Home
Unlabelled
khadija kopa na mai hazzbendi wake wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ingekuwa kachukua mume wa mtu ama anatembea na mwanamume tuu kwa ajili ya starehe zake binafsi, hapo kweli waosha vinywa mgepata pahala pa kuoshea!! Lakini huyu Bi mkubwa kaolewa (Halali kabsaaaa!!) - sasa midomo ya nini? Hivi vinywa vinaosha namaji yeyote tuu!!!. Hongera Khadija na wengine wafuate mfano wako, na si wafanye uharamia wa kuchukua na kuchuna hao "toy boys" (dRU)
ReplyDeleteTOBA!!! HARUSI YA LINI HII? AU UMELETA PICHA ZA MWAKA 2004 WEWE LILY!!! NDOA YA 5????
ReplyDeleteLAKINI HONGERA DADA KULIKO KUZINI, NA ZAIDI MWEZI MTUKUFU HUU SHURTI UWE MSAFI. UMEPENDEZA SANA SHOSTI!!!!
YULE MWANAMUZIKI ALIYEPATA AJILI YA NDEGE WA HUKO USA ANAITWA ALLYIAH ALIIMBA "AGE ANT'NOTHING BUT NUMBER" MAANA YAKE NI NINI TENA WADAU??? SIJUI MANENO YAKE KWA UNDANI
ReplyDeleteHongereni sana la muhimu mapenzi hayo mengine hayana msingi.
ReplyDeleteYupo ndani ya maadili ya dini yake atakayechukia ajinyonge.
ReplyDeleteLoh! Yahitaji Moyo, asante mdau Lily
ReplyDeleteLoh! Yahitaji Moyo, asante mdau Lily
ReplyDeleteNilikuwa naipenda sana couple yao na Othman Sudi... lakini ndo hivyo. Hongera Khadija mwana wa Kopa... Unaelijua Jiji ipasavyo.
ReplyDeleteKijungu cha ngapi?
ReplyDeleteNothing to say, other than ... IT IS CHILD ABUSE !!! Lol !!!
ReplyDeleteDuuuuu ila kajamaa katafaidii hiyo mimacho ikiremburiwa. Lakini mbona ni kama mwanae?? Jamani umri huu na wa yule marehemu mwanae si ni sawa?
ReplyDeleteumefanya jambo la maana na huu mwezi mtukufu. umpikie mmeo futari, ila halahala na mdomo wako usije ukamsasambula maana mazoea yanatabu.
ReplyDeleteje huyo umempola nani?? fanya mazoezi upungue kidogo usije ukampa kibiongo mtoto wa watu au nae kakomaa??
mmependeza sana na hongera yenu
Mhh!!nini??Hadija kopa kaolewa?basi hata mimi nitapata mchumba wangu,,,na miaka yangu 39..sasa huyo kijana kafuata ATM au ni nini jamani?Hongera sana hadija kwa kukamata kijana wako mtoto wako..mdau Norway
ReplyDeleteMimi kwa ujuml simpongezi hata toneee
ReplyDeleteyaan jimama lote hilo linaolewa na mwanae loooo
kashindikana huyu mama wamipasho
ona picha ya kwanza eti nayeye anaona aibu, aibu gani nawakati kataka mwenyewe kuolewa na mwanae
Ingekuwa mie nibora nikae bila kuolewa loooooooooohuoni hata aibu.
Mdau Manyoni
Makubwa haya.
ReplyDeletethis is gud news!!
ReplyDeleteWala mbona kijana sura imekomaa nadhani sio dogo itakuwa wana lingana bwana au mamaaaa ana baby face... ila couple imetulia hii.
big up kwa wana ndoa
Dada Lao
Lilly jamaa ni mdogo kimwili au nini ? Maanake jamaa huyo kazaliwa 1960 na khadija kopa kazaliwa 1961.
ReplyDeleteWOW,
ReplyDeleteMimi wasiwasi wangu mkubwa ni je huyu dogo atalifikisha hili jimama
kwenye safari ya kutwaa kombe la dunia na kusherekea kwa pamoja kwenye kilele juu ya mlimani kilimanjro au ataishia kuninginia ninginia tu...!!!!!
Mdau,
USA.
Dogo atafaidi masongi kitandani lakini aangalie asije kutembelea mkongojo siku za zake.
ReplyDeleteOngereni maharusi hacheni wivu wabongo jamani hasa akina mama km hujapata subiri na muombe mungu,kuna kipimo gani cha kusema huyu bwana ni mtoto wakati mtu mzima??au kwasababu huyu kopa kajazia ulizeni umri wao kabla ya longolongo zenu mjue wivu unauwa hamjui wametoana wapi.
ReplyDeleteJAMANI HAYA MAMBO YA AKINA MAMA KUOLEWA/KUTOKA NJE NA (VIJANA WADOGO) HAYAJAANZIA KWA HADIJA KOPA..HUKU NCHI ZA WATU TUNAWAKIMBIA AKINA MAMA KABILA HII NA SASA HIVI WANAJUA KUJITUNZA NA WANA MAUMBO MAZURI SIO KAMA HADIJA KOPA NA (SURA NZITO).(HILI WIMBI LINAKUJA KWANGUVU SANA)
ReplyDeleteSuali linalokuja hapa hapa ni je dogo atahitaji kupata watoto?. Kama hana haja ya watoto poa ila kama nia kupata familia yaani watoto ajihesabu maumivu. Biologically menopouse start at the age of 45 for women. Otherwise wamefanya jambo la busara kuoana badala ya kuzini. Ila Jamaa namsifu kwa kweli ana roho ngumu. Yupo kama kandege tunduni vile
ReplyDeleteHaya mambo ya kuchaguliwa rangi ya mashati na akina ma-bibi harusi halafu sisi akina baba tunakubali mara nyingi yanaishia kwenye kuchemka. Ona saha huyu bwana harusi kavaa shati kumechisha na rangi ya ukuta... Tusikubali kila tunachoambiwa wanaume wenzangu. We jiulize, ukimwambia bi harusi avae gauni la zambarau siku ya harusi just because wewe bwana harusi wazipenda zambarau unafikiria atakubali? Wake up guys!!!!!!!!
ReplyDeleteOK, bora maisha!!!
ReplyDeleteQ niseme nini hapa mie!!, nina kiu
lakini lakini mmmh.Haya, nawatakieni ndoa yenye kheri na baraka.
Q
kumbe cougar imeshaingia bongo. That is nice....
ReplyDeleteSioni wanachokiona kibaya hapo kwani wazee wakioa vibaby mbona midomo haifunguliwi?
Dogo chunga uti wa mgongo manake kilima kirefu hicho, kutundika bendera hapo sio mchezo.
ReplyDeletehivi jamani yule mume wako bwana othman waliachana lini mbona sikusikia jamani yule mtunzi wake wa siku nyingi
ReplyDeleteHaluuuu!!!! mambo ya ving"asti yahoooo huku Huston tunaita ADUDUUU!!!! kula raha mama maisha umeyapatia kalee katoto kako!
ReplyDeleteHaloooo!!
ReplyDeleteMama Mipasho umeopoaaa? Eeeh hatari ila salama hongera shosti kwa kujipatia pumziko la roho. Naona jimbo lako la NIMEMRIDHI MWENYEWE ndo wakati wake huooo, kukuruka mtu mzimaaaa!!
Huyo mjamaa wala si KISERENGETI BOY, hamuoni Sura ilivyomshupaa nae?
Kazi kwenu waosha vinywa!!
NYIE WABEBA MABOX HADIJA KOPA ATAWATUNGIA TAAHARABU AMABAYO HAIJAWAHI KUTOKEA ACHENI KUMSIMANGA..HALAFU HUYO KIJANA WALA SIO MDOGO NI MWEMBAMBA..WAKO KARIBIA UMRI SAWA...MBONA KUNA WAZUNGU WAZEE WA MIAKA 65 WANAOWA WANAWAKE WA KIAFRICA WENYE UMRI WA MIAKA 25?MIE HAPO SIONI CHA AJABU HATA KIDOGO...UMRI MZURI WA KUISHI KWA SASA NI KUANZIA MIAKA 45-70
ReplyDeletewadau mimi naweza kulala na huyu Maza one night stand ila vya kuoana lazima aniogeshe VX na RAV4 na kila siku niwe na hela ya kuhudhuria bar niwe narudi home niko tingas everyday.
ReplyDeleteNa asiniletee kiherehere eti lazima tuende kila mahali tukiwa tumeshikana mikono,hiyo ni big NO.Siku nikitoka naye tunaenda mbali sana viwanja sijulikani kabisa
DU WANAMEREMETA KWELI AAAAH! NGOJA NIWAIMBIE WIMBO... Akanana akana........., wana meremeta wanamere......,
ReplyDeletemmmmmh! Natamani nichangie lakini mdomo mzito, inatosha kuwapongeza kwa wimbi tu.
Mdau wa Manyoni hizo si aibu ndugu yangu, hapo keshajikorogea uji wake wa kungu kaunuiziaaaaa atakavyo, ndo matokeo yake hapo kalewa ndugu yangu humuoni hiyo picha ya pili jicho limekuwa zitoooo pamoja na kuwa macho yake ya kuwa anamacho ya kurembua ila ile khabar lazima ameweka (kungu)uliza uambiwe. wanawake wa pwani wanaelewa khabari hizo,ili bi harusi asitie aibu kwa kuhashukwa na kupepeta mimacho kila upande mila zetu nyingi zinafunza hivyo bi harusi ainame chini , we tangu lini kopa akatulizana kama maji ya mtungini, hapo hajiwezi ndo mana kataadab nanna hiyo.
ReplyDeleteMmependeza malkia wa mipasho yote maisha. kuolewa ni jambo la kheri ni vema kuwa na mme wako kuliko kuokoteza okoteza mwisho uje ushikwe ugoni bure,
Wivu kidonda jamani,mbona bi Kopa kafuata suna ya mtume-kuoa au kuolewa nadogo sio kosa.Kikubwa bora mapenzi na isitoshe haanzi yeye
ReplyDeletejamani na BI ZAI kungwi wetu katokea wapi tena?upo juu bi ZAI.Wa waaa.hongereni
ReplyDeleteWANA MEREMETA SI UTANI!!ata kama..
ReplyDeleteHADIJA KOPA V/S MIRIAM MAKEBA
HOngera Taarabu Queen-AU MAlikia wa MIPASHO! kwa Kupata Mume wa NNE,Mtoto wa kiisilamu kuolewa muhimu,Miriam makeba Au MAMA AFRICA! Mwenzio ana mume wa SABA,Malikia wa MIPASHO mkiachana mume unatabia ya KUMSASAMBUA V/s Mama Afrika anatunza Heshima ndiyo maana aliyekuwa Mume wake Hugh Masekela ana msaidia akikwama kifedha .Malikia wa Mipasho Grammy Awards (tunzu) 2 v/s Mama afrika nyingi tena za kimataifa.Hadija kopa Nakutakia kila la kheri jitahidi utukwamua kimuziki.
Bi Khadija anakwambia kabisaa...... "Ni chaguo langu nimemchagua yumo yoni mwaaangu.....sitaki mafumbo " Nanyi hapa mwakaa kumpa mafumbo sijui yumzee sijui yumnene. Ah binadamu tuna mambo.......Michuzi umebana comment yangu
ReplyDeleteBi Khadija umethibitisha usemi aliowahi kusema mwl. mkuu wa Mlimani Shule ya msingi Pendo Kujerwa kwamba "Mtoto wa mwingine mkubwa mwenzio, ukicheza......", wadau malizieni hiyo
ReplyDeleteKhadija acha kuonea watoto wa watu sivyo hivyo shosti utauwa dada. Mdau Hollanda
ReplyDeleteJamani tuleteeni picha za chiken party pia, sio za harusi tu. Chondechoonde tunaziomba sana tuone huyo mwanamwari alivyofundwa.
ReplyDeleteKaka Michu
ReplyDeleteWallah mimate iminitoka, ninatumia fursa hii kumpa hongera dogo na Kopa na vile vile ninatumia nafasi hii kutangaza kutoa drooo!! ninaomba unifikishie salaam zangu za ushenga (wewe) kwa Bi Kidude. Umri wangu kama wako kakaangu!! Hakika mapenzi hayana mipaka nitafurahi kusikia jibu la ushenga huu kwa Bi Kidude. Asiwe na hofu kwani hata mimi ninavuta sigara kwa jaaaamu!! (dRU)
Huyo jamaa anafana na baba yake na Lewis Hamiliton duniani wawili wawili kweli
ReplyDeleteMdau wa Holland umesema kweli maana da Khadija ni vizuri aachie frii staili, lakini akileta zile za kata na kufunua atauwa kweli mtoto watu na wakikufungukia mada usiseme hukuuwa kwa kukusudia. Mademe
ReplyDeleteHongera bi Khadija maana naona umefuata suna ya wajina je na mahali umetoa mwenyewe? mmependeza sana, basi hebu jitahidi huyo awe wa kufa na kuzikana, maana hesabu inazidi mpenzi.Coolmammy.
ReplyDeleteDuuuuuuuuuuuuuuuu nikubali Khadija hiyo kweli mada mweeeeeeeeeeee!!.
ReplyDeleteDa Hadija kumbe mliachana mtoto wa bi dedi, yule mlipendeza sana tena, na huyu ata haiji, kama wanavyo sema wadau wenzangu unamuonea bwana, hadija acha izo sivyo mamalikia hawawi hivyo, wanakuwa na huruma kwa watoto. mwana Ilala.
ReplyDeleteNjaa, Njaa, Njaa, bwana mdogo hana dili kaamua kujichukulia bibi la Mipasho. Sura nzito kama nini.
ReplyDeleteBrother umechemsha kwani ungeweza kuwa unajipigia kwa pembeni na kuvuta kidogodogo kuliko kubeba jizee mojakwamoja.
Inahitaji moyo lakini kuivalia njaa kibwebwe.
Labda huyo bibi kizee kwako wewe ni Whitney Houston.
Huna dili bwana mdogo tafuta maisha ya kweli.
HIVI NYIE MBONA HAMPENDI KUJUA UKWELI HALIsI WA HABARI? Kwanini msimuombe michuzi hawatafutie umri wao.
ReplyDeleteHabari za huakika ni kwamba huyo jamaa kamzidi khadija kopa ki umri kwa mwaka mmoja sasa sijui mnapiga domo kwanini.
Anonymous wa 8.14 we nani kakwambia umri wao, ka si umbea. watu wengine bwana!!!
ReplyDeleteHalafu siku nyingine kabla ya kutuma comment preview kwanza, sio HABARI ZA HUAKIKA ni "HABARI ZA UHAKIKA.
Watu hawapigi domo ka unavyosema, wanatoa hisia zao, sasa sijui wewe inakuuma nini.Hayakuhusu kabisa.
Wanameremeta ndiyo mara milion ..
ReplyDeleteNamshukuru mdau aliyeandika Malikia wa Mipasho v/s Mama Africa, nimefuatilia maisha ya kina Mama hawa yametaka kufanana.Swali kaka Michuzi na wale wanaofahamu english:*Nimesoma aliyekuwa Mume wa Miriam Makeba ni LIFE HUSBAND Hugh Maselela,* Nani LIFE HUSBAND wa Hadija kopa?Nini maana ya LIFE HUSBAND/WIFE Mtu mwenye sifa gani anapewa cheo hicho????
watanzania acheni tabia ya majungu na kashfa ndio maana hatuna maendeleo. kuweni kama mmekwenda shule.hakuna haja ya kupiga maneno machafu na kashfa bi khadija kopa. kila mtu ana choice yake kimaisha. we only live once.let her enjoy her life while she is still alive.hongera mama. u look faboulous na ur hubby wako. wish u fantastic life and happiness
ReplyDeletePunguzeni hasira hii ni Blog ya Jamii,ya kuelimisha,Mimi ktk kufuatilia habari ya mdau,Malikia wa Kupishana V/s Mama Afrikana ktk Miriam Makeba-Weekpedia encyclopedia.Nimekuta neno hilo Life husband Mtu ambaye aliachana naye!!ina maana Mke/mume aliyeolewa mara nyingi kuna hilo?? kama hicho ni cheo nani? anakitoa Mwolewaji au Mwandishi wa habari???
ReplyDeleteMdau,uliyeuliza swali?jibi huyo hugh masekela ameitwa Life husband nafikiri kwasababu Mama afrika alimlipia nauli kwenda U.S.A kwenda kumwoa.life husband wa malikia wa Mipasho Soma www.khadija kopa-week peia utaona mtoto wa bi dedi anaitwa .....kwani Dogo ni kwaajili ya mwezi mtukufu.
ReplyDelete