
http://eurosport.yahoo.com/29092008/58/
premier-league-styles-apologises-error.html
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sidhani kama kuna mtu aliyesema ile ni penalty,Ronaldo mwenyewe alivyokuwa chini kumbe alikuwa ana mwambia Referee its not a penalty wachezaji wote wa united walimwambia referee lakini yeye akaamua ni penalty na hii Habari Kevin Nolan ndio amesema kwenye daily news.Mnakumbuka Rob Styles last season Anfield aliwapa penalty chelsea Malouda alivyo pewa body chek. Any way life goes on Ila naomba Kuuliza Mende ilikuwaje akaangusha kabati Emirates Arsenal 1 Hull 2 alafu cha aibu ni kwamba Arsenal ndio walionza kufunga tena nyumbani duuuuh.Tatizo kuwAfunga sheffield 6-0 waliona ulimwengu si ndio huu!Sasa na sema kama wewe ni mshabiki wa Arsenal muwe na wasi wasi maan mecheza mechi 6 nadhani timu 2 zilizopanda daraja Hull&West brom na Fulham,Blackburn,newcastle e.tc kwa ukweli hizi timu zote ni ndogo na meshafungwa mechi mbili hamja cheza na top 4 teams au hata mid table teams kama portsmouth,,Aston villa mbona kimbe hiko.Kwanza leo usiku mnakazi against Porto.
ReplyDeleteMan utd for life
William Uk
Arsenal mwaka huu ni USHUZI mtupu..... sidhani kama watakuwepo kwenye top 4 at the end of the season.
ReplyDeleteArsenal for Life
Mdau UK
Refs make mistakes all the time... get over it. Si bora ya Ronaldo haikuwa penalt, but there was a challenge. Eboue mbona alidive laivu kabisa na Arsenal wakapewa tuta dhidi ya B'burn. Lakini sio ajabu maana jamaa ni kawaida yake.. hadi UCL final dhidi ya Barca he dove for the freekick from which Arsenal scored.
ReplyDeleteKwanza mdau Will kawauliza swali zuri... sisimizi ilikuaje akamponda tembo Imirati? :-D na sio kwa kubahatisha.. maana jamaa waliwapiga goli 2 swafi; hazina hiyana. Nyie goli lenu ndio mpaka limemgonga fabregas ugoko, haha. Mechi 6; none against any of the top 6 from last season; tena Fulham and Bolton both narrowly escpaed relegation last term; with Fulham and newly promoted Hull beating you despite both being relegation favorites at the beginning of the campaign.
NGOMA YA WATOTO HAIKESHI!