wadau wa baghdad wakiwa benet na obama alipowatembelea mwezi julai mwaka huu. wanasema jamaa poa ile mbaya na wana imani ataingia ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Of course Obama yuko poa
    1. Hebu angalia anavyo deal na madongo yooote wanayomrushia
    2. Hebu angalia jinsi anavyojua kumaintain a 'calm attitude' akiwa under pressure (O'Reilly Factor interview)-Nakumbuka raisi wangu mkapa yalimshinda BBC-kaswali kadogo kuhusu rushwa akapandisha jazba hadi mwandishi akamwona kituko.
    3. Hebu ona kampeni yake inavyoendeshwa pragmatically,
    Obama ni poa, si kwa sababu ni nusu mweusi, ila ni kwa sababu ya mfano wa maisha yake anaouonyesha wakati huu mgumu wa kampeni.
    Akiwa raisi wa Marekani, tutashukuru (kwani tunahitaji dunia iliyosalama zaidi), hata asipokuwa, nina uhakika dunia itamtumia kwa namna nyingine itakayotufanya tufaidi busara zake.

    ReplyDelete
  2. Safi sana huyo ndio prezidaa to be maana anajua mpaka wa TZ walio huko sio yule babu anapiga kelele kajifungia kule kule. Big up Dulla

    ReplyDelete
  3. khaa mwamjua kivipi??hii ndo siasa kila mtu aonekana saint now ngoja aingie ikulu,,,
    no Africa no Tz,,ataendeleza yaliyoachwa na wezie tu

    ReplyDelete
  4. Ebwanae Dulla upo matawi ya juu mno upo karibu na watu hawa duu usituache bwana tulikuwa tunakunywa wote Leaders na Chang'ombe TTC sasa inakuwaje mtu wetu Twanga utawaalika huko au?Kila la kheri mtu wetu sie ni duwa tunakuombea dua wasijekukuchinja kaka badotunakuhitaji Bongo

    ReplyDelete
  5. Eti poa, yani sijui mnaakili gani nyie , hamjui hiyo ni siasa? hamjui yeye Obama ana vikwazo vingapi, kuanzia rangi na background yake, kosa moja tuu la kureact wakati akihojiwa vibaya lita mcost kokosa uraisi, ndio maana yuko calm muda wote ana nyenyekea anajua yeye sio sawa na McAin. yeye kila anacho ongea kina kinangaliawa mara mia zaidi ya Mccain.
    Eti anaijua TZ, kwa hiyo una dhani VIsa ndio utapewa kirahisi sababu ni Obama raisi? au atakukumbuka eti ulimpigia Campeni? wabongo msidhani kuna undugu hapo, Obama ni Mmarecani hana undugu wa ki Africa eti akukumbuke na kupewa urahisi wa kila kitu, angalia ndugu zake Kenya huko halafu ujiangalie wewe.angalia hali zao zilivyo choka.

    ReplyDelete
  6. Ndugu yangu mtoa maoni Sept 15, 1:38PM, pamoja na wengine wachache wanaoliangalia suala la uchaguzi/ uongozi wa marekani kama analivyoliangalia huyu ndugu yetu.

    Je ndugu yangu unaweza kuniambia "Vita Vya Iraq" havijakuathiri kwa namna yo yote?
    Je nauli ya daladala, au bei ya petroli unayoilipa sasa ndiyo ile uliyoilipa kabla ya vita? (Of course kuna inflation vile-vile imetokea).

    Huoni fahari au heshima kuona mtu mweusi japo siyo 100%, anaongoza taifa kubwa. Je nani anaweza kuwa mwepesi kukumbuka Afrika/Tanzania kati ya mzungu na mweusi.

    "Nadhani wewe jirani yako akipanda cheo utaenda mlingotini kuuliza,
    Kwa nini amepanda cheo????" badala ya kumpongeza(Utani).

    Najua watu hupishana jinsi ya kuyaangalia na kuyachambua mambo.
    Lakini kama unauwezo wa kufungua komputa na ku-posti maoni humu, kwa vyovyote utakuwa na uwezo wa kuona athira (influence) ya uongozi wa marekani kwa dunia - ikiwamo TZ.

    MUNGU MBARIKI OBAMA ASHINDE.

    Mdau ughabuni

    ReplyDelete
  7. I think Obama is the best person for Us presidency but unfortunately as much as I would love him to be president I doubt that he will be because of his colour and origins and because of his international policies which narow minded people, which is a known quality with americans, may not entirely be for and also with mc s running mate and her sagas

    ReplyDelete
  8. Hukumu ya OJ Simpson ni mwisho was October, na wajua America watamwonyesha OJ kila siku na hii itawaogopesha wazungu..Obama will be affected amini usiamini...OJ ameharibu..

    ReplyDelete
  9. He's Handsome!

    ReplyDelete
  10. HUYU NI OBAMA YULE WA KIKWELIKWELI AU YULE FEKI WA KUBA TULIYEONESHWA NA CCN SIKU YA KUTAMBULISHWA RASMI? DUNIANI WATU WAKO WAWILIWAWILI KWELI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...