MWANDISHI WA RIWAYA YA "THE KITCHEN PARTY" mdau Swallehe Msuya (TANZANIA) aishiye Minneapolis, mambo yake si mabaya sana.

Habasi zinasema baada ya kitabu chake kutesa sana, amealikkwa kushiriki katika tamasha la wasanii, waandishi, wachoraji na watunzi wa mashairi wenye asili ya Ki-Afrika litakalofanyika Jumamosi tarehe 6/9 katika ukumbi wa CENTER FOR INDEPENDENT ARTISTS uliopo

4137 Bloomington Avenue,

Mpls,

MN.

Hongera kaka 'Nthuya'



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...