
Ebwana michuzi,
wape wadau kitu hicho!
Mchoraji wa hii katuni(almaarufu kama 'zapiro') amewakuna sana wadau wa siasa kiasi cha kuanzisha mjadala mzito, wengine(wahusika kwenye katuni and they supporters) wakimlaumu kwamba mchoraji amecross the boundary of freedom of press huku wengine wengi wakimsapoti kwa usanii wake.
Jamaa ni legend katika swala zima la kutumia katuni kufikisha ujumbe.More info about the cartoon na mzozo iliozusha check on
zapiro-in-zuma-cartoon-uproar
Kazi kwenu kina kipanya,
tupeni vitu vizito.
Mdau Cape Town


Michuzi naomba nikaripie hii katuni kwa kudhalilisha wanawake, nakuomba uitoe hii katuni haraka iwezekanavyo kwenye Blog yako, vitendo vya kudhalilisha wanawake kwa kutumia katuni vikemewe kikali naomba wanawake na wanaume popote mlipo kutoruhusu katuni zinazovuka mipaka na kudhalilisha wanawake.
ReplyDeleteshukrani kwa kutupa vitu vikali vya zapiro, huyu jamaa ni gwiji wa siku nyingi na amedhihirisha umahiri wake, kwa wale wanaokumbuka issue ya mzee Zuma na shower kuprotect aids, nafikiri hiyo caption ingekuwa 'go for it shower boy'. Kipanya anajitahidi lakini bado sana itabidi ajitahidi sana kwasababu yeye na zapiro ni sawa kulinganisha manchester united na simba au yanga!itabidi angalau afikie zamalek ya misri!
ReplyDeleteNyingina ya Zapiro ni hii
ReplyDeletewww.mg.co.za/zapiro/fullcartoon/2097
huyu jamaa ni mkali.Kipanya kaza belt!!!!
Wewe mdau wa South Africa kwa taarifa yako kipanya na wenzake hapa nyumbani Tanzania wanatumia uchoraji wao wa katuni kwa kuheshimu jinsia, huwezi kuwapa changamoto kwa kutumia ubakaji wa wanawake kuendeleza fani ya katuni.Inaelekea wewe mdau wa South Africa swala la ubakaji limekufurahisha sana kiasi ukaamua kushare kwenye blog,ushauri wangu kama limekufurahisha lifoward kwa wazazi wako labda watakuunga mkono.
ReplyDeletenaona anon wa wa 7.30 pm hujaielewa vizuri hii katuni dhana yake ni kubwa mno kuielewa kama utakuwa unatafakari kwa juu juu. Katuni hii inaonyesha vitu vingi sana ikiwemo kutetea haki.Ukichukulia kwamba huyo mwanamke pamoja na kitambaa na mizani ni international symbol ya justice, na historia ya bwana zuma ya kubaka huko nyuma na vitu vinavyotokea sasa africa ya kusini, bwana Zapiro in fact anatetea haki za wanawake.KWENYE HIYO BLOG ya africa ya kusini aliyorefer mdau hakuna aliyesema kuwa inazalilisha wanawake.Hizi katuni na art kwa ujumla ni fani ngumu!!
ReplyDeleteVery powerful cartoon. Ujumbe umewafikia walengwa. Ujumbe hauna lengo la kumdhalilisha mwanamke bali kumtetea. Justice system has been destroyed/ignored (thrown to one side) through collusion au utter ignorance ya vyama vya ushirika na siasa kama mchoraji anavyoonesha.
ReplyDeleteSteveD.
wewe anon wa kwanza hata mimi nikiwa mwanamke nimependa hii catoon ni kweli yanayo fanyika huko bongo hao ma miss wenu si wanalalwa na hao wanao waita masponsa wao na hata ukiomba kazi vilevile boss anataka uroda kipi cha ajabu so nyamaza na mwache msanii atoe ukweli unaofichwa uonekane napenda kazi yako kaka wanikumbusha saidi bauji wa sani na asante michuzi kwa kutuletea hii.
ReplyDeletemboni Zuma eshambaka tayari uyo justice system???
ReplyDeleteyuko free kifua mbele