
Washiriki wa mafunzo ya jinsi ya kutunza amani kutoka nchi zilizoathirika na vita barani Afrika wakimsikiliza Kanali Yasin Lyellu wakati akitoa mada kuhusu wajibu wa Jeshi wakati wa kufanya oparesheni za Umoja wa Mataifa za kuimarisha amani . Mafunzo hayo ya siku 12 yanayofanyika katika Hoteli ya Beach Komba jijini Dar

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya jinsi ya kutunza amani kutoka nchi zilizoathirika na vita barani Afrika wakimsikiliza Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Nasser Mwakambonja (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu majukumu ya Polisi katika uangalizi wa amani kwenye umoja wa kimataifa . Mafunzo hayo ya siku 12 yanayofanyika katika Hoteli ya Beach Komba jijini Dar

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya jinsi ya kutunza amani kutoka nchi zilizoathirika na vita barani Afrika wakimsikiliza Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Nasser Mwakambonja


Washiriki wa mafunzo ya jinsi ya kutunza amani kutoka nchi zilizoathirika na vita barani Afrika wakimsikiliza Kanali Yasin Lyellu wakati akitoa mada kuhusu wajibu wa Jeshi wakati wa kufanya oparesheni za Umoja wa Mataifa za kuimarisha amani.
Picha zote na mdau Shabani Msangi wa Jeshi la Polisi
HAWA POLISI SI NDIO WALE WANAOKWENDA NA SILAHA KUDHIBITI WATOTO WA SHULE ZA MSINGI WANAPODAI HAKI ZAO! SI NDIO WALE TULIOWAONA ZANZIBA WAKIPIGANA NA BAISIKELI WAKATI WA MAANDAMANO! NA SI WALEWALE WANAODHIBITI UPINZANI USIPATE HAKI YA DEMOKRASIA! SASA WANAKUJA NA JIPYA GANI? WANATAKA KUTUAMBIA KUWA WATAACHA KUMTUMIKIA BWANA? MBONA WAMESHA ANZA KUNYANYASA UPINZANI HUKO TARIME.
ReplyDeleteSemina kama hizo ni muhimu sana kwa wenzetu barani afrika ambako tofauti za kikabila na za kidini bado ni tatizo kubwa sana.Nashauri ziendeshwe mara kwa mara katika mifumo tofauti zikihusisha vijana wengi zaidi kutoka nchi mbalaimbali barani afrika hususan toka kule ambako mapigano ya mara kwa mara bado yanafukuta.Ikiwezekana,baada ya mafunzo au semina kama hizo,vijana hao wapewe fursa japo kidogo ya kuishi uswahilini katika kona mbalimbali za tanzania ili wajifunze jinsi watanzania walivyoweza kujenga uvumilivu na upendo baina yao na kuishi pamoja bila kubaguana kwa misingi ya kikabila,rangi,jinsia,kidini,tofauti za elimu au utajiri.Huu uwe mchango wetu katika kujenga misingi ya umoja wa kweli wa bara la afrika katika vizazi vijavyo.
ReplyDeleteserikali ikiwa inawajibika kama hipasavyo na ufisadi ukipigwa vita sizani kana kuna haja ya kuwa na mashaka kuhusu amani,ila kwa kuwa serikali inafanya kinyume ndo maana kuna semina za kizushi, uliona wapi watu wakafundishwa kuhusa amani, hao wote wanaoshiriki hiyo semini ni vipasati vya ufisadi tuondoleeni unafiki hapa
ReplyDeleteMbega mweupe