Kwako kaka Michuzi,
ninapenda kuchukua fursa hii kuwaandikia wadau wote na wapenzi wa blog hii kwamba ninatafuta Mchumba/Mume,
SIFA
1.Elimu - Kidato cha sita na kuendelea
2. Umri - Kati ya Miaka 35- 40
3.Dini - Awe Muislam na anaependa kusali
4. Uraia - Awe Mtanzania
Umri wangu ni miaka 33..
Majibu yaliyoambatanishwa na picha ( Full) yatajibiwa.
atakaetaka kujibu atumie


kwa kweli mnawachokoza waosha vinywa. haya ngoja nitulie nione huu mjadala....
ReplyDeleteHahaahaaa kweli huyu dada anajua dhihaka, kama ni mdada!!
ReplyDeleteNaona anachotaka kuwaambia watu hapa ni kwamba mambo ya kibaguzi kuhusu dini na madaraja yamepitwa na wakati.
Kwani ukimpenda mtu lazima awe wa dini yako? ukoloni umetutenganisha sana.
kwa waliosoma dini hawaoni kwamba ni issue
Mbona picha hujatuwekea tukuone, au ndio kanya boya?
ReplyDeletekweli fainali imefika, umeringa wee ukijiona mzuri sasa umri umesha kwenda umechanganyikiwa mpaka unaweka maombi kwenye blog, nakusikitikia dada yangu kwani wanaume siku hivi hawaowi wamawake ambao wana miaka zaidi ya thelathini kwani utakuwa una milege(km) zaidi ya 100,000.tena kuna uwezekano kuwa mtu nyomi zilisha pona sasa sijui atakae kuowa atakuficha wapi wewe.kibaya zaidi kwenye hilo ombi lako bado unaweka masharti, naona labda michuzi anaweza akawa ha hizo sifa kama bado bachelor jaribu kumtongoza, au kama unataka kuwa mke wa pili au tatu useme
ReplyDeleteMbega
DUUH NIMEIKOSA NAFASI CHUPU CHUPU. MIMI SIFA ZOTE NINAZO ISIPOKUWA NITATIMIZA MIAKA 35 MWEZI DESEMBA MWAKA HUU. KWA SASA NI 34 NA MIEZI 8 NIMEPUNGUKIWA NA MIEZI MICHACHE. LAKINI PIA NINA MKE TAYARI NA HUJAFAFANUWA IWAPO UPO TAYARI KUSHARE MUME NA MWENZAKO AU UNATAKA UWE PAKE YAKO. OHERWISE SIFA ZILIZOBAKIA NNAZO.
ReplyDeleteRamadhani hii Michuzi mbona unatangaza Pombe? Au....
ReplyDeleteAsante dada kwa kutafuta mchumba ila sina baadhi ya vigezo mfano elimu,umri,dini kasoro uraia.
ReplyDeleteNina vigezo vifuatavyo:-
Elimu- msingi.
Umri- 30yrs\
Dini- Mkristo
Uraia - Mtanzania.
Nami natafuta mchumba mwenye sifa kama ulizonazo naamini muhimu ni kupendana siyo sifa ulizotaja. Niambie basi naruhusiwa kukuaproach?
Pret.
How selfish is that? wataka picha za wenzio lakin iya kwako hutaki kuweka azarani! unataka utumiwe picha wewe tu, kha!
ReplyDeleteTuambie wewe ni nani na unaishi wapi na unafanya kazi gani.Nyoo!! nikutumie picha yangu tu, kisa natafuta mume, kama wewe ni jambazi au mpiga debe. Tupe CV yako kwanza.Acheni utani. Kweli tunatafuta waume,tena waumini wazuri tu, ila kwanza nikujue. Samahani kama nimekukwaza. Naomba utimize kwanza nililokuambia hapo juu.
ReplyDeleteHumu vibaka ni wengi masharti tu kidogoo yanatutoa kamasi? Preference ya dini ni muhimu hasa ukizingatia malezi ya vijana inakuwa rahisi kama ni dini moja. Na bibie labda alikuwa shule na harakati za maisha au hata alikuwa na mchumba mambo yakaharibika dakika za mwisho. Kwa wengine wetu kutafuta mchumba ni mojawapo ya kazi moja ngumu na mwishoni inakuwa ni kumuomba Mungu akupe mtu kinaeleweka. Ukiona mtu ana familia yake ni kitu kizuri na kuna wengi wanataka kuwa hivyo lakini unakuta hizo bahati haziwatokei.
ReplyDeleteMhhh kazi kweli kweli yaani hapo tu na mwezi wote huu wa ramadhani unasema unatafuta mchumba laah??wa Anyway mimi nipo tayari na vigezo vyote ninavyo ninachotaka nijuwe tu upo wapi kwa sasa basi hilo ndilo ninalohitaji...Na je unataka mwenye kidato cha sita je wewe una degree au upo nafasi gani katika elimu??
ReplyDeletemichuzi ni mnafiki sanaaa!!nimetuma picha ya Mr Bean hakuweka..
ReplyDeleteMMh.. si bure huyu atakuwa nyonya damu huyu..mbona tangazo lake limekaa kimachale machale au wachunangozi siku hizi wanatutafutia kwenye blog!
ReplyDeleteDADA YANGU VIPI TENA NAONA UMEMSUBIRI WILL SMITH MPAKA UMECHOKA NA SASA KA KUTINGIA NA JADA HAPO HAPO BONGO KAMA UKO HAPO NABADO UNAWEKA MASHARTI NA VIGEZO SHAURI YAKO SEMA TU ATAKAE KUPENDA NA MAELEWANO NA AFYA NJEMA LABDA MARA HII ATAIBUKA. GOOD LUCKY
ReplyDeletePole al-anisai kwa maneno ya ufataani na upinzani utakayopewa humu usiyaskilize kwani mengi ni batwyl/ batil, jipe moyo allah atakupa haja ya moyo wako , kwani kutafuta nusra ni jambo kheyr na jambo la sifa, wanaume wa kiislan wanaoijua dini yao kwa undani watazingatia tu na watakutafuta ishallah kwani liandikwalo ndilo liwalo usife moyo,
ReplyDeleteMSIMCHEKE NASIKIA MANKA MUSHI AMEPATIA MCHUMBA HAPA HAPA NA ANAOLEWA DECEMBER NILIKUWA NA CHAT NAE AMEENDA KUSOMA SASA HIVI AKIRUDI TANZANIA ANAFUNGA NDOA NA WMENZA WAKWE SI UTANI NAONGEA SERIOUS MPAKA PICHA ZA SIKU YA UCHUMBA WAKE AMENIWEKEA WAKATI TUNACHAT NIKAONA SO NA MIMI NAANZA SERIOUS KUTAFUTA
ReplyDeletejamani mtu kutafuta mchumba sio zambi. Hata mimi natafuta mchumba anapaswa awe na sifa zifuatazo
ReplyDelete1. mtanzania aliyekulia bara, na si uswahilini.
2.asiyekunywa pombe wala kuvuta sigara.
3.awe mrefu, mweusi na mwembamba. elimu sijari hatutategemea kuajiriwa.
4.awe serious na maisha na awe na umri kati ya 30 hadi 37 mimi ninaumri 27.
mimi ni mfupi mweupe na elimu yangu ni darasa la saba ila ninamiladi yangu na ninaelewa maisha.
kama kunamtu atavutiwa awasiliane nami kwa no 0717343014.
Acha kujitafitia umaarufu. Ati picha za Manka, ziko wapi, tujue kweli unasema maneno ya kweli. Watu wengine bwana, yaani unaona kutuambia unazo picha za Manka basi tutakuona wa maana! ushamba huo, na kama naye kakutumia naye mshamba pia, ka umechumbiwa kuchati na vijibwana uchwara na kutumiana picha maake nini. Inaonesha wazi kabisa hata yeye hajatulia, ndo maana akatafuta bwana kupitia blog. Chema chajiuza bwana.
ReplyDeleteQ
Mimi naitwa Nalitolela nimemaliza Kidato cha sita pia nimepata mafunzo hapa Mzumbe chuo kikuu nafikiri nina upeo na mawazo makubwa ya kuweza kukuoa na kukupa ushauri mzito napenda tuzae watoto wengi ili walau mmoja aweze labda kuwa kiongozi wa juu hapo baadaye.Pia nilipo kuwa mzumbe nilipenda sana mabinti wa kiislamu na walinipenda kwa sababu ninavaa kanzu muda wote bila chupi. Lakini naona kigezo kimoja kinaniacha hoi mimi si mswalihina bali mcha mungu nihulumie kama utanipa nafasi. Asante ndimi nalitolela EX MZUMBE!
ReplyDeletePicha yako umebania basi tupe hata hizo Takwimu zako basi tujue una Figa la aina gani,iwapo Kibushuti na Tako unalo au ndiyo hivyo tena wembamba wa reli lakini mtamu kama Mua?Je,umeshazaa mara ngapi,just in case siyo Tassa!Kama tassa basi tujue kabisa awali ya yote!Na ule Mchezo ulishawahi ukiwa shuleni au bado,si unajua tena?Ukijibu tu natuma application yangu!
ReplyDeleteJina langu j.j.Hussein,umri wangu miaka 43, Nimejariwa kumaliza chuo kikuu cha Mlimani, napenda kuswali siyo kusali,nilibahatika kufanya kazi ktk serikali ya hawamu ya tatu,hawamu ya nne nilifanya kazi miaka miwili nikajiuzuru,kwasababu ya majukumu mengi ya kibiashara. ktk maisha yangu nimekuwa nikifanya kazi kwa bidii,ili siku moja nipate mke ambaye ningependa aishi kama malikia.pesa kwangu si tatizo,Ninayo majumba ya kifahari(Mahekalu)mitaa mikali,ninayo magari ya kifahari ikiwepo B.M.W. (be my wife)sijali kama una watoto wangapi?,umewai kuolewa na kuachwa,sina hoja kwanini ukuolewa siku hizo zote??kinachotaka ni mke.Dada kama kweli unahitaji mchumba ni mimi.au kama ni mtongozaji wa mchana,au mtongazaji mdogomdogo wa mitandaoni utakuwa umenipotezea Wakati,pia umeniharibia siku yangu na swahumu yangu kwa ujumla. E-mail yangu j.j.hussein@yahoo.com
ReplyDeletewee wa namba 0717343014 naona kweli uko makini kwa kumtafuta aliekulia bara kwani umedhibitisha kwa kutojua tofauti ya herufi r na l. wanaume warefu sikuhizi nao wanapendelea wanawake warefu kiasi na sio wafupi kama unavyojisifia wewe kwani wamechoka na mambo ya kuweka kistuli kidogo chumbani
ReplyDeleteNAMIMI NATAFUTA MCHUMBA MWANAUME; KWA SIFA ZIFUTAZO;
ReplyDeleteANAYEKUNYWA BIA YA KILIMANJARO TU.
ELIMU YAKE AWE AMESOMA MPAKA NO SCHOOL, AKITOKA AWE ANAWAHI KURUDI MAPEMA ASUBUHI YAKE, AWE ANATUMIA USAFIRI WA NDEGE TU HATA KWA SAFARI ZA NYUMBANI MPAKA MJINI.
Wadau naomba mchango wenu ktk maada hii ya Mwana dada huyu anayetaka mchumba wa kidato cha sita, yaani form six? mtu aliye maliza form six bongo ana nini?S.A. nchi nzima wa memaliza matric wana ustaharabu gani?Ulaya (u.k)ndiyo majanki kupigana visu mashuleni?? Kama umekaa kiuchumi sana,Mimi ninasifa zote ulizotaka lakini nimetafuta kazi dar mpaka soli za viatu zimeniishia,sasa na vaa viatu ya matairi je utanikubali?????
ReplyDeleteJamani me natafuta mchumba wa kiume. Awe mbongo mwenye umri kati ya miaka 23-28. Ninasoma chuo kimojawapo hapa Marekani ninachukua degree in biomedical sciences, nina miaka 18.Sifa nizitakazo mimi ni mtu mwenye discipline, aliye maliza form 6 na anaendelea na elimu ya juu, awe na plan ya kuchukua masters degree. Mimi ni msongo sana, I think its fair to call my self intelligent,and I always dream of making a well disciplined family. sifa zangu physically ni ifuatavyo: Niko mrefu, mweusi, i call myself beautiful kwasababu kila mtu ananiambia hivyo, mimi ni mwembamba na i can say i look good. Nataka a good looking man. awe mrefu, si lazima awe mwembamba au mnene na si lazima awe mweupe au mweusi. All i care about is urefu. Zaidi ya hapo kama wewe ni mtu mwenye heshima na uliye tayari kucheck afya yako, you will catch my attention faster. Personality yangu inaelekea kufanana zaidi na watu wawili maarufu, Michelle Obama (mke wa Obama) na Condoleezza Rice. So, cama una interest na mtu wa design hiyo, nadhani ndiko ninakoelekea.
ReplyDeleteIf you are interested, simply nijibu kwa kupitia blog hii ya bw. michuzi, introduce your self and leave me an e-mail adress where i can reach you.
Regards,
J.F.
1.wewe unayejiita inteligent cjui beatiful wamekudanganya wenzio na kujifananisha nakina Condoleza Rice uko mbali sana ungesema Asha Migilo kidogo ningeweza kukufikiria lakini bado cha mdoli.
ReplyDelete2.halaf dada zangu sikuizi mnaniuzi mnashoboka sana na masters kitu gani bwana,mi nafanya dessertation kumalizia masters saiz lakini nko tayari kuoa mtu yoyote tutakayependana.
3.we utakuwa huna mvuto nafkr ungekuwa na mvuto watu wangekuwa wameshakufika tayari tena kwa life la ughaibuni,minasifa zote lakini sikutaki height 184cm.
ndugu wadau, kuna mtu anayepost kwa jina la Nalitolela (September 03, 2008 1:59 PM). Nilitaarifiwa kwa mara ya kwanza siku chache zilizopita kuwa kapost hapa kwa jina langu na kaandika utumbo. Nikaamua kumpuuza tu. Sasa naona ameendelea, hadi sasa najua kuna kama post 4 hizi kaandika kwa jina langu, na anaandika kama mtu ambaye hana akili au anaandika kuwaudhi watu na kunichafulia sifa. Ninaomba ijulikane kuwa huyo mtu sio mimi, na wala hana uhusiano wote na mimi na wala sijasoma Chuo Kikuu Mzumbe kama anavyojitambulisha. Katika post moja amediriki kutumia jina langu halisi.
ReplyDeleteKwa wanaonifahamu wanajua kuwa sio mimi, kutotakana na maneno anayoandika huyu bwana, bia kutokana na "style" yake ya uandishi, pia kuchanganya matumizi ya herufi kadhaa (mfano 'l' na 'r') na kukosea neno Mzumbe na kuandika Muzumbe.
Nimeona post 4 hadi sasa ambapo amecomment na nyingine kawachefua wadau kwa upuuzi alioandika. Ningeendelea kumpuuza ila nimeona kuna baadhi ya watu wanaingia mkenge na kuamini kuwa kweli ni mimi. Kutofautisha comment toka kwa P. S. Nalitolela halisi, na huyu feki, ni kwamba mi comment zangu zote na-post nikiwa logged in under my blogger account (kama hii hapa).