Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. 1957 mpaka 2008!! watatosha kweli hapo shuleni?
    labda wakutane viwanja vya jangwani LOL

    ReplyDelete
  2. Dah!

    hao washkaji wana hasira kama wamasai.. yaani walichoma shule yao moto aisee!?

    how could someone possibly do that?

    ReplyDelete
  3. Michu mwambie huyu dada mbona papo kwa hapo. Wangepanga tarehe ambayo inatupa muda tupange safari kuja huko. Kuna wanatambaza wengine tupo huku mbali.

    Mwanatambaza
    Visiwa vya Tonga

    ReplyDelete
  4. Huyo Jacqueline-kontakt peson anatoka wapi?
    Origino Tambaza ni ya wanaume bwana!
    Hao wakina Jacqueline ni "Tambaza Masalia" hao.

    ReplyDelete
  5. Lengo ndo hilo WASITOSHE....mpaka wadau waseme duu kweli huu ndo mziki wa TAMBAZA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...