The Fashion show is at the Museum of London and Not Natural History Museum.
Times are as given on the link below, and Ally Rehmtullah will showcase on Friday and Saturday at each of the 4 time slots. http://www.museumoflondon.org.uk/
English/EventsExhibitions/Events/FashionDiversity.htm
Show timesFriday 19 September 1-1.40pm and 3-3.40pm
Saturday 20 September 1-1.40pm and 3-3.40pm
Location
Museum of London
London Wall
London EC2Y 5HN
Note: Museum entrance is located on a pedestrian high walk which can be reached by stairs, escalators or lifts from Aldersgate Street; London Wall; or St Martins-le-Grand.
By tube
BarbicanSt Paul'sMoorgate
By bus
4, 8, 25, 56, 100,25, 172, 242, 521,
Salaam,
D.
-------------------------------------------------------
Michu,
Asante sana kwa kuniwekea tangazo la kumtangazia mwenzetu anayefanya vitu vyake katika anga za fashion. Ninaomba uweke maelezo haya kwa wakosoaji wa grammar aka 'gramar', au 'glamal' kama tunavyosema kule kwetu tusiojua kutumia 'r' na 'l'.

Ukweli kwa paragraph nilizounganisha ndio kosa. Hii nilituma kama ujumbe mfupi, kama intro na ilitakiwa iwe hivi;
Today, I managed to catch up with the Tanzanian fashion icon,who is making history by being the first East African to showcase at the London Fashion Week.

Baada ya ya hiyo intro, nikasahau kubonyeza 'enter', na nikaanza habari yangu katika 'present tense'. Hilo ni kosa langu, na ilitakiwa niweke huo ujumbe katika bold au/na italic, mtu aelewe vizuri.

We meet at Leicester Square, famous for Movie Premiers,and it just happens a red carpet is being prepared to be rolled out. It is not for Ally Rehmtullah, but hey,at this pace, he might get a red carpet roll-out in London, Paris,Tokyo,New York or even Milan in the near future.

Mtu aliyeweza kusoma habari yote ndio angeweza kuelewa kinachoendelea.
Habari yote nimeandika katika present tense (kasoro intro). Ila Mh. Mbunge wa nanihii ukaminya link (lakini hata bila kuweka link, kosa ni langu kushindwa kutofautisha paragraph), ila ndugu Haki na Michu jnr. wameweka link kuweza kuonyesha habari yote.
Na ndugu TZUK alielewa habari, akaweka habari kivyake, link hii hapa;
http://www.tzuk.com/index.php?option=com_
eventlist&Itemid=35&func=details&did=14

Kati ya yote, cha muhimu sana, show ni saa tatu usiku (2100hrs). Twendeni tukampatie mwenzetu tafu. The guy is putting Tanzania on the map positively whether you like it or not.
Natural History Museum,
Cromwell Road,
London SW7 5BD,
UK.
Nearest Tube Station: South Kensington

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. HILI SI DARASA LA KIZUNGU cha UK
    kwa sababu lugha si yetu ndiyo maana siwezi kukupiga madongo(makosa bado yapo-dhahiri).Tatizo watu (wabongo) wengi bado wana fikra kuwa kujuwa(kuongea na kuandika) ung'eng'e ni maendeleo na usomi.Nachojuwa na ninachoamini english ni lugha kama kilivyo kiswahili,kihangaza nk.
    Ninachokushauri ndugu yangu ni kuwa unapotowa(report) habari ya tukio fulani ni vizuri ukatumia PAST TENSE sababu kuna wajuaji wengi.Na unapotowa hadithi unaweza kutumia both PAST na PRESENT TENSE kutegemea na unachosema.

    ReplyDelete
  2. Sawa tunakuja huko South London, Natural History Museum,SW7.

    Je kiingilio kipo? ili tuje kisawa sawa, maana hatutaki kuumbuka. tupe information zaidi, usichoke kwa maswali maana ktk link zako hakuna habari za kiingilio au kama ni bure utupashe kabisa. Next time acha kuposti habari nusu-nusu, meneja/mshikaji wa Remtullah posti tangazo lililojitosheleza ktk shughuli muhimu kama hii. Acha kutuzuga kutu lazimisha tuijue website yako meneja/mshikaji, hapa ktk blogu yetu tunataka habari/tangazo kamilifu bila links zenye blank pages na habari nusu.

    ReplyDelete
  3. "We meet at Leicester Square"

    GRAMAR/GRAMMAR/GLAMAL hiyo mzee, maelezo mengi lakini bado una boil

    teh teh teh teh...he he hehe...

    ReplyDelete
  4. Balozi na Mkuu wa wilaya nani hii,
    mbona habari za eneo la maonyesho ya Ally Remtullah kila mmoja anasema kivyake?

    tangazo moja nimeona humu ktk blogu mara Natural history Museum saa 21:00 hours South Kensington London SW7.ijumaa tarehe 19.sept 2008.

    Mwingine ktk hii blogu anasema showcase venue ni Museum of London ,London Wall,London EC2Y time 1-1.40pm na 3-3.40pm, ijumaa tarehe 19.sept.2008.

    Tunaomba uhakikisho wa venue na time toka kwa waandaaji halisi wa show na sio wadandiaji kama TZUK na jamaa ktk picha.

    Mdau
    London, UK.

    ReplyDelete
  5. We ndugu kumbe umemaindi... take it ease dawg!.

    "We met..." na sio "We meet". Acha kutunganyia tense hapa!

    Jibu tena na hii basi :)

    ReplyDelete
  6. Mimi naona ungeminya tu...Kwanini uweke kwa present tense? Je mnakutana kila siku hapo mahali?

    Kosa sio lako....honesty kwa watu waliosoma elementary education tanzania befofre 1995 kama hukusoma international school sio kosa lako ni kosa la walimu...Walimu wenyewe hawajui kiingereza

    Taabu inakuja vijana wa siku hizi wanavyo hamia nchi za nje na poor grammar zao halafu wanaanza kuiga kuongea kidhungu cha wenyeji.....toooba ndio hayo tunayaona

    ReplyDelete
  7. Ungeandika KISWAHILI taabu yote ya kurudia rudia isingekukuta mwanawane, humu kuna walimu wa lugha na wachambuzi wa lugha mwanawane. Cha msingi usingejibu maana kukosolewa maana yake watu wamesoma ujumbe wako. Wasingesoma usingeona comment hata moja. Ila tatizo letu sisi hatupendi criticism ya aian yoyote hata kama tumekosea tutatafuta mahala pa kujitetea, haya bwana wee! Tutakuja tuone vingwamba hivyo.

    ReplyDelete
  8. nimesoma kidogo ingilishi sasa najaribu kuuliza suali kama hivi

    "so how many times did you try before you MANAGED to meet him?"

    ah kiingilishi nami nataka kusema kiingilishi

    ReplyDelete
  9. Hata kama unge weka ENTER. Kama umekosea kwenye mstari lazima watu wangejua tuu kaka angu. Na ndio tumeelewa lakini yale mistakes yako pale pale nowhere to go. Just remember in future to use Past Tense in the Past and Present Tense in the future. You shall be alright.

    ReplyDelete
  10. Ndugu yangu bora ungelikaa kimya maana naona unazidi kujichimbia shimo, english yako ni ndogo na kuna watu tele hapa wapo wanangoja tu mtu afanye makosa kama yako waanze kumcheka na kumkosowa. kwa upande mmoja hongera kuwa unajitahidi kuinua kiwango chako cha english. la pili usivunjike moyo kwa maneno ya watu, wote hao wamejificha mbele ya computer screen zao watasema watakalo

    ReplyDelete
  11. Anonymous said...
    Ndugu yangu bora ungelikaa kimya maana naona unazidi kujichimbia shimo, english yako ni ndogo na kuna watu tele hapa wapo wanangoja tu mtu afanye makosa kama yako waanze kumcheka na kumkosowa. kwa upande mmoja hongera kuwa unajitahidi kuinua kiwango chako cha english. la pili usivunjike moyo kwa maneno ya watu, wote hao wamejificha mbele ya computer screen zao watasema watakalo
    >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
    Kurekebishana ni lazima, sio kuchekana. Hakuna alomcheka bali kambiwa ukweli. Sasa wewe umejuaje kama english yake ndogo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...