mai shemeji wangu alma liongo nimemkuta freshi kabisa, halafu kawivya huyo acha! ulaya ulaya tu, dah! ila anawasalimu sana na anamlaani aliyenichapa fulanazzzzz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. ACHA KAMBA MICHUZI, FULANAZZZ WANGEKUCHAPA SIDHANI HATA KAMA DEGE LINGEWEZA KUPAA PALE JKN EAPOTI...ILE FULANAZZZ INA KIPAPAI, KAMA VILE YULE MBUNGE WA ZAMANI KUWAYAWAYA S. KUWAYAWAYA NA MANGUO YAKE MEKUNDU KAMA NYONYA DAMU.

    NAOMBA KUWAKILISHA

    ReplyDelete
  2. Hiyo fulanazzz tutairudisha kimya kimya kama tulivyoichukua...tunaiangalia ina nini hadi unaipenda kiasi hicho na kama inahusika moja kwa moja na kuteuliwa kuwa balozi wa nanihii...mwambie Shemejiyo tutairudisha!!!

    ReplyDelete
  3. hello michuzi,vipi mbona na makoti?Winter imeshaanza ujerumani?mbona mmevaa makoti makubwa jamani...

    ReplyDelete
  4. Michuzi wewe tunaelewa kuwa unakoishi hali ya hewa ni ya joto mwaka mzima, lakini shemeji yako huyo muda wote aliokuwa ujerumani september anavaa koti hilo?
    Sasa ikifika january atavaa nini huyo ,hata umri wake haumruhusu kabisa vijana hawasikii baridi kiasi hicho.
    Mdau wa TOKYO.

    ReplyDelete
  5. we anonymous wa Tarehe September 27, 2008 9:15 AM acha ushamba Europe sasa hivi ni Fall na kuna kabaridi kwa mbali kwa hiyo kuvaa makoti ni kitu cha kawaida ikifika winter ndiyo unaongezea na magloves,kofia,skafu na vingine kutegemeana na mwili wako unavyoimudu baridi.
    mdau sweden

    ReplyDelete
  6. MWENZI WA SEPTEMBER TENA HUU KIBARI KIMESHAANZA NA KAKA MICHUZI LAZIMA AVAE UZURI KWANI KATOKA KWENYE JOTO SASA BARIDI NDOGO TU KWAKE NI KUBWA NA INAWEZA KUMLETEA MADHARA IKIWA HATOVAA UZURI.

    ReplyDelete
  7. Fulanazi hipo Mlingotini,Bagamoyo?!
    watu wameiona,Bagamoyo.

    ReplyDelete
  8. alma dada mzima? habari za siku tele? nilimuandikia email huyo balozi wa nanihii akupe contanct zangu naona kimya au kanibania nini? haya dear nimefurahi kukuona tena na kujua kuwa u mzima,
    ni mimi mama ....._ UK
    (enzi za kujisomea block A. 1991)

    ReplyDelete
  9. Michuzi mshikaji anaogopa kubanwa na mshipa wa ngiri ugenini , lazima avae koti hata kama siyo winter !! msimlaumu

    ReplyDelete
  10. NAONA MAI SHEMEJI YAKO ANAKAA MAGOROFANI KAMA VILE ILALA FLATS ALIPOTOKA MUMEWE

    ReplyDelete
  11. Makubwa haya!!!!!!!!!!!!! Nani kawaambieni balozi ana ngiri dume? katoka bongo joto kinoma na wakati huu ughaibuni kushaanza kibaridi namna flani hivi, kuvaa makoti makubwa si haula wadau.

    Q

    ReplyDelete
  12. yalhaaaa,,,shem wako wamsema kawiva??kweli nimeamini "shemeji nyama ya hamu"
    ze fulanazzzzzzzz,,ze my waifu wako michu mbane,,,

    ReplyDelete
  13. Balozi wa zain, karibu pia kwetu Denmark wacha ubaya huo kila siku ujerumani kuna dili nini? poa sisi labda wagumu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...