
Hello Kaka michuzi natukukujilisha ,Tumemchukuwa DIMITAR BERBATOV Manchester Uniteddakika chache zilizopita na Manchester city wamekubali kumchukua ROBHINO KWA £32 MILLION.
Manchester city imenunuliwa na Abu Dhabi United Group for Development and Investment (ADUG). Jamaa ni 10 x times richer than Abromiv kwa hiyo league msimu huu si mchezo.
Sasa united tumerudi kwa nguvu zote kaeni mkao wa kula wapinzani na poleni sana Liverpool,Chelsea na Arsenal HAHAHAHHAHA.....
William Uk
United for life,
we are back!


Lazy ass striker si alikuwa hapo north London wameishia wapi if he was... nafasi ya 11 na Carling cup kuna jipya au yeye Villa? nyie bado one man team Ronaldo tuu mkubali msikubali
ReplyDeleteMazee usidanganye wananchi bure. Hii ni investment group huwezi kufananisha na mtu binafsi na kusema ni tajiri mara kumi zaidi yake. Hata kama ikiwa na hiyo hela ambayo sidhani kama inayo hakuna uhakika kama watatumia yote kununua wachezaji tu. Itakuwa interesting kuona wakipambana na chelsea kuleta wachezaji. Man Utd wanajitosha kwa sasa na Berbatov
ReplyDeleteMdau wa Man U, kwanza hongera zetu wenyewe kwa sababu na mimi ni m-old-Trafford.. Lakini sasa habari nilizonazo huyo Bebertov atavaa jezi namba tisa (9) iliyoachwa Louis Saha na sio 14 kama inavyosomeka hapo juu, au wewe ndi uko updated zaidi? Nachangia tu..
ReplyDeleteWe acha ushamba Jamaa maana yake sio moja, Jamaa in the sense of the Abudhabi company acha kukurupuka
ReplyDeleteHello Anony 10:25am your right Berbatov atavaa number 9 iliyokuwa ya Saha hiyo number 14 tuliweka kabla hatujamchukuwa ni kwenye man utd fanzone ndio tuliweka tu. Berbatov ni mchezaji mzuri na technical 99% kuna mdau alisema jamaa mvivu ,Manchester united Tulikuwa tunahitaji mchezaji mvivu ambaye atakuwa kazi yake kukaa ndani ya box na kumalizia, Wachapakakiz wako wengi Ronney,Tevez,Nani,Anderson,Harg,Park na Ronaldo , kwa ufupi we needed another Vanestroy amabaye kazi yake kupachika mabao,Alafu kuhusu investor nadhani mdau hapo juu alichanganya au hakuelewa maana yangu lakini bila shaka huyu mdau ni chelsea any way cant wait kwenda Bwawa la Maini hiyo 13/09/08 tukawafinye hawa watu na Habari nilizonazo Torres out for 3 weeks na Gerald might not be fit after having a groin operation haya kazi kwenu! Chelsea match ya kwanza walinishtua lakini baada ya kuona mechi ya Wigan the Totenham ahh kikombe kinarudi nyumbani
ReplyDeletekampuni=jamaa?? Hiyo sio. Kama una maana hiyo basi hujui kutoa habari nafuu ungekaa kimya tu. Iyo kampuni ina manager/chairman ambaye ni Dr Sulaiman Al-Fahim. Sasa
ReplyDeletenaona wewe ndo nanga..maana statement yaelekea kuwalinganisha hao wawili.
Berbatov ana control nzuri hadi inakumbusha kina Dennis Bergkamp na Nwankwo Kanu. Lakini hiyo chamtoto.
ReplyDeletePedalala ndani ya Man City. Habari ndio hiyo.
huwezi changanya + na + lazima uweke - ili moto uwake hivyo basi tunataka mtu wa kufunga from 6yrd loool.kama dejavu vile vanistoroy lool mmekisha. GLORY GLORY MAN U .MARK HUgus roy keano paul ince, good old steve bruce steve copel and peter kenyon they r out there doing f"""ng great job for unite. and we hate scources. umesikia wimbo huo???lol you will die alone. never mind walking alone. lol.
ReplyDeleteHahaha inabidi nicheke kwanza kwa jamaa aliyetoa comment ya kwanza hapo, Berbatov lazy ass striker kwa tottenham siyo atakapokuwa na man united wewe unajua mpira au unaongea tu kufurahisha baraza nadhani haumjui berbatov vizuri sasa ndiyo utamjua. Ronaldo sikatai ni mkali man u ila wapo wachezaji wengine mimi kama mshabiki damu wa man u kusajiliwa kwa berbatov ni kama furaha isiyo na kifani, chukua mfano wa Tevez alikuwa west ham hakuonekana makali mpaka mwishoni mwa season sasaivi kila mtu UK anamuongelea ni kutokana na kwamba anacheza na wachezaji classic sasa utamuona berbatov halafu utaniambia mpaka msimu ukiisha.Kweli wewe haumjui Berbatov vizuri nadhani uatmjua sasa atakapokuwa hasa na Tevez,Ronaldo na Rooney ndiyo utamjua yeye ni nani kwa kukata kilimilimi chako ile mashine wewe kama unavyomuona Owen Hargereaves ambavyo hapewi nafasi kwa kuzungumziwa ila namkubali sana tokea akiwa Bayern Munich.kwa hiyo mdau usiiongee kitu wakati haukijui vizuri.
ReplyDeletehuyo mbulga namjua toka akiwa Geraman wewe unaongea nini lazy ass striker trust me control utafanya nayo nini with the like of Kanu katika pace ya premier, tunawasubiri kwenye nyasi tutapata majibu
ReplyDeleteoyaa anony unayepinga suala la utajiri wa Dr Sulaiman Al-Fahim. huyo jamaa ni bilionea wa nguvu na sio kama unavyochukulia wewe.huyo jamaa kwanza ni CEO, Hydra Properties, LLC na pia ndio mkuu wa hiyo Group mnayozungumzia nyie.hiyo Group ni ya familia za kitajiri hapo Abu Dhabi na kwa kuwa yeye anaonekana kuwa zaidi ya wenzie(Shares) ndio maana akawa Manager/Chairman kama ulivyoelezea wewe.
ReplyDeletesina hakika kama yeye na Roman nani zaidi lkn kwa hapa Marekani wanamwita "Donald Trump of Abu Dhabi".
i just "google" him to find out yeye ni nani zaidi maana hata me nimestushwa na jinsi alivyoingia ktk EPL kwa mbwembwe.
Ngoja na sio "Bwawa la Maini" tuwaloge hawa Matapeli wa Kimarekani wenye mkono wa birikawakati wa usajiri, ili wale Warabu (DIC) wachukue timu.
ingawa me ni LFC, lkn nawapomgeza MANU kwa usajiri huo.me tangu mwaka wa jana kabla hatujampata Torres nilikuwa naombea LFC wamsajiri huyo jamaa.nafuatiria kwa ukaribu sana EPL na Berbatov ni mmoja wa Strikers ninaempenda.Uvivu wake hauna tofauti na Our GOD(Fowler).hakuweza kuwika sana Spurs kutokana na uchache wa play-makers around him.nahofia hiyo Sept 13th.ila nitaongea na MISUPU tumsomea dua kiduchu ili apate tumbo la kuhara siku hiyo.na pia tuwasomee Gerrard na Torres wapone haraka.
ReplyDelete"Ni mtazamo tu!!" haha
arsenal manucho tunaye anakomaa hapo ugiriki. mnataka mkopo?lol.nyie siyo tishio tena. msipoangalia city watawafanya kitu kibaya. united club ya kununua siyo kuuza. lol.... kenyoon kenyoon. it all end up in tears
ReplyDeleteWaungwana naombeni mnisikilize!
ReplyDeleteTcha Tchaaaaaa!
Abu Dhabi United Group for Development and Investment ni kampuni ambayo inamilikiwa na kiongozi wa United Arab Emirates (UAE) anae itwa Khalifa bin Zayed Al Nahyan ambapo amemchagua Dr Sulaiman Al Fahim kuwa Managing Director wa hii kampuni. So mpaka sasa ni sawa ukilinganisha mmiliki wa Man City na wa Chelsea.
Hii ni sawa sawa na Roman Abramovich alipo inunua Chelsea hapo mwaka wa 2003 kipindi icho Roman Abramovich alikuwa anamiliki kampuni kubwa ya mafuta duniani inayo itwa Sibneft na baadae alipo amua kuiza kwa serikali ya Russia baada ya kutishiwa na Komandoo Vladimir Putin aliye kuwa Rais wa russia (Sasa ni Waziri Mkuu wa Russia) na kutishia baadhi ya matajiri wengine kama Boris Berezovsky, na kumfunga Mikhail Khodorkovsky n.k
Sibneft ilibadilishwa jina na kuwa kama part ya Gazprom Neft kampuni inayo milikiwa na Serikali ya Russia ambayo inaleta Ubabe Europe nzima kwa kupandisha bei ya mafuta na gas kila siku.
Vile vile ikumbukwe, kipindi Roman Abramovich anainunua Chelsea pia alikuwa Gavana wa Chukotka toka mwaka 2000 mpaka mwaka huu 2008 alipo amua kutogombea tena. Chukotka ni state iliyopo ndani ya Russia So ukiangalia yote sawa so hakuna tofauti kati ya mmiliki wa Man City na Chelsea.
Hivi sasa mdosi Roman Abramovich anamiliki kampuni inayo itwa Millhouse LLC.
NaWaKiLiShA ToKa nDaNi Ya UK.
Arsenal ina profesa wewe na jamaa haamini nguvu ya hela ya kupita kila sehemu kununua wachezaji wakali yeye anafundisha mtoto mwenyewe na akifaulu anamueka kiwanjani kutandaza soka ndio maana anaitwa profesa.jamaa atumihi hela lakini bado anatoa upinzani hio ndio inatakiwa.
ReplyDeleteBwawa la maini kila siku liko pungufu hata wampeleke nani.
Uyoga mwenye comment ya September 02, 2008 7:38 PM uliyosema ni sawa. Lakini mimi narudia msidanganye wananchi. Hata kama anajulikana kama 'the Donald Trump of Abu Dhabi' hivi unajua kuwa Donald Trump hayuko kwenye matajiri 100 duniani? Abromovic ni number 15/16 ikitegemea na source gani utatumia. Sasa huyu jamaa kaja ha tishio eti ana hela mara 10 ya Abromovic. Uwe na basis ya comments zako. Huyu jamaa (Fahim)hata katika top ten ya waarabu hayupo.
ReplyDeleteAnon wa September 03, 2008 12:27 AM umefanya research sana. Hongera. Lakini sidhani kama unaweza kuuita hii kampuni. Haimilikiwi na mtu mmoja na ndo maana inaitwa an investment group. Its like an investment fund. Kazi yake ni ku-protect utajiri wa UAE. Huyu Fahim ana shares huko tu. Ilianzishwa na Khalifa bin Zayed Al Nahyan lakini sio maana ni mmiliki wake. Hii Abu Dhabi United Group ipo chini ya Abu Dhabi Investment Authority ambayo kama nilivyosema inachunga utajiri wa nchi. Ukitaka kujua zaidi soma juu ya Sovereign wealth funds.
Narudia sijapinga utajiri wake bali comment ya huyu jamaa aliyotoa kuwa "huyu jamaa ni tajiri 10x abromovic"
Alafu akaji-defend kwa kusema jamaa inaweza kuwa kampuni...hehehehe. Inabidi uwe politician sasa wewe nanga....hehehehehe
Hello Wadau mimi William uk kwa bahati nzuri au mbaya mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa mpira, Na source ambayo mi natumia ni Skysports maana ndio ina deal na sports tu kwa watu ambao wapo england nadhani wakubaliana na mimi habari zote wanazotoa ni za kuaminika maana wafanyakazi wote kwenye ji channel ni EX players. Sasa jamaa wana jeuri nimeona interview yake this morning haya someni chini japo saa zingi money cant buy everything ,Kumbuken huyu chief exe 5 years ago alisema real estate company aliofungua itakuwa tofauti na kweli it has payed off sasa nasema kitu kimoja inasemekana jamaa binfasi he is 10 x richer than abromiv and mind you he has become this rich in 5 years after starting his own firm. I believe in skynews than any other sport sources as what ever they have say it always happens and trust me guys i was watching his interview na estates zake he is fucken rich kumbukeni siwapendi manchester city hata kidogo ila ukweli lazima usemwe
ReplyDelete"The agreement of an ADUG takeover deal at Eastlands was announced on Monday and was followed by the shock capture of Real Madrid forward Robinho for a British record fee of £32.5million.
Chief executive of Hydra Properties, Al-Fahim is reportedly 10 times richer than his counterpart at Chelsea, Roman Abramovich, and he has revealed there are plans to bring in a 'minimum 18' players to the club.
"Ronaldo has said he wants to play for the biggest club in the world, so we will see in January if he is serious," Al-Fahim said in The Guardian.
"Real Madrid were estimating his value at $160million (£90m) but for a player like that, to actually get him, will cost a lot more; I would think $240million (£135m). But why not? We are going to be the biggest club in the world, bigger than both Real Madrid and Manchester United."
It is also reported City will look to target the likes of Liverpool striker Fernando Torres and Arsenal midfielder Cesc Fabregas as the club aim to build a side capable of achieving success in Europe's most prestigious competition.
Al-Fahim added: "We want a team who can win the UEFA Champions League. We're not just going to spend money on anyone, but if we can get the biggest players in the world, and of course if the manager wants them, then we will get them
"
Jamani hamuelewi...HE IS NOT 10 TIMES RICHER THAN ABRAMOVICH!!!! Hata kama umeona kwenye skysports doesnt mean its true. ADUG ndo yenye hela. Yeye binafsi hana kitu. Nimewaambia kaangalieni katika rich list 2008 uone kama huyu jamaa yupo hata kwenye top 100. Unajua hata Trump ambaye wanamfananisha naye hayupo kwenye Top 100. Wewe mtu akiwa 10x richer than Abramovich si basi ndo atakuwa the richest person in the world? Kwa iyo kawazidi kina Gates, Buffet, Carlos Slim Helu? Acheni kuongea pumba na kusikiliza news bila ku-question.
ReplyDeleteMnanikumbusha siku moja bongo nilibishana na mtu kweli. Kwenye gazeti iliandika mlima Everest sio mlima mrefu kupita yote duniani. Jamaa akashikilia hilo kisa kasoma kwenye chombo cha habari. Usiamini yote usomayo au uambiwayo...question it! There is no way huyu jamaa - Al Fahim akawa 10x richer than Abro.
Mimi ni supporter mkubwa sana wa ManUtd lakini pia napenda ukeli. Msisikilize pumba.
mdau unayemtete Abramovich,hiyo Top 100 Richest peeps hata siku moja haijumuishi watu wa Abu Dhabi.na hiyo ni kwamba wameshindwa kujua kutokana na hao matajiri wa Umangani kuwa na biashara binafsi na pia as a Groups(5 peeps or so) na sio mmoja mmoja.lkn kwa jumla ya urajiri wao kama ukiamua wagawane,still huyo Abramovich atakuwa 20X less.Fact ni kwamba,jamaa walishakuwa matajiri,then wakaungana.
ReplyDeletepili,sikumfananisha na Donald Trump kwa kigezo cha pesa kwani kama ningetaka kigezo hicho ningemtaja Bill Gates.Nimemfananisha na Trump kwa kigezo cha Investments.ukiondoa hiyo ADUG, huyo Mwarabu ana biashara nyingi tu zinazomwingizia billions.
tatu,utajiri wa Abramovich ni $23 billions, hao matajiri wa kiarabu as a Group wana jumla ya $500 billions.that means huyo Mwarabu kazungumzia kuwa 10X richer sababu anajua ktk hiyo $500 billions mgao wake huyo Abramovich hasogei.Hata yeye huyo Mwarabu ana biashara binafsi za mafuta vile vile(as Abramovich)
Hakuna ambaye ana amini kila asomacho au kusikia.but i dont think u need a deep research kutofauti BATA na KUKU.
Since u know how to talk, do the MATH.
Jamani ehhh i rest my case kuhusu utajiri nani zaidi maana ukweli wanaujua wao wenyewe!Naomba tuongele mpira sasa.Maana utajiri wake au wao tutaujuwa wakianza kunua wachezaji in january. Sasa mnadhan Robinho kafuata hela au mpira maana manchester city wako kwenye uefa cup>?Manucho kapewa work permit na Mick Phelan ndio amekuwa appointed assistant wa ferguson.
ReplyDeleteWilliam Uk
United for life
hiyo source yako ya Top 100 Richest People kama ingekuwa inafuatilia Abu Dhabi kwa undani ili kutenganisha Tajiri Mmoja Mmoja,unadhani yule Tajiri (Prime Minister) wa UAE angekosa hapo?
ReplyDeleteKuna Matajiri Kibao tu hapo Umangani wanafanya biashara kifamilia lakini ukiwachomoa mmoja mmoja hata huyo Bill Gates hasogei.
Nashukuru sana wadau mlionisaidia maana nimeshambuliwa hapo! Mobutu mwenyewe kuna kipindi alikuwa aingie kwenye rich list Diamond zinauzwa zinaingia kwenye account yake badala ya Government.Jamani nachoweza kusema kwa kifupi mimi binafsi nahisi au nadhani mtu tajiri duniani ni muarabu ila hawawezi kuweka hadharani kwa sababu za o binafsi na sio watu wakujionesha ila kwa mara ya kwanza huyu Kibopa mpya atawafyyyaaanzzzaaaa kazi wazungu maana they think they are on top of the world sasa anawamiliki
ReplyDeleteokay...anon wa September 03, 2008 6:28 PM...nadhani hiyo argument yako uliyotoa kuwa wanashindwa kutofautisha matajiri kwa sababu wanakuwa wame-invest pamoja haijatulia. Hakuna mtu anaye-own business moja peke yake. Hata kina Gates, nk, ni shares tu wanazo. Sasa unataka kuniambia hakuna data ya kuonyesha wat percentage a persons holds in a fund?
ReplyDeleteLazima uelewa hizo hela za Abu Dhabi Investment Group zinatoka wapi na system ya utawala wa Kiarabu. Ndo maana nilikueleza usome kuhusu Sovereign Wealth Fund. Hizo hela si za mtu binafsi. Part of it ni state funds...zinatoka kwenye trade surpluses za mafuta. Kama huyu bwana aliyetoa mfano wa Mabutu hapo. Trade surplus inaweza kuwa invested au kuibwa. Wao wanatumia hizo hela kununua assets na kujenga capital. Hapa kuna uchumi mwingi...na sitaki kuwa-boa.
Kwa kifupi: Mimi sijakataa kuwa hiyo Abu Dhabi Investment Group ina hela. Na sio nabisha kuwa ina hela kupita Abro. Ninachosema ni kuwa huyu jamaa Al Fahim mwenyewe (ambaye ndio aliyelengwa na jamaa aliyetoa habari) hana hela kupita Abro-piga mpaka kufa. Yeye amechaguliwa tu kuwa representative wa hii Abu Dhabi Investment Group. Inatumia hela za nchi kuleta investment.
Waarabu wana hela...lakini individually...no one stands out. Huwezi kumweka mmoja na kum-compare na watu waliotegeneza hela zao wenyewe kama Gates, Abro, nk. Hawana janja hiyo. Baada ya kusema hayo...huyu jamaa Al Fahim anajitahidi. Yupo kwenye mambo ya real estate zaidi. Ni mkali lkn bado.
William Uk...kujadili si mbaya. Tunajifunza mengi na debate bwana.
Mimi nadhani Robihno hafuata hela. Lakini pia future ya City ipo fresh kwa iyo vikombe navyo ataweza kuvipata ndani ya labda miaka 2. Lakini Bruce ndo aseme bye bye...maana sasa atatafutwa kocha mkali. Timu itabadilika sana. Nadhani sasa Ronaldihno naye inamwuuma baada ya kuitema City. Pale Milan sidhani kama atafanya kitu. Angekuja City ambayo naamini ni timu inayoanza kujijenga...angekuwa na a big part to play katika kuifanya iwe tishio Ulaya.
poa anony wa September 03, 2008 6:28 PM, lets move on. Man City watachukua muda kidogo kuweza kuwania major honors.maybe 2010 season.tatizo litakuwa kwamba players wengi watakimbilia pale kwa ajili ya pesa(mshahara mnono) lkn hawatakuwa na moyo ktk performance zao(Refer Real Madrid) ya kina Figo,Zidane,Ronaldo n.k).hao Man City wakishaliwa pesa na mastaa ndipo akili zitawarudia na kuanza kupangua tena na kununua wachezaji wenye kucheza kwa moyo (kama Madrid ya sasa).
ReplyDeleteLiverpool tunasubiri wale DIC warudi kuja kuwashawishi hawa Wakora(Americans) ili wawauzie timu.LFC tuliingia choo cha kina mama kuwauzia timu hawa jamaa.Kwanza kusajiri mchezaji hadi Rafa alielie saana ndipo watoe mapene(tena bada ya kukopa) hahaha. i hate them....
Anyways, Sept 13 Prediction: LFC 2 - MANU 1. Man City 2 - Chelsea 2, and Gunners 2 - Rovers 0. i think i should be a bookie..hahaha
Anony 1:33pm umeelezea vizuri sana , debate ni muhimu na ina leta raha sana nakubaliana nawewe,City sidhani kama wataweza kuingia top 4 ukilinganisha na chelsea alivyokuja abromiv muda wote walikuwa around top 5 or 4 kwahiyo it was one among the best teams tayari lakini manchester city watakuwa na kazi kubwa ya kufanya kuleta wachazji wazuri labda kama watenda croatia au Czech kuchukua wachezaji wazuri lakini nothing is impossible kitu kingine success chelsea waliopate ni kutokana na mourinho sio hela za abromiv pekee yake! Ni ngumu kukubali ukizangatia mimi ni Manchester united lakini mourinho has top be one among the best managers around he has been there done it and gone. Kuhusu weekend ijayo 13 september utabiri wangu Liverpool 1 Man utd 3 .Manchester city 2 Chelsea 1 ,Arsenal 1 Blackburn 0 kazi kweli kweli
ReplyDeleteWilliam Uk
United for life