akiwa bado yupo yupo ukerewe, binamu akifanya makamuzi ya kufa mtu club afrique

wadau kibao walikuwepo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kweli kabisa bado tupo tupo kwanza haraka ya nini usawa wa Joji Kichaka wa washington? kazi njema B

    ReplyDelete
  2. mambo mswano, lakini balozi mi naomba kamusi ya kimichuzi....majina ya wilaya na distrikit yanazidi

    ReplyDelete
  3. Haya Inspekta haruna yuko wapi, anaweza kufunika namna hii. Kazi kutafuta umaarufu kwa kutumia mipini ya wenzako. Kama umechoka mshkaji na gemu huliwezi, tafuta kazi.

    Nilipata chance ya kujumuika hapo na vijana walikuwa hawajapata kumuona aki-perform live walikubali kama jamaa kweli anajua ku-entertain pamoja na kwamba nyimbo zake zime base sana kwenye hiphop.

    ReplyDelete
  4. We Anony wa 10.10 kweli mswahili, sasa ndio unafananisha nini? Utafikiri umetoka usingizini. Hata mimi nilikuwepo lakini hakuna cha ajabu, bado wasanii wana kazi kubwa. Huyu bwana sio kipimo cha ubora wa stage maana kuna wanaojitahidi sana kwenye performance kama Jide, AY TMK na Chid Benz. Na ukumbi wenyewe ndio balaa utafikiri darasa la shule....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...