake chafu inabidi watu wazima wamfunde huyu kabla hajafunzwa na ulimwengu.

    ReplyDelete
  4. tunaelewa dogo bado hakijachanganya sawa lakini huko marekani ndio kunaoongoza kwa watu wakubwa kwa nini dogo anakosa nguo za kumtosha size yake kila nguo dont touch.

    ReplyDelete
  5. Acheni njie na roho mbaya zenu,sijuwi wabongo tutaacha lini roho mbaya,hatuombi mbongo mwenzako afanikiwe,unata aribikiwe upate la kusema,Hakimu achana nao wewe endelea ipo siku utafanikiwa,penye nia ipo njia,nimeangalia gemu zako najuwa unaweza katka NBA,kuna wachezaji kibao hata kukukaribia hawakukaribii kiwango chako na wapo NBA,usiwasikilize wajinga jinga.

    ReplyDelete
  6. Huyu jamaa atakuwa kama Dikembe Mutombo enzi zake. Ni bigi kinoma...inabidi awe anagawa matawi hatari alafu anapiga ile 'finger wag' kama Mutombo vile vile...raha sana! Alafu Stern fala kweli akasema hairuhusiwi...aliniboa.
    Yani huyu jamaa ananipa moyo sana. He needs to make nasi tupate jina. Alafu mie nadhani amfanye Mutombo kuwa role model wake. Jamaa fresh sana. Mimi hizi story watu wanazosema sijui kama ni kweli. Lakini hela atakayopata asaidie kama Mutombo naye alivyosaidia Congo. Yani mimi ni supporter wake mkubwa sana! Big Up G

    ReplyDelete
  7. wabongo roho ya korosho itawapeleka pabaya. nyie kazi yenu kuchunguza mavazi mara oh mara eh sasa wewe usiye mshamba nani anakujuwa?? au umefanya lipi??

    taratibuni na mtoto wa watu huyo sio fisadi anatumia nguvu zake nendeni mkalie namafisadi wanaondidimiza taifa lenu eebo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...