prodyuza mahiri wa muziki na filamu ally baucha anakukaribisha mdau kwenye anga zake ambazo zimetimia kikamilifu kwa vifaa na utaalamu wa kileo. wasiliana naye kwa anuani hizo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hiyo documentary, ndio inavyoandikwa au? akipewa kazi ya ku edit ataiweza kweli ikiwa tangazo lake tu mwenyewe kashindwa ku edit ... kaaaz kweli kweli, hiyo ndo bongo..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...