Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ndio Tanzania Zaidi tuijuavyo Kp unadhani hata hapa Dar wapo wanapitisha chai kavu bora hata hao wanapata mhogo.Jamani Maisha Magumu Cjui ni Masha bora gani hyaaaa Maskini twazidi kuuwawa na dawa zao wao hawafi Ng'ooooo
ReplyDeleteAcha Mtanzania Kp unadhani haya ndo Maisha bora kwa kila Maskini wapelekeni watoto wenu wafe afya yenyewe mgogoro ukila chai Andaz moja ukikimbia hapo kimeisha usiku ugali au wali na miguu ya kuku au utumbo wa kuku tutaacha kufa na kuzimia na hizo KP zao ,Wao hawawez maana msosi mezani full ma balance diet ohooo wewe ukila papai ndo mlo
ReplyDeleteNDUGU YANGU WEEE!! WANAOKULA MIGUU YA KUKU MBONA POA SANA.
ReplyDeleteUGALI NA BAMIA LA KUCHEMSHA TU ( MLENDA ) BAADA YA HAPO KOMBE LAKO LA MAJI NA KUJIPUMZISHA. KUNA BALANCE HAPO .
Kudadeki kweli wajinga ndio waliwao, Yaani Serikali inatumia katuni ktk kuyeyusha issue nyeti kama hii na wale wale wajina wanaunga mkono!
ReplyDeleteUnataka kusema wale watoto wote walio zimia walikuwa hawajapata mlo ulio kamilika? Tusifanyane wajinga hapa, Fanyeni uchunguzi wa kisayansi na kutuletea majibu yalio kwenda shule.
Msilete propaganda hapa na kuficha uozo wenu. Ni lazima kuna kitu kimetokea na tunataka kujua ni nini haswa. Isije ikawa kama enzi zile za vyakula vyenye sumu na vinapitishwa tu Tanzania baada ya wachache kupata 10%
Paragraph ya tatu anon. wa nne, na wamehakikisha zoezi lao linakamilika kikamilifu, maana wale watoto wadogo chini ya miaka 10, ambao hawakupelekwa na wazazi wakihofia madhara kwa watoto wao, wamewafuata tena mashuleni ma kuwachoma sindano na kuwamezesha matone na dawa huko huko bila idhini za wazazi, sasa naona wazazi hatuna tena uhuru wa kuwalinda watoto wetu na yale tunayoyaona hayawafai. kama wakikuta mtoto hana wino kwenye kidole cha mwisho wanajua huyo bado hakupatiwa wanampatia palepale ili wahakikishe walilolipanga limetimizwa, mimi najiuliza mbona sasa hili zoezi linataka kuwa kila mwaka sasa. kulikoni jamani mnaoelewa tutoeni wasiwasi na watoto wetu, inatukosesha amani sana hizi chanjo za kila mwaka????????????
ReplyDelete