supa staa mr blu leo amerejea bongo baada ya ziara yake ya maonesho ya majuma kadhaa ughaibuni. ameiambia globu hii ya jamii katika uwanja wa ndege wa julius nyerere kwamba mambo yalikuwa mswano katika shoo zake zote huko uingereza, na ametoa shukrani sana kwa wadau wote waliohudhuria shoo zake. amesema ameridhishwa na ushirikiano aliopata toka kwa waandaaji na pia mashabiki wa muziki wa bongo fleva wote
supa staa mr blu leo amerejea bongo baada ya ziara yake ya maonesho ya majuma kadhaa ughaibuni. ameiambia globu hii ya jamii katika uwanja wa ndege wa julius nyerere kwamba mambo yalikuwa mswano katika shoo zake zote huko uingereza, na ametoa shukrani sana kwa wadau wote waliohudhuria shoo zake. amesema ameridhishwa na ushirikiano aliopata toka kwa waandaaji na pia mashabiki wa muziki wa bongo fleva wote

Huko hawauzi masanduku?
ReplyDeleteHaya nenda sasa ukatubu
ReplyDeleteJapo nenda kwenye tarawehe kama mbili.
Najua ni umasikini uliokufanya hata uyakumbatia maovu kwenye mwezi huu.
jamani wabongo tuelimike hiitabia ya kukandia masanduku ya watu ni upumbavu kabisa kufanikiwa kimaisha ulaya si lazima urudi na samsonite bongo ndio ujulikane umetoka ulaya,mimi binafsi ninaishi ulaya miaka kibao ninauwezo wakununua hata sanduku la designer ni mshahara w siku tu lakini ya nini wakati sanduku lenyewe linarushwa tu hamna atakaye jari wewe ni nani au umenunua bei gani lazaidi utakuta limevunjwa zipu au pin number ambavyo bora ununue la bei poa.ushaona mzungu anasafiri africa msafi sana au sanduku la gharama wanajua jinsi watakavyo sumbuliwa wakijionyesha wanazo, sio mswahili atataka avei suti iliwajue katoka ulaya hamkeni jamani kutembea kuona mengi hatakama unakuja ulaya siolazima uvae suti huku hata security wanavaa suti kama uniform.we mradi umepata ulichokifuata yote ajue mungu.hata usiporudi na kitu wazazi wako wakikuona tu wao roho zao zinafurahi sio masanduku yatakusaidia nini?.
ReplyDeletesupa staa mr blu...imekaa vema hiyo. lkn mithupu naomba uweke maada kwa wadau...super star ''celeb'' ni mtu wa aina gani?? maana naona wewe kila msanii super star...wengine njaa tu ndo maana waliacha shule kama blue ili watafute mkate wa kila siku kumbe game kibongobongo usipokaza na kuwa na opt nyingine utapotezewa.
ReplyDeletesuruali inamvuka
ReplyDeletevaa blue si mr blue why red na siku hizi unaipenda kweli badili jina, uwalize tra kodi kama tigo, zein, moven p...
ReplyDeletecomment ya 2:32PM safi... eti suruali inamvuka... tehe tehe tehe kwi kwi kwi kwi kwi kwi.. nimecheka
ReplyDeletemoungu akusaidie mdaogo wengine wanakufa kwa kuuza madawa ya kulevya kwakutakat pesa za haraka haraka na kwa umri wako mimi nakusifu maisha mzuri sio lazima uwende shule tu hata kama utakuwa doctor unaitaji pesa ili uweze kuishi haunapesa hamna mtu atakaye kuthamini wewe na elimu yako, wakija wakina 50 cent wanafurahia wanamziki wao wanabondea sasa mbona hawamwambii cent akasome. zaidi yakumuiga mavazi yake,mimi binafsi sijaomuona huyu dogo live wala nyimbo zake sizijui lakini hafadhari aimbe kuliko awe jambazi au abugie unga. mdau uk
ReplyDeleteivo ivo inatosha mdogo wangu! kwani sanduku jipya ni nini? Almradi uko salama na afya njema yote ni kheri. Mi naona yuko poa tujamani? mwenyewe kapendeza na miwani yake....suruali kuvuka si ndio mitindo ya vijana sasa ivi au? Mmh!
ReplyDeleteSanduku la super star wa Tz ni sawa na lile linalohifadhi mbegu za choroko kijijini. Inasikitisha kuona super stars wetu walivyokuwa wabei nafuu, yaani maskini kiasi kwamba visa ikipatikana wako tayari kwenda ku-perform kwenye mapango ya Torabora.
ReplyDeletehaka katoto kanaitaji kuelimishwa, Personality yake sijui kama itamfikisha mbali kwenye 'game'
ReplyDeletemasanduku? suali gani hili. hii ndio maana watanzania hatuendelei, tunapenda sana kupekuwa pekuwa kila kitu, kila afanyalo mtu kuna mtu atatowa kasoro, na ndio miongoni wa hao hao ambao wanawachunguza wenzao wanapenda makubwa kuliko vipato vyao mwisho wanaangukia kufanya vitendo vya haramu kama kuuza unga na kuiba, yote aonekane ana vitu vizuri.
ReplyDeletehuyu mtoto vipi?mbona ana hereni mbili?nyuma na mbele,sorry kulia na kushoto,yaa baraka mwishehe angekuwepo angesikitika sana wasanii wanavyoharibika,nadhani mambo mswano hapa,tigo,zain kila kitu....
ReplyDeletenajua utabana tu mithupu na ww si unavaa shanga ya mguu au nipost pic?ole wako ubane narusha mambo hadharani.
mdau UK.
WEWE UNAEULIZIA MASANDUKU KICHWA CHAKO KIKO KAMA SANDUKU. MATERIALISTIC USIEJIJUA. HUYU KIJANA YUKO KAZINI. ALAAH!!!!
ReplyDeleteWabongo haoooooo....hata tuchomwe ulimi hatutabadilika. Mbona hatusupport wenzetu wakijaribu kitu. Mtu akitaja majuu tubasi kuna wengine damu zinawachemka...Hivi mlikataliwa viza nini!!!!!
ReplyDelete1. Kwani mtu akija majuu ndio anunue sanduku? kwanini msinunue masanduku hayo hapo nyumbani kusupport wafanya biashara wetu.. Kuna masanduku ya bati na mbao kibao. Kazi kufagilia vya wenzetu.
2. Ati ameacha shule....so what...Kila mtu anadestination yake....Bill Gate mwenyewe aliacha shule na akafanikiwa.....Kama wewe uko soconcern somesha watoto wako wafanikiwe achana na mtoto wa watu. Sio kuacha shule ni kitu kizuri bali kama uwezo wa kusomeshwa ulikua haupo au mdogo sasa ungetaka akae kuuza njugu tu hapo ili mumwonee huruma.
Mwenzenu anajaribu na inatakiwa tumpe moyo ...Sio maneno maneno tu ati vaa blue sio red mbona PINK anavaa kila rangi na bado jina lake kalikeep. Si mpanue mdomo na kwa hao wengine basi....mwacheni kijana wa watu
Watu wengine bwana sijui wanaamkia wapi.
Najua tu, huyo jamaa anayemsindikiza lazima alimwomba japo buku, hao jamaa wa Airport Dar, duuu!! noma mshikaji, wanabeba dhiki kwenye mikoba ya rambo, yaani wakikuona umetua, lazima wakuombe chochote.
ReplyDeleteUnamcheki anavyochekelea, hamna lolote.
Pandisha suruali we dogo, uvaaji gani huo mtoto wa kiume kuachia makalio nje!!!!
ReplyDeleteHuyu jamaa kama emoro yule mbilikimo wa Pepe Kalle.
ReplyDeleteSasa uliza vizuri Bill Gates aliacha shule katika level gani na usimlinganishe na huyu kijana mdogo ambaye aliacha shule akiwa FORM TWO!!
ReplyDeleteElimu ya form two itampeleka wapi? Matamshi ya kiswahili tu kwake ni maumivu matupu. Linganisha na level Bill Gates aliofikia; Bill Gates alifaulu kwa maksi za juu sana high school!! Alipata 1590 katika 1600 katika SAT exams and thats a record high!! May I remid you alisoma miaka miwili Harvard University. Tofautisha na Huyu Kijana aliyeacha shule akiwa form two tena kwenye shule ya vichochoroni, bakini mkisifia pumba.
MICHUZI MIMI NIMESIKITISHWA SANA NA JINSI WATU WASIVYO KUWA NA UPEO WA KUJUA MAJINA. JINA LANGU NI PETRO NALITOLELA NASHANGAA KUONA MTU MWINGINE ANAYE ITWA NALITOLELA ANANITILEA MATUSI WAKATI AKIJUA HILI NI JINA KAMA MUSHI, CHACHA, MASAWE,NA LINATUMIWA NA KABIRA LETU SI MIMI PEKE YANGU NINAYELITUMIA HILI JINA KAMA UKI GOOGLE UTAKUTANA NA KINA PETER NALITOLELA WENGI TU, SIJUI MUZUMBE HUYU BWANA AMESOMA LINI? LAKINI KWA TAARIFA YAKE AWAULIZE WATU WALIO MALIZA MWAKA 1994 WATAMWAMBIA MIMI NI NANI NIMEMALIZA WAKATI SHULE IKIWA INATOA ADVANCED DIPLOMA NIMEMALIZA ACCOUNTING 1994. KUHUSU KUPOST COMMENT KILA MTU ANAONGEA KWA UHURU WAKE NINACHO JUA WEWE KAKA MICHUZI MARA NYINGI UNACHUJA COMMENT SASA KAMA UKIWEKA CONTROVESSIAL ISSUE BASI KUNA KILA DALILI UTAKUTANA NA COMMENTS NYINGI ZA NEGATIVE. KWA HIYO MIMI PIA NI NALITOLELA KAMA HAJUI HILI NI JINA LA UKOO KAMA KINA MASSAWE KINA CHACHA AMA MOSHA! ASANTE KAKA MICHUZI
ReplyDeleteKwani SAT ni nini? mbona ni mitihani ya kitoto hata watanzaniac wenhgi tu wanaweza
ReplyDeleteku-pass, ni mitihani ambayo inaangali kama mtoto anaweza kumudu maso ya college na mara nyingi hutumiwa sana na Wamerikani, SASA Bill Gates kupata 1560 hiyo si hoja ya kumuona kuwa yeye ana akili, hata kusoma Harvard two years na kuacha pia hiyo si hoja, hana degree alishindwa kumaliza kwa vile hakuwa na uwezo kiakili,anabahati tu kwa vile alizaliwa USA nchi ambayo mtu yoyote hata kama hajasoma anaweza kufanikiwa kimaisha kama atajaribu kwa bidii, hata wewe kama ungezaliwa USA na kujaribu maisha kwa bidii zako ungeweza kutoka, hii ni kwa sababu ya level ya maendeleo waliyofikia kitu chochote kina soko, wapo watu wengi wa aina ya Bill Gates duniani na wamefanikiwa, hivyo huyo Mr Blue kama ameamua kutafuta kwa music anaweza pia kufanikiwa kwa kiwango cha kitanzania si lazima asomee degree. Hapa chini nimekuletea maelezo ya SAT nini?The SAT, is Scholastic Aptitude Test, measures reading, math, and writing skills, as well as specific knowledge for difference academic subject areas in the Subject Tests. It is used by American colleges and universities as an indicator of the applicant’s academic caliber, or how they might be expected to perform in a college-setting. The SAT test is required of prospective students applying to undergraduate programs of study in the USA and Canada. There are two separate exams for the SAT: the SAT Reasoning Test (formerly SAT I) and the SAT Subject Tests (formerly SAT 2). The SAT Reasoning Test measures general verbal and math reasoning skills and does not require any specific knowledge. The 22 SAT Subject Tests are designed to identify student’s expertise in a particular academic subject, such as literature, history, languages, chemistry, biology, math, physics, and others, and that is all about SAT. Is not something ya kumsifia mtu.
aliacha shule kwa kukosa ada usimlaumu bure kama alivyosema mdau kila mtu na destinationa yake. unasema tu asome, asome, babako angemlipia ada?
ReplyDeleteNyie kina Nalitolela mnatuchosha na kelele zenu hizi za kutumia majina yanayofanana niwaulize hivi nani kati yenu analipia kodi hilo jina basi na awe mmiliki halali, endapo hakuna anaewasilisha chochote TRA basi mujue kuwa kila mmoja wenu anahaki ya kulitumia, zaidi ni kwamba nyinyi ni ndugu labda mzee alichepuka bila kujua na kuokoteza mtoto mwengine ndo maana majina droo, tena muwe waangalifu kwenye mirathi kuna mmmmoja atalamba haki za mwenzake msipochunga ohooo, lol
ReplyDeleteBy the way tunashukuru mmetubainishia kuwa mpo wawili hivyo tutawatambua kutokana na comments zenu mmoja wenu huwa anaongea ufyuso na kuchafua sana hali ya hewa humu na mwengine anaongea mbolea sasa msiwe na wasi sisi tumesha wa mark na tunawasamehe bure, hasa pale tunapojua kuwa uhuru wa kuongea upo ila tunakupima na kukugrad kwa matamshi mtakayotoa, tutajua huyu ni yupi na huyu ni yupi msijali hapa ni jamvini mtu hubwataaaa na wengine huweka nyungo zao na kupepeta pumba huzitupa na mteleza wa moyo/ mchele huuweka kwenye tenga na kuutunia okay???? peacesssss basiiiii.
ALOANDIKA HAYA ANA FIKIRA POTOFU "hana degree alishindwa kumaliza kwa vile hakuwa na uwezo kiakili,anabahati tu kwa vile alizaliwa USA nchi ambayo mtu yoyote hata kama hajasoma anaweza kufanikiwa kimaisha kama atajaribu kwa bidii"
ReplyDeleteLABDA TAFUTA YJUE SABABU HASA ILIYOMFANYA BILL GATE KUACHA MASOMO, PIA KAMA UNA AKILI ZA KUWA UKIZALIWA USA UNAWEZA KUFANIKIWA, WELL YOU BETTER WAKE UP AND SMELL THE COFFEE!
Mlitaka auze unga ndio mumwone shujaa. kama ni form Two alishindwa ada nyie mngemlipia. manaona wivu tu hapo....mfupi, sijui nini nyooo wengine mmemaliza form four na hata mbele wala nyuma hamna.
ReplyDeleteNi wangapi wenye elimu ya form four na wako juu ya mawe?
Tafuta trip nyingine tena uwachome roho zao kabisa.
Wataimba sana lakini wewe kaza kamba tu. Walitaka ulost wakusema sasa wanashindwa kunywa maji.
Je huyu ni mtoto........ ????? au ni Kijana au Kamtu kazima ??? mbona hakaeleweki ?? Then Humu kanawapambe kibao wanakafananisha na Bill Gates....Teh teh teeh teh!!! lol !! wabongo bure kabisa!!!!
ReplyDeleteWewe anon wa September 10, 2008 4:02 AM acha ujinga. Bill Gates ndio anayekuwezesha wewe kutype huo upuuzi wako.
ReplyDeleteInaelekea wewe kwenu ndio wa kwanza kufika Chuo Kikuu kwa hiyo unadhani degree ndio kila kitu.