MIE MDAU NIKO HUKU HIFADHI YA WANYAMA SELOUS. NIMEKUTANA NA HII TASWILAA NIKAONE NISHEE NA WADAU NA KUPATA DARASA WAKATI MMOJA. HII IMEKAAJE?
MDAU SELOUS
-----------------------------
mdau selous!
asante kwa kuendeleza libeneke la taswirazzz ambalo naona limepamba moto hadi inatia raha.
kuhusu hiyo taswirazzz ya selous naona imekaa mie naona kama adijojo. yaani sina uhakika nini stori yako hapo, maana kama ni kunanihii hao wote ni kina mama, baba anakula chabo pembeni.
ila kwa snepu ni bomba kinoma, imejaza kila pembe na stori imetoka inavyotakikana - kimuonekano. mwanga safi, rangi mswano na hata nanihii sio mbaya ingawa kijinsia ujumbe ni potofu...sijui lakini, labda macho yangu
-michuzi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...