mfalme mswati III wa swaziland akiwasili uwanja wa simhlolo jijini mbabane kusherehekea hepi besdei yake ya kuzaliwa ya 40 na pia miaka 40 ya uhuru wa nchi yake maarufu kama 40 kwa 40
JK na mflame msati III kwenye dhifa ya 40 kwa 40 huko mbabane
Jk na mama salma na mwenyeji wao mfalme mswati III wakiwa tayari kwa lanchi ya usiku
viongozi kibao wa afrika walihudhuria sherehe za 40 kwa 40
mfalme mswati III na wageni wake wakisikiliza nyimbo za taifa
JK, M7, Mama salma na baadhi ya wake 13 wa mfalme mswati III. Mwaka huu hajaoa tena
baadhi ya wazee wakipita mbele ya mfalme kushereheke 40 kwa 40
mfalme mswati III akikagua gwaride rasmi lililoandaliwa kusherehekea 40 kwa 40 huko mbabane

Huyu jamaa bado yupo karne ya sita.Babu yangu mzaa bibi yangu upande wa mama na utemi wake hakuwa na wake 7 sijui huyu ana mudu vipi kuwashughulikia wake wote 13?Lazima mtu anadhulumiwa haki yake.
ReplyDeleteHahaahaaaa, huwa na imagine kama JK nayaye akaonyesha tumbo lake kama hivyo, aiseee tutacheka
ReplyDeletesioni kama kunatatizo, kwani mwezi unasiku 30 kwa hiyo anauwezo wa kukutana nao mara mbili kwa mwezi kila mmoja wao. kulikoni kuwa na mmoja na nyumba ndogo nje nyingi na ma girlfriend kibao. humuoni alivyo strong.
ReplyDeletesioni kama kunatatizo, kwani mwezi unasiku 30 kwa hiyo anauwezo wa kukutana nao mara mbili kwa mwezi kila mmoja wao. kulikoni kuwa na mmoja na nyumba ndogo nje nyingi na ma girlfriend kibao. humuoni alivyo strong.
ReplyDeletesioni kama kunatatizo, kwani mwezi unasiku 30 kwa hiyo anauwezo wa kukutana nao mara mbili kwa mwezi kila mmoja wao. kulikoni kuwa na mmoja na nyumba ndogo nje nyingi na ma girlfriend kibao. humuoni alivyo strong.
ReplyDeleteHuyu M7 hana mtu wa kumshauri kuhusu mavazi? sasa mtu suti na kofia ya kwenda mawindoni? mweeee mimi sisemi sana
ReplyDeleteaisee,,,uyu jamaa anadumisha haswa utamaduni na maisha yetu halisia
ReplyDeletesio uwestenaizesheni apa,,,
namfagilia aswaaa,,ingawa inabidi ktk suala la sasa la ukimwi atakufa asa izo binti anazozioa 13 lzm watoke nje tuu,
mbigiri, nafikiri kuna watu maalum kwa ajili ya kumsaidia mfalme kuwashughulikia.. lol...
ReplyDeleteWasi wasi wangu ni hawa wake zake na mfalme mwenyewe wamepimemwa mdudu? Hata kama aliwaoa wakiwa mabikira but who knows kama wanamcheat! Maana wasichana wadogo hivyo na damu yao bado moto watasubiria huyo king twice a month? Ideal watu wa unri huo hukutana angalau mara 2 au 3 kwa wiki. Haya! hizi mila zitatumaliza. Na nasikia huko sauzi mdudu yupo kila mahala.
ReplyDeletehivi kumbe hata watoto wa viongozi wanadanganyaga umri? huyu kijana kitambo kile akichukua uongozi nilikua nimelingana naye. Nakumbuka sana kwa vile birthday zetu ni moja. Sasa leo jamani kafikishaje miaka 40 wakati mimi nina miaka 38? Do I miss something? Serious.
ReplyDeleteNadhani Ukimwi sio kuwa na wake wengi bali ni kujiheshimu, utashangaa nchi za arabuni ambapo wengi wameoa mitara hawana maambukizi mengi ya ukimwi ukilinganisha na nchi zetu. Inategemea na culture ya mtu. kwetu tumejiweka kama mbuzi fulani vile yaani ukiona tu unataka kula. Una mke/mme lakini bado unaona haitoshi.
ReplyDeleteso tuangalie mambo mengine sio kusema wake wengi ndio ukimwi, that is a measure of ignorance. nakubali kwamba probability ya wake zako kutoka nje ipo kubwa but pia inaweza kuzidiwa na probability ya wake mmojammoja wetu ambao hukubali kuolewa bila mapenzi ya kweli. Just 50-50.
G7
UK.
Mimi siipendi hii katika karne hii bado kuoa huku. naona kama kudhalilishana vile. Hivi na queen naye anaweza kuruhusiwa kuwa na wanaume wengi hivyo?
ReplyDeleteJuzi nilikua naangalia kipindi cha COPS nilicheka kufa. Police waliitwa sababu ilikua house distabance. Walivyofika tazio mwanamke anaishi na mume na boyfriend kwenye nyumba moja. sasa wamepigana hao wanaume. Police wakamwambia yule mwanamke aliyefanya wanaume wapigane lazima uondoke akasema nyumba yangu hii. Sasa police akamwambia so you have to choose who to keep in your house either your husband or yor boyfriend...Mwanamke akasema how about keeping them both. Ilibidi police acheke
Nchi hii inaongoza duniani kwa percentagewise ya watu wenye ukimwi per its population, na ina masikini wengi kuliko sehemu yoyote duniani ukilinganisha na idadi ya watu wake, lakini huyu mfalme anafuja pesa za umma, ana magari mengi, hasa hupenda BMW ambayo mwenyewe hajuwi idadi yake , pia ana private ndege kubwa ambayo anaweza kubeba watu zaidi ya 300, wananchi wake wanalalamika jinsi anavyofuja pesa za nchi, hata siku hii ya sherehe kulikuwa na maandamano ya kupinga mwenendo wake wa matumizi ya pesa na jinsi asivyowajali wananchi wake.
ReplyDeleteMfalme anamuangalia J.K na mambo aliyompa,Rais tunaye sio mchezo pamoja na mapungufu yake ila swala la pamba naona liko mwake.
ReplyDeleteKuna usemi unasema hiari yashinda utumwa, na kusudi haina pole pia kugombana na mtu kutaka.Mbali na machifu wetu wa zamani wakimpenda msichana hubebwa juuu kwa juu wakati katumwa kuteka maji na mamake na kupelekwa kwa chifu na mahari hupelekwa nyumbani bila mjadala chifu huwa kaongeza mke.
ReplyDeleteMimi sijui sana jinsi hawa wake za mswati kama wanakamatwa kwa nguvu au ni hiari, ila kama ni hiari sina sababu ya kuwahurumia jinsi ya round zinakwendaje, maana kwa makusudi mazinma wanajua kuna wanawake kumi na na wewe unajipeleka inamana umekubaliana na hali halisi, Pia uteuzi wenyewe mpaka ukapekenyuliwe uonekane kama kigae hakijatoboka na nini na nini ukweli dhalili wanajitakia wenyewe, siongelei wanawake wale wanaoolewa kwa mitala pasi na wao kupenda ila mume kaamua.
Jamani, kwani hamjui M7 ana upara!!
ReplyDelete