Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. jamaa ni "politics cartoonists" naikubali kazi yake kiukweli.
    Hapa naona Jei Key ana kazi kubwa kwelikweli ya kurudisha imani kwa wananchi,
    mwanaharakati

    ReplyDelete
  2. Mi nadhani mwanacartoon anafikiria mbali sana..Hawa jamaa huwa ndio tabia zao. Huku mwanzo wanaboronga na kuwafisadi wananchi kwa sana tu,Ikifika kipindi cha kukaribia kula vijisenti wanatembelea wananchi na kuwapa ahadi za hapa na pale. Mi nadhani kipindi cha pili kabla hakijafika ujipige bao mwenyewe na kuwaeleza wanaokupa kura kwamba unahusika pia kwenye issue za Rada na zile zingine unazozijua mwenyewe.Hii ya kutafuta ushoga na mzee wa bush wa kule mirekani na kumbinafsisha kule Mbugani kwa misingi ya kuwekeza bado tunaifuatilia kwa makini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...