Home
Unlabelled
mikonyezo 40
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mmk kaka Michuzi, hapa nina mashaka! Tukio lolote lisilo jema likitokea wakati anatumia hiyo haki yake ya kimsingi atasamehewa?
ReplyDeleteiyo bunduki ata risasi haina kbs!!asingelala ivo tena nje kbs sio ndani ya kibanda,,,
ReplyDeleteivi kwa majambazi yanayotokea asa Kny,uyu ataweza wapi??
ivi uyu katoa ruksa hii pic itolewe??
akiibiwa hilo Gobore kwa kuhitimisha haki yake je mwajiri atamuelewa vilivyo??since hakuna kulipana kwa masaa kama Ughaibuni basi ingekuwa vyema kama wangepunguziwa masaa ya kufanya kazi.
ReplyDeletelkn kwa staili hiyo hapo ni hatari hata kwa usalama wa maisha yake mwenyewe.imagine chizi kapitia hilo bunduki alafu akamSCHWARZENEGGER nalo, nani atalaumiwa??
inabidi wafanye marekebisho juu ya suala hilo haraka iwezekanavyo.
nchi nzima inachapwa tunamcheki jamaa aliyefunga bunduki begni...
ReplyDelete