mpiga tromboni wa kundi la matarumbeta la la mount usambara linaloongozwa na mzee hozza akifanya vitu vyake. akiwa amefundisha zaidi ya vijana mia kujiajiri kwa njia hii, sifa ingine ya mzee hozza ni kuhimiza kinadada kufanya shughuli hizi ambazo kipato chake si haba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...