BRIAN SAMWEL MUGENDI

MTOTO WETU,


NI VIGUMU KUAMINI KAMA KWELI UMEONDOKA KATIKA DUNIA HII MTOTO WETU BRIAN ,LAKINI TUNAAMINI KIMWILI HAUPO NASI LAKINI KIROHO UPO NASI.

TANGU UMEFARIKI, BRIAN, SEPTEMBER 4 ,2003 NA LEO HII UMETIMIZA MIAKA 5.

UNAKUMBUKWA NA MAMA YAKO MPENZI VERONICA KESSY MHETA PAMOJA NA BABA YAKO SAMUEL MUGENDI OBAIGWA

BABU DK.KESSY MHETA NA BIBI YAKO MWL.BEATRICE DUNGUMARO WA CHANG’OMBE MADUKA MAWILI,DAR ES SALAAM,


FAMILIA YA ASKOFU JOHN SIMALENGA, FAMILIA YA MR &MRS SAMUEL HAGGU

FAMILIA YA MR &MRS DAVID DUNGUMARO WA JAPAN
FAMILIA YA DK.ESTHER DUNDUMARO
FAMILIA YA MR&MRS STEVEN MHINA

PAMOJA NA KAKA ZAKO NA WADOGO ZAKO, ROSE HAGGU, BERVELINE HAGGU, WILLIAM MHINA, ROMIO WA JAPAN, WILLIAM CLOUD.

Bwana ametoa, na bwana ametwaa

jina la Bwana lihimidiwe.
Amen...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Malaika wa Mungu. He was very cute. Mungu amlaze mahali pema peponi na kuwapa faraja kwa kumkosa kipenzi chenu. Poleni familia ya Brian.

    ReplyDelete
  2. Poleni, Poleni sana! Najua hakuna kitakachofuta huzuni yenu hata ipite miaka mingapi. Ila Mungu wetu awape nguvu na faraja, mukijua kuwa Brian yuko mbinguni akifurahi na malaika na watakatifu ambao wamekuwa wakimpendeza Bwana tangu kale. Rest in PEACE BRIAN - OC

    ReplyDelete
  3. Poleni wanafamilia Mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu. RIP Brian.

    ReplyDelete
  4. POLE MWANANGU VERONIKA NA FAMILIA YOTE, MUNGU NA AZIDI KUWATIA NGUVU , HUKU MKIJUA NA KUAMINI KUWA BRIAN YUKO MAHALI PAZURI AKIFURAHI NA MALAIKA WA MBINGUNI.MAMA UPENDO

    ReplyDelete
  5. Poleni sana na mwenyezi mungu aiweke roho yake mahala pema peponi.Kwani huwezi kujua na huwezi kulalamika kwanini Mueza amemchukua kiumbe chake mapema ni mapenzi ya Mungu.

    Kenge

    ReplyDelete
  6. Pole mpenzi wangu Vero, na Dungumaro wote,mungu awatie nguvu wakati mnapomkumbuka mpendwa Brian,From Mrs H.Mtebene

    ReplyDelete
  7. Ingawa siifahamu familia ya marehemu wala marehemu Brian, lakini ni huzuni kubwa kumpoteza mtoto mdogo kiasi hiki. Nina muomba mwenyezi mungu awape familia ya marehemu Brian nguvu zaidi ya kuweza kukabiliana na msiba huu.

    Mungu ametoa na Mungu ametwaa. Tunakuomba uilaze roho ya Brian mahali pema peponi.

    MZAZI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...