Kaka
Wakati natembea tembea mitaa ya Nyali hapa Mombasa nikitafuta CD za Juma Bhalo, niliona fulanazzzzz kama inafanana na ile ya Jamii.
Kama ni yenyewe, mie niambie nitaingia full majeshi kuikomboa, najua Kenya kwa sasa hawana jeshi, wote wamekimbilia Somalia kuokoa meli ya Silaha iliyotekwa na maharamia
Mdau Sele

Mkuu,Pokea hii link uone kama Tshirt inafanania
lost-and-found-michuzis-tshirt.html#links
Could this be the missing Michuzi's Tshirt? A fellow blogger Issa Michuzi early this week reported the loss of his favoutire Tshirt. He has been getting leads from Tanzania to Brazil on the whereabouts of his favourite attire. This picture was taken at the Congo Street in Dar, popular for selling second hand clothes (Picha: Mdau).


kaka naomba nihifazi lakini nimeona fulana kama yetu ama nimefananisha tuwasiliane ndugu yangu.
mdau Seven Sisters,
london

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. michu jamaa huyo sasa mtoe nanii

    ReplyDelete
  2. Tunawasiwasi na huyu dingi wa oicha ya hapo chini! hii ndio fulanaz!!!!! ya blog ya jamii,lazima atiliwe mashaka

    ReplyDelete
  3. kazi ipo maana hiyo fulana ilivyowashuhulisha watu sio bure iko namna....au wale mafisadi wameimendea hiyo the fulanazzzzzzzz
    wameona kwanini umekua balozi wa zain sasa kaa chonjo mkuu wa mkoa mwaka huu ni wako mafisadi macho yao yote yako kwako

    ReplyDelete
  4. Mimi nilijua tu hiyo fulana ya balozi itaibiwa, kasheshe lilianzia pale balozi alipokuwa na kijivakesheni Sudani, wakapiga makeleleee wee, hiyo flana, flana, nikajua ni wazi itakuja ibiwa tu.
    Ushauri kwa balozi, ukiwaendea Bagamoyo sijui mlingotini wao watenda Chamanzi kuna mganga anazo ANTI-BAGAMOYO scuds, siri yako, kwa kumfanyizia mkwibi wa flana yako, balozi nakushauri uende "MANEROMANGO". pale pana mama mkwe wangu ana titi moja tu, na mguu mmoja tena una tende, huyo kiboko, siku moja tu mkwibi atakuja mbio kwako kukuomba samahani na mkononi kaishika flana.
    Naomba kuwaslisha.

    Q

    ReplyDelete
  5. Mimi nilijua tu hiyo fulana ya balozi itaibiwa, kasheshe lilianzia pale balozi alipokuwa na kijivakesheni Sudani, wakapiga makeleleee wee, hiyo flana, flana, nikajua ni wazi itakuja ibiwa tu.
    Ushauri kwa balozi, ukiwaendea Bagamoyo sijui mlingotini wao watenda Chamanzi kuna mganga anazo ANTI-BAGAMOYO scuds, siri yako, kwa kumfanyizia mkwibi wa flana yako, balozi nakushauri uende "MANEROMANGO". pale pana mama mkwe wangu ana titi moja tu, na mguu mmoja tena una tende, huyo kiboko, siku moja tu mkwibi atakuja mbio kwako kukuomba samahani na mkononi kaishika flana.
    Naomba kuwaslisha.

    Q

    ReplyDelete
  6. te!te! jamani watu kweli ufanana!
    unajua huyu mzee mwenye hii fulanaz!!!! nilifikiria labda Papa Wemba kaiba fulanaz!!!ya blog!!!

    ReplyDelete
  7. MICHUZI MIMI NI MDAU NILIYOONA MECHI YA SIMBA KWENYE KARAI JANA MATOKEO YAMEGEUKA SI KAMA NILIVYOONA KWENYE KARAI SIMBA IMESHINDA 1 - 0. NIMEONGEA NA MTAALAMU AMENIAMBIA HAYO NI MAMBO YA KAWAIDA KUTOKEA HATA SHEIKH YAHYA YASISHA WAHI KUMTOKEA ALIONA MECHI LAKINI MAMBO YAKAGEUKA. NADHANI MNAKUMBUKA. KUHUSU T-SHIRT AMESEMA ANAOUWEZO HUO WA KUMJAZA MI-T-SHIRT TUMBONI KAMA MAMBO YAKIGEUKA BASI M-T-SHIRT YATAENDA KWA MMOJA WA SHANGAZI YAKE.

    ReplyDelete
  8. michuzi nenda SUMBAWANGA,kuna mganga anaitwa AINEAINE,palesokoni,mbuyuni,karibu na stendi ya mabasi,fulana itarudi tu.masharti yake magumu,sana sana atakwambia mpelekee nyoka mwenye kengeza na kasuku ambaye ni zeruzeru

    ReplyDelete
  9. Mie Naona Bola ilivopotea Maana Misupu Ulikua Na Unampango Wa Kuipigisha Mnada Na Ingenunuliwa Bei Nzuri Kweli.Mie Nina Wasiwasi Utakua Umivunja Masharti Ya Mganga Ndio Maana.Job true true

    ReplyDelete
  10. Mzee Kaunda mpaka leo na kitambaa chake cheupe mkononi, Marehemu Mwl. hakupoteza kifimbo na wala Mzee Kenyata hakupoteza usinga wake vile vile Marehemu Kuku Ngubendu Wazabanga alikufa na bakora yake mkononi, iweje weye upoteze utambulisho wako kianaaina!!? Mkubwa labda umekwisha ipiga bei maana si mda mrefu uliandamwa na miofa minono kibao!! Siyo kwamba ulikwisha pata cha mbele kaka Michu halafu unatuzingua sisi wakati unajua fika kafulanaaaazzzzz kapo mahala kwa mdau aliyekupa mkono mnene!!! Hata hivo nami huko Botswana ninapita pita mitaani nikikaona nitakutonya (dRU)

    ReplyDelete
  11. kaka iyo kafulannas nimeiona tumaini iringa jamaa anadai we ni shemeji yake du nilikutana nae pale miami bar kwenye nyama chomaz sasa ni kweli una shemeji tumaini university na kama yeye ni mwanaume we una mdogo wa kike? au we ndio namna gani kwa dada yake? au wadau mnisaidie

    ReplyDelete
  12. ze fulanazzzzzzzzzzz,,,haha hahaaaa tih tih tih,,,
    ila iyo juu ndo yenyewe ebu mdau ifatilie basi,,bt iko ndani ya home la mtu??kulikoni???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...