Home
Unlabelled
libeneke la taswirazzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ningekuwa!
ReplyDeleteNingeiweka hiyo ya pili!
Mawingu yanaonekana kwa huzuri zahidi! na pia jengo lenyewe linaonekana kama limelala hivi ambayo ni picha nzuri sana.... picha kama hizi kwambali inaonekana kama zile za 3D... kuliko hiyo ya kwanza ambaye imelala kidogo.....
Mtu yuko karibu na anaonekana zahidi sema sio alive sana kama ile ya kwanza kwasababu watu wanaonekana wengi wanaojishugulisha....
Mi naona ya kwanza inafaa zaidi, kutokana na mwanga wa jua , ya pili inakuwa na ukungu kidogo ukilinganisha na ya kwanza then kuna uhai zaidi
ReplyDeleteNingechagua ya kwanza kwa sababu ina rich colours. Hata hivyo ningependekeza ifanyiwe marekebisho kwenye Photoshop kulifanya jengo lisionekane kama linaloanguka.
ReplyDeleteLocation ya watu kwenye picha ya juu ni nzuri, tofauti na uwepo wa huyo bwana hapo kwenye foreground (picha ya chini).
Usisahau kutupatia comments zako mkuu