katika kuendeleza libeneke la taswirazzz ambalo limeleta chachandu mpya katika globu hii ya jamii, na mie naomba niwasilishe hizi mbili na kuomba 'walevi' wenzangu wa picha kutoa kasoro ama maelezo. katika hizo mbili naomba kuuliza endapo wewe ndiye mhariri utaitumia ipi na kwa nini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ningekuwa!
    Ningeiweka hiyo ya pili!
    Mawingu yanaonekana kwa huzuri zahidi! na pia jengo lenyewe linaonekana kama limelala hivi ambayo ni picha nzuri sana.... picha kama hizi kwambali inaonekana kama zile za 3D... kuliko hiyo ya kwanza ambaye imelala kidogo.....
    Mtu yuko karibu na anaonekana zahidi sema sio alive sana kama ile ya kwanza kwasababu watu wanaonekana wengi wanaojishugulisha....

    ReplyDelete
  2. Mi naona ya kwanza inafaa zaidi, kutokana na mwanga wa jua , ya pili inakuwa na ukungu kidogo ukilinganisha na ya kwanza then kuna uhai zaidi

    ReplyDelete
  3. Ningechagua ya kwanza kwa sababu ina rich colours. Hata hivyo ningependekeza ifanyiwe marekebisho kwenye Photoshop kulifanya jengo lisionekane kama linaloanguka.

    Location ya watu kwenye picha ya juu ni nzuri, tofauti na uwepo wa huyo bwana hapo kwenye foreground (picha ya chini).

    Usisahau kutupatia comments zako mkuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...