Mh. Balozi,
naomba uwawekee dada zetu wanaopenda kujichubua video hii waone madhara
MDAU PN
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Weweeeeee acha hizo dada zetu waone....mbona usiseme watu waone????Hawa wanaume tunaoawaona wanajichubua wao sio watu au haiwahusu?
ReplyDeleteAcheni kuwa sexism.
I watched the video clip! Its insane, yaani hawaoni aibu kabisa kujichubua, if anything wanafanya kila mbinu for 'the skin to peel off' and are proud of it. Tuombee Tanzania isifikie hatua hio maana ni hatari kabisa.
ReplyDeleteMi ni mdau niliyetuma hii habari kwa Mh. Balozi. Nakubaliana na mdau wa kwanza kuwa kusema dada zetu may have come off as being sexist considering that men are getting into skin-bleaching too. I did not intend to offend women in any way; it was more of a natural reaction sababu tumezoea kwa kawaida tatizo hili kwa sisi watanzania lipo predominantly amongst wadada kuliko wakaka. Inagwa siku hizi mambo yanabadilika kidogo na tunashuhudia hawa wanamuziki wa bendi fulanifulani za Bongodance wakijichubua bado; ila kiujumla tutakubaliana tatizo hili ni kubwa zaidi kwa dada zetu; either way, natumaini ujumbe utamfikia yeyote anasikia.
ReplyDeleteHii video ni kutoka Jamaica. Hawa wenzetu toka Caribbeans and West Inidies, ukoloni na utumwa umewatawala sana akilini mpaka leo; kutokana na kuwa exposed katika unyanyasaji na ubaguzi mkubwa wa rangi. Asilimia kubwa hawapendi kabisa weusi na ukiwa dark-colored skin wanakudharau. Pia wengi wao wanatudharau waafrika ingawa nao wametokea hukohuko. Ndio maana kujichubua kwao ni tatizo kubwa kwa wote wanawake na wanaume. Mtu mwenye ngozi nyeupe ndio anapendwa zaidi na watu wa jinsia nyingine. Na sio katika masuala ya mapenzi tu; hata katika kazi, n.k. Ukiwa na ngozi nyeupe, chances za kupata dili ndogo nsogo ni kubwa zaidi ya ukiwa chausiku!!