waziri anayeshughulikia jumuiya ya afrika mashariki dk. d. kamala akizindua mchakato wa kusaka warembo wataoshiriki katika fainali za miss afrika uk (tawi la bongo) usiku huu katika hoteli ya regency. wakala wa hiyo miss africa uk organisation ni kampuni ya afro-euro investments yenye makao yake london. mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwakani yatajumuisha warembo waishio ulaya na wataopita katika mchujo utaofanyika bongo. katika picha toka kulia ni dennis ssebo (msemaji mkuu na mkuu wa itifaki), deogratius rweyunga (katibu wa kamati) allan kalinga (mwenyekiti mtendaji) na patrick mattle (mwenyekiti wa kamati ya taifa).
wageni mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo
wadau wakisikiliza hotuba kwenye hafla
mkuu wa wilaya ya nanihii akiwa na mwenyekiti mtendaji wa miss africa uk organisation allan kalinga

Yaani urembo sasa naona ndio fani pekee ambayo wabongo tumeikazania! Mengine hatumo kabisaa!
ReplyDeleteHaya mashindano ya ma miss yanaboa sasa. Kila siku kuna mashindano mapya :)
ReplyDeleteZe Blackzzzzzzzzzzz Ze Fulanazzzzzzz!
ReplyDeleteyeah bongo kwenye michezo hatumo kwenye sayansi hatumo lkn kwenye mamisss mambo wa!
ReplyDeleteyanabowa kweli hakuna jumuiya za maendeleo zinazofunguliwa na kufatiliwa.watu wanatafuta kula tu hapo hakuna chengine
Kinachoshangaza zaidi, urembo wa wanawake ndo biashara za wanaume wa bongo mweeeeeeeeeeeeeee mi hata siju ndo nini....ubunifu sifuri
ReplyDeletenaona watu wamepata njia mpya ya kujitafutia riziki!!! inachekesha sana wadau hapo juu mmesema ukweli mtupu
ReplyDeleteJamani! jamani!
ReplyDeleteKweli kweli hakuna promotions nyingine kabisa TZ?? zaidi ya Beauty contest. Jamani mie sina hata lakusema. Maana hata mistari iliyoko kwenye huu ujumbe inanizingua. E.g.
1) "waziri anayeshughulikia jumuiya ya afrika mashariki" kweli waziri naye anao muda huu?Nachomaanisha ni kwamba, labda tungekuwa a Developed Country, mtu ungesema, maadamu watu hawafi kwa njaa ngoja tujirushe na ku-entertain uzuri. Lakini ukweli ni kwamba nchi ni maskini, watu hawajui watakula nini, na wengine shule hawaijui.Kweli kazi ipo.
2) "fainali za miss afrika uk (tawi la bongo)...yatajumuisha warembo waishio ulaya na wataopita katika mchujo utaofanyika bongo" Yani shughuli yoote hii - time, money, pamoja man power yoote hiyo (i.e. makatibu, wenyeviti etc etc) Kwanini kama nguvu zote hizi wanazo, basi wasimtafute sponsor, atoe sponsorship ya e.g. kutafuta A Talented student from primary schools in Tanzania, akipatikana aletwe, mfano Europe kuendeleza talent yake. au ni kwasababu ubunifu hatuna?
Dah alikuwa mtoto wangu huyu sasa na jeans ya blue naona watu wananichambangia cheki anavyofurahi haya na utambarare wenu mimi tena basiiiiiiii
ReplyDelete