mdau akipata mikonyezo yake 40 kwa mujibu ya globu ya wananchi ya mzee wa sumo. inasemekana walinzi huruhusiwa kusunzia mara 40 wakiwa katika lindo, na huyu mdau anatumia haki yake hiyo ya msingi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mmk kaka Michuzi, hapa nina mashaka! Tukio lolote lisilo jema likitokea wakati anatumia hiyo haki yake ya kimsingi atasamehewa?

    ReplyDelete
  2. iyo bunduki ata risasi haina kbs!!asingelala ivo tena nje kbs sio ndani ya kibanda,,,
    ivi kwa majambazi yanayotokea asa Kny,uyu ataweza wapi??
    ivi uyu katoa ruksa hii pic itolewe??

    ReplyDelete
  3. akiibiwa hilo Gobore kwa kuhitimisha haki yake je mwajiri atamuelewa vilivyo??since hakuna kulipana kwa masaa kama Ughaibuni basi ingekuwa vyema kama wangepunguziwa masaa ya kufanya kazi.
    lkn kwa staili hiyo hapo ni hatari hata kwa usalama wa maisha yake mwenyewe.imagine chizi kapitia hilo bunduki alafu akamSCHWARZENEGGER nalo, nani atalaumiwa??
    inabidi wafanye marekebisho juu ya suala hilo haraka iwezekanavyo.

    ReplyDelete
  4. nchi nzima inachapwa tunamcheki jamaa aliyefunga bunduki begni...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...