JK akiongoza mkutano wa waandishi wa habari ulioandaliwa na mpango wa chakula duniani (WFP) kwenye makao makuu ya UN, jijini new york, leo.Bill Gates wa Bill and Melinda Gates Foundation, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais Paul Kagame wa rwanda, bI. josette Sheeram, mkurugenzi mtendaji wa WFP, na Howard Buffet,rais wa Howard Buffet foundation. picha na John Lukuwi wa Idara ya Habari - Maelezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...