Mhariri wa Picha wa Magazezeti ya HabariLeo na HabariLeo Jumapili, mpiganaji Athumani Hamisi, akipandishwa katika gari la wagojwa tayari kwa safarai ya uwanja wa ndege ambako alikuwa akisafirishwa kwenda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi kufuatia ajali ya gari aliyoipata mamepa mwezi huu Wilayani Kilwa. Athumani aliumia zaidi kifua na shingo alisafirishwa jana kwa ndege ya ATCL. picha ya http://www.dailynews-tsn.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...