Home
Unlabelled
uhandisi uliotukuka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi naona hiyo nguzo ina kamzizi kwani Daladala na Madereva walevi hawaioni au kila inapogongwa huwekwa nguzo mpya?lakini wanaohusika inabidi waliangalie hili kwa undani zaidi.
ReplyDeleteBy mdau
Haahahaaaaaa hii ni hatari babu kubwa, usije ukashangaa hii picha ikatolewa kwenye mitandao ya joke nchi za Ulaya.
ReplyDeleteYaani hapo dereva akikosea tu basi atasababisha madhara ambayo si sahisi kuyatabiri.
Michuzi dunia itatucheka
mi nafkir hii nchi imejaa wendawazimu hiv kweli wewe na akili zako unaeitwa mhandisi unaweza kufanya upumbavu kama huo ama kweli mi naona aliyetoa amri ya kubak hio nguzo apimwe akili
ReplyDeleteWadau hii ni sawa kabisa kwa mujibu wa kanuni za 'uhandisi' wa tanesco, tanroads au wizara husika, mhandisi hajakosea hata kidogo!
ReplyDeleteKuna utumbo na uchafu mwingi sana kwenye uhandisi wa bongo, ukiwauliza wahusika wanasema usituletee mambo yako ya 'kiulaya'hivi ulishaona sayansi ina kiulaya au kitanzania?Hata kama wananchi watakufa wanakwambia kwamba hapa bongo sisi tumezoea hivi, Bodi ya wahandisi tanzania inatakiwa iwe pro active na kuwafungia milele kufanya kazi wahandisi uchwara.
Sasa nimeshaona picha kama hii inazunguka kwenye internet kama kichekesho, lakini siamini kama ipo inatokea tanzania tena sio kijijini ni mji mkuu. Bodi ya wahandisi au tanzania instituion of engineers amkeni acheni kulala usingizi na kuachia wanasiasa kuamua mambo ya kihandisi, unda tume, usingoje pinda/lowassa aunde, toa tamko rasmi, atakayepinga aeleze technical kwa nini, utaona wanasiasa wote wanajificha.
Mhandisi umeme ughaibuni
madhara yatakoyapatikana hapa hayotosababishwa na Umeme.Yatakuwa kama vile dereva yoyote yule anayegonga mti pembeni mwa barabara. Umeme wa bongo ni sawa na mvua za jangwani(sahara).Si ajabu maeneo hayajapata umeme siku 358 zilizopita.
ReplyDeletemafundi mchundo wa nchi hii!!
ReplyDeleteBongo tambarare, eh.Mbona hamuelewi?
ReplyDeleteQ
Mnachoshindwa kuelewa kwamba hawa wasomi wa kitanzania usomi wao ni wa bar tu wakiwa bar wanazungumza utafikiri kesho watatupeleka kwenye space lakini ukiwafuatilia ni ushuzi mtupu sababu kuwa mhandisi sio kile cheti ulichopata shule, ile siku unayo hitimu ndio siku ambayo sasa unaanza kujifunza na with time and experience ndio unavyokomaa lakini bongo hakuna mpangilio wowote mtu kamaliza shule jana kwa sababu tu kasomea nje basi kapewa majukumu it takes experience pia uwezo wa kuifanya hiyo kazi lazima ieleweke kuna baadhi ya watu wanajua sana namna ya kupasi mitihani lakini uwezo wao wa kuelewa mambo una utata
ReplyDeletemi nafikiri hiyo nguzo imeshatolewa pale sterio sokoni,sasa mdau sijui hii picha amepiga lini?
ReplyDeletemulla
hii picha ni kielelezo cha utendaji kazi wetu wahandisi na vongozi pia. Kuweka nguzo katikati ya barabara badala ya kupitisha underground able ni mtindio wa ubongo. hata kama wenyebarabara na Tanesco watabishana kuhusu nani aghramie hiyo underground cable, je usalama wa watu kwanza si ndio msingi wa wahandisi na wasanifu? Msanifu wa hiyo barabara hakuona kuwa barabara inakatiza katikati ya nguzo ya umeme ili aingize gharama za kuweka cable mbadala katika gharama za ujenzi. Na kama umeme umekuja baada ya barabara Tanesco wanamakosa. Ni jukumu la Jiji kusahihisha hilo kosa kisha kuwashitaki na kulipa gharama yeyote aliyejenga baadaye.
ReplyDeleteinapendeza saaana apo,,,inavutia mandhari ya kipekee ulimwenguni
ReplyDeletebongoland oyeeeeeeeeeeeeeee