ile fulanazzz ya jamii imeonekana huko ukweni (kampala) ambako mai dota wangu (nikiwa nae pichani) anakula nondozz. nawashukuru wadau wote waliohangaika katika kuisaka, ikidhaniwa mtu kaichapa. ingawa mie kiinglishi iz not richebo, jamaa aliyenisomea email hii toka kwa mai dota wangu inasema fulanazzz anayo shuleni, aliipakia kwenye begi lake kwa bahati mbaya. nafanya juhudi irudishwe haraka ili libeneke liendelee. email yenyewe ni kama ifuatavyo. dah! mai dota anataka kuniumbua sasa. kiinglishi chake kigumuuuu...
Hello Daddy!
Eid Mubaraka. I am happy to wish u and mom a very happy Eid, and also I send my congratulations for completing the fast. I too did fast and am happy that I will be joining my fellow students in the cafeteria for all meals here at school. I miss the futari mom used to make for us. Especially tambi and magimbi. But I am still wondering why you don't like uji.
I arrived in Kampala safe, although there was a delay in landing, the plane circled several times before it touched the airport ground. We were told that there were birds at Entebbe airport therefore we could not land until they were chased away. I wasnt fightened. My friend, Rebecca, who we were seated together was crying. She said we are going to crash. I told her to close he eyes and pray. I did too. But I didnt cry. Aren't you proud that i was brave?
As you know already, I will be starting my Form IV classes soon after Eid Mubarak. I am so happy that I will soon be finishing my 'O' level and I promise you that I will go to Form V with flying colours.
Before I finish my email please forgive me because I have got your favourite T-shirt with me here (That light-blue one with yellow and black stripes). I had somehow packed it together with my clothes after I had ironed them. I hope you are not missing it much because I have seen plenty of Liverpool jerseys in your wardrobe (Have you fixed the loose screws of the cupboard's door, i am happy if you have because the creaking noise always made my teeth hurt). But if you need the T-shirt back before I come for December holidays, i can give it to Uncle Juma who will know how to get it to you.
Otherwise I am fine and thank you for the pocket money (its not enough, next time I beg you to add some more because my friends laugh at me for not having enough money to spend) and also remember you promised me a laptop if I do well in my Form IV exams. I will not fail and that laptop should be waiting for me when I finish next year.
I Love you Daddy, say hello to mom and aunt Vicky
Yours
Mamou
PS: Daddy, don't forget to say hello to aunt Lady Jay Dee. Tell her i was so happy to meet with her that day the Zain company gave you the ambassador post. My friends would not believe that I met her until I showed them my album. She is so sweet and sings well. I can sing all her songs by heart. But my friends and I like the South African one she sang with Mina Nawe (what's the name, i forget). We jive a lot when it is being played.
Bye...
Huyo uncle Juma asipewe T-shirt, ungeenda kuifuata mwenyewe.
ReplyDeleteMichuzi.. najua hapa issue ni T-shirt ila na uhakika watu watatoka nje ya topiki kwa ajiri ya mai dota wako.
he he
ReplyDeleteEid Mubarak uncle Misupu.
Uncle Misupu kwanza hongera kwa kuipata fulanazzz ya jamii, vile vile wallah una mtoto mzuri weye aaaaaaaaaaahhhhhhh.
nikirudi naja toa posa...hala hala usinibanie, nitakuja na ngamia mie mtoto wa Lushoto.
aaaaaah! na mie naanza inglishi kozi ili tuelewane vizuri, kaaa.
Ba Mkwe hongera kwa kafulana ketu kuonekana.
Eid Mubaraka.
Yaani wewe Michuzi mimi nilikuwa naku-mind, lakini kwa mchezo huo unajishushia hadhi yako kama mkuu wa wilaya ya nanihii na balozi wa zain. Acha hizo wewe! Na najua utaminya hii comment kwani ndo zako na twazijua. Kafie mbele!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHongera kuipata fulanazz ya jamii. In addition, nimependezwa na command ya lugha aliyonayo my dota wako. I hope ni zaidi ya kuifahamu lugha. Natumaini atakuwa vizuri hata katika masomo mengine pia.
Heri ya Idd.
Mi nilijua tu itakuwa mamou, ndo mana nkanyamadha kimyaaa!sababu alikuwa hakipendagi hassa kukipigaga pasi. Kakibeba maksudi!
ReplyDeleteAdabu yake no more pocket money mpelekee tambi na magimbi anayoyamisi!
Jamani, Ki "FULANAAAZ" kimeenda "VEKESHENI" kwa wakwee!
ReplyDeleteNimeipenda hiyo barua. Inaonyesha mtoto kalelewa kwa malezi ya upendo na amani. Nimejisikia raha moyoni. Hongera Michuzi.
ReplyDeleteNgoja na mi nioe nipate wangu.
Duuh!mtoto anatema ngeli si mchezo,
ReplyDeleteMkuu wa nanii hapa inabidi uanze kutafuta Laptop uliyo promise maana kwa ngeli aliyotoa tu unaona kuwa atafahuru.
Hey MAMOU kaza buti(BOOKS) Ding ataongeza mshiko wa kuspend hana cha kukuambia mashavu yote unayaona mwenyewe!
Kaka Michuzi,
ReplyDeleteMosi, Hongera kwa kuwa na mtoto mwenye nia ya kufanikiwa kielimu. Hongera sana kwa kumwendeleza hadi kufikia hapo alipo.
Pili, Hongera kwa kuipata fulana yako.
Mwishowe, hongera sana kwa habari mbalimbali unazotupatia.
Idumu blogu ya jamii.
MBONA BARUA YENYEWE KAMA VILE HAKUWA ANAKAA NYUMBANI KWAKO?...AU UMETUNGA NINI? ("...As you know already, I will be starting my Form IV classes soon after Eid Mubarak....")....POA LAKINI, MTOTO WAKO MZURI BABU KAMA VILE MAMA YAKE
ReplyDeletehahaha michuzi muhuni sana..nimecheka sana hapo eti anataka kuongezewa pocket money,naona utakuwa umemuumbua my future wife...anyway mtoto hapo unae misupu...mimi nataka kumpeleka mogadishu(Somalia)huyo nimvishe na maushungi.
ReplyDeletemdau Sweden
Kaka Michuzi, Mr.Ambassador aka Mkuu wa Wilaya ya nanihiiii.
ReplyDeleteHONGERA KUPATIKANA KWA FULANAZ,
Nimefurahi sana, naamini wana-blog watapata libeneke fresh kabisa maana aikili yako ilikua haijatulia kabisa, kila situ mawazo ni fulanaz, wadau wa blog pia tulikua tunaisaka kila pembe ya dunia.Nashukuru mdau wa Brazil kupata picha ya baunsa, ilikua ktk pilika ya kuhakikisha fulanaz inapatikana.
Nakutakia IDD Njema kaka Michuzi,
Nashukuru kwa kuni-postia matangazo yangu khs Nondoz-Netherlands na ule mchongo wa Marekani.Naaamini wadau wanaufanyia kazi.
MAKULILO Jr,
makulilo@marshall.edu
1-304-633-0978
Tunashukuru the fulanaz imepatikana, ila haka si kamchezo ka kifisadi? chuzi na rojo wamecheza gemu ili kombe lirudi nyumbani?? Naomba serikali iunde tume kama ya Kipenka mambo yawe hadharani!!!!
ReplyDeletengoja niweke maelezo mawili matatu kidogo.
ReplyDelete1. huyo binti hapo juu mmefanana kweli ntu hawezi kubisha kuwa ni damu yako. almost ni photocopy.
2. nashangazwa kuwa wewe michuzi ni mmoja wa watz wanaodhani kuwa elimu katika nchi jirani ni bora kuliko hapa bongo. mnatumia fedha nyingi kupeleka watoto wenu huko wakati shule ambazo mmesomea nyinyi zipo na zinatoa elimu sawa na hizo. au tatizo wao waganda wakenya na south africa wanatumia kiingereza sana?
3. maelezo yako kuhusu fulana yanapingana na tangazo lako ambalo ulisema kuwa fulana ilipotea uani. sasa hapa unatwambia kuwa anayo dogo huko kampala. sasa ilipotea uani au aliichukuwa dogo kabatini baada ya kuchanganya na nguo zake?
inaonekana fulana haikupotea isipokuwa ulitaka usikie wadau wanasemaje kama wanaimind au vipi fulana yako.
ahsante kazi njema
"MTOTO SI NGUO...UKAOMBA MTU MAMA....UKIKOSA WAKO UTALIA SANAA...KIKOSA WAKOO OO UTALIA SANA MAMAAAA"
ReplyDeleteMawasiliano yenu yameniimpress sana. Hongera Michu..Ukielimisha mwanamke Umeelimisha Dunia
Mdau
Japan
"MTOTO SI NGUO...UKAOMBA MTU MAMA....UKIKOSA WAKO UTALIA SANAA...KIKOSA WAKOO OO UTALIA SANA MAMAAAA"
ReplyDeleteMawasiliano yenu yameniimpress sana. Hongera Michu..Ukielimisha mwanamke Umeelimisha Dunia
Mdau
Japan
Hey, michuzi sio kama nataka kusema ni ushamba lakini ni ushamba hukutakiwa kuweka hiyo e-mail ya mtoto wako hapa!! Kwani hiyo ni private matte, ulichotakiwa na ku-copy and paste ile sehemu ya t-shirt!!
ReplyDeleteMichuzi mambo gani haya ya kumfanya mai douta wako kukupigia pasi? Junior si yupo?
ReplyDeleteohh she is so sweet sasa muhimu kufix mlango wa kabati unamuumiza mtoto meno wacha ubahiri mtumie hela zaidi michuzi ni mbahiri sana
ReplyDeleteHongera kwa kuipata hiyo fulanazz. Pia hongera kwa hiyo barua yenye maudgui mazuri. Pia hongera kwa vile posa itakayoletwa hapo baadae haitakuwa ya kitoto mzee, umetunza chema
ReplyDeleteHow sweet!?, she sounds nice and smart with sense of humor,She is qute too.Hongera kwa kuwa na binti mkubwa na mwenye busara na Adabu.
ReplyDeleteHt,Tx.
Hongera Baba Mkwe kwa kujua ilipo fulana manake ulishaanza kurani mento.
ReplyDeleteDuh! huyo mai dota wako kakuumbua kinoma, kumbe mkuu hupendi uji halafu huwa unampatia kapoketi mane kadogo huku wewe kila siku unakula vakesheni?
Baba Mkwe acha hizo uwe unamcheki cheki kiaina dota ili naye ajivunie kuwa na baba kama wewe manake ukimbania mshiko namna hiyo utamfanya awe na stresi halafu asifanye vyema shuleni.
Anyway nifowadie na mimi hiyo imeili ili nimpe pole ya kupewa boom dogo halafu tujadiliane namna ya kuishi kwa kubana matumizi.
Idi Mubarak!
Ndimi,
Mkweo
Michuzi,
ReplyDeleteNa mie Kiingilish is not reachabo, ila ningependa wadau wote pamoja nami tukupe adhabu ya kusimama kwenye kona ya ukuta huku ukiutazama ukuta kwa dakika tano ( hii ni adhabu wanapewa watoto ughaibuni wakiwa wakaidi).Tunakupa adhabu hii kwa sababu umetuchezea dili sisi wadau wa globu hii tukufu. Mie binafsi nisha muajiri mpelelezi binafsi tena mwenye koneksheni na skotlendi yadi na kei jii bii; anadai angeungana na mosadi wale makachero wa kiyahudi kuisaka. Sasa pesa yangu yote ndo ishazama halafu binti yetu anatokea akituambia ...oooh eti fulanazzzz iko uganda.Tunampenda binti yetu kwani atatutafsiria email nyingi na MIKATABA ya nchi yetu baadae; lakini kwa sasa mwambie adhabu yake ni kucheleweshewa ile kibofyeo cha mapajani punde amalizapo kidato cha nne.
Wadau wenzangu tusikonde mapendo na aluta kontinua.
Mkubwa narudia tena unasocial skills ya hali ya juu, keep it up.
ReplyDeleteMDAU WA FINLAND
Mheshimiwa balozi, mkuu wa wilaya, mzaa chema, mwendeleza libeneke...
ReplyDeleteNimefurahi sana kwamba hatimaye ZE FULANAZZZ imepatikana. Kwa kweli kwa VITISHO ulivyotoa, wengi tulihangaika sana kuitafuta na wengine tumepata majeraha kwa kutaka kuwavua watu fulanazzz zao... Lakini Mungu ni mwema na amekuonyesha WEWE na wengineo kwamba MVUMILIVU HULA MBIVU. Kama ungekimbilia kwa wakina nanihii ili mwenye fulanazz yako adhurike,,, ohoooo unaona sasa ungetuliza wengi maana binti huyo kwa kweli ameumbika!!!
Nakutakia siku kuu njema sana. Ubakize kidogo za kumtumia mtoto asijisikie vibaya...ila pia mfundishe kwamba asijifananishe na wengine kwa mali tu. Ajue kwamba wengine hawana wazazi wanaowapa upendo wa dhati kama wewe unavyompenda.
Mheshimiwa sana Misupu!!!
ReplyDeleteUnajua na sie wengine tulishataka kuanza kusheherekea sikukuu na kupatikana kwa ze fulanazz mpaka niliposoma sawasawa kwamba binti yako alichukua fulanazz gani ... (That light-blue one with yellow and black stripes). Yaani...aliyo nayo yeye ina mistari ya NJANO na NYEUSI. Ninavyoijua mie ze fulanazz ina stripes za blue, black, white na gray. Iangalie tena kama alivyoitoa kwenye tarehe 26.9.2008.
Kwa hiyo tuendelee kuitafuta!!!
Kama Fulanaz!!!!Isingeonekana!Basi
ReplyDeletelingekuwa soo la kimataifa!tena mwambie bint yako? asifanye mdhaa kabisa na FULANAZ!!!!!!!!
Mmmmh, anakiingeredha kigumu.
ReplyDeleteQ
HappY EiD Michuzi! Thanks for sharing with us your family.. we get to know you better!!!
ReplyDeleteShe is so sweet and lovely, hongera baba kwa kuzaa chema na malezi mema. Ila huo mchezo wako wa kumpa allowance kidogo utakuja lia baadae kama wajanja watakuwa wanamuongezea akiishiwa, bora ukose kunywa soda wewe lakini uhakikishe hakwami kwenye matumizi yake madogo madogo. Maana makunguru ya Unguja na mamwewe kazi yao kutafuta viranga vya watu wanaweza kujifanya tumetumwa na baba yako tukusaidie kukuongezea allowance halafu utakuja lia kilio cha mbwa meno juu.
ReplyDeletemichuzi hongera sana kwa kujali elimu kiasi cha kumpeleka huyo dogo huko aliko. usijali maneno ya waosha vinywa kuhusu kuiweka hiyo barua hapo, lazima watoto wengine wa form four wajifunze kutoka kwake, ungeweka sehemu ya tshet pekee wangesema umeandika mwenyewe,
ReplyDeletena wala usijali kwamba umempeleka mtoto nje, hapo bongo si ndio tunayayushana tu na walimu choooka, kujitambulisha mwenyewe kiinglish mgogolo!
kiswahili chetu sawa, inavokuja miintanvyuu ya kazi wanataka luga ipande, sangapi uwe umesoma shule ya halmashauri ya wilaya ufaulu intavyuu??
kaza buti binti michuzi, mpaka hapo uko juu sana, UN tunakusubiri ongezea na french mwanawane uwe full equipped!
Ustaadh Michuzi
ReplyDeleteWhat a lovely communication to receive from your daughter!! Nimeipenda it shows you are good parents and umewalea wanao kwa maadili nakupongeza kwa hili.
Achana na waosha vinywa, si lolote si chochote...!!
Everything is just as good as it is suppose to be.
ooh she is a sweet girl,thats really nice,ana kingereza kizuri na anaonyesha ana heshima sana,God bless her
ReplyDeleteBalozi michuzi huwa sipendi kukurusha comment zinazokuhusu wewe binafsi lakini leo imenibidi.Huwa naona wanablog wengi wanakushutumu kwa kutumia wanachokiita mikonooozzz.Kumbe mikono yako unaitumia kuonyesha upendo siyo kama wadau wengi wanavyofikiria(Ni utamaduni uliouzoea wa roho ya Upendo-Keep it up).Ni hayo tu.Nakutakia sikukuu njema wewe na familia yako
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHuna haja ya kuminya maoni ambayo ni tofauti na yale ya ya kukusifia tu.
Narudia tena kuwa kutundika barua yote ndefu ya binti wako ikiwa na mambo ya kuomba umwongezee vijisenti na hata kuharibika kwa kabati ya nyumbani hakukuwa na haja. Inaboa!
Tena kwa uchunguzi wangu hiyo barua ni jiwe nililolikwepa maana imekaa kiutunzi kuliko hali halisi ninayoifahamu.
Anonymous wa hapo juu kaa kimya wengine hapa tume enjoy kusoma barua nzima. Acha wivu na kawafundishe na wewe watoto wako wawe waerefu. na Anony aliyesema Michuzi ametudanganya fulana haikupotea hiyo ya kuanua nguo mtu unaweza ukaanua nguo zote halafu ukaenda kuzitofautisha baada ya kupigwa pasi kwa hiyo it's possible fulana kuchanganyika na nguo za mtoto aliyekuwa anasafiri kwenda shule. Michuzi tumeenjoy we barua ya daughter usiwasikilize hao wachanganya vinywa. Good job to you and your wife on raising your daughter
ReplyDeleteAnonymous wa hapo juu kaa kimya wengine hapa tume enjoy kusoma barua nzima. Acha wivu na kawafundishe na wewe watoto wako wawe waerefu. na Anony aliyesema Michuzi ametudanganya fulana haikupotea hiyo ya kuanua nguo mtu unaweza ukaanua nguo zote halafu ukaenda kuzitofautisha baada ya kupigwa pasi kwa hiyo it's possible fulana kuchanganyika na nguo za mtoto aliyekuwa anasafiri kwenda shule. Michuzi tumeenjoy we barua ya daughter usiwasikilize hao wachanganya vinywa. Good job to you and your wife on raising your daughter
ReplyDeleteMisupu your doughter is very sweet. You must be very proud of her!pia, naungana na anonymous wa 1.00 pm. Keep it up Uncle!
ReplyDeleteDarling Mamou, usitake laptop ya pili coz October 3 nitakuja nayo kama tulivyopanga. Baba mkwe, Misupu, T-Shirt nitarudi nayo. Wadau, mabachelor na wala vya wenzie, kunradhi, mie ndo nalipa ada na mkwe anatoa poketi mane. Milango ya posa nyingine zije na ngamia toka Tanga ILIKWISHAFUNGWA. Nyote semeni AMINA.
ReplyDeleteMutoto ya fisadi lasima izome njie ya inchi bana. Kama wewe sio fisadi ikane sisiemu, uone kama utapata fisenti fya kijani na njano. Ila msee hongera, nasani wewe ni kati ya tulio wengi tusiounga mkono ELIMU KWA KISWAHILI TANZANIA. BAKITA, mpo? Tafuteni kazi nyingine, sio kutafsiri fitabu fya kimombo kwa kiswaili.
ReplyDeleteNgoma ikilia sana hupasuka!
ReplyDeleteheko kwa kuipata ,mimi nilikuwa wa kwanza kukuambia utafute nyumbani kwako.
ila kuipata ni majariwa ya mwenyezi mungu hasa kipindi cha EID.
kosa...wewe ni mzazi usitoe siri za nyumbani.
na wasiwasi wanafunzi wanaosoma na bintiyo wanweza anza kumfanyia bullying bintiyo wakioa waraka huu.
pia vidume...ndio haswa!!
Mheshimiwa Balozi misupu, Kwa kweli janja ya nyani mimi kwisa jua.Hiyo mbinu yako sisi tumeisitukia.Najua kitakachofuata utaanza kupitisha bakuli ili tukuchangie hela kwaajili ya poketi mane na kununulia laptop.Hiyo ni janja ya nyani tu.Kaza budi hizo ni gharama zako, ukitaka kula nyasi sawa, ukitaka kuweka rehani fulanazzz sawa.
ReplyDeleteNi Mdau-Cardiff
Dad ageni pliz donti fogeti tu seyi helo to ankoz endi antiz wadauz bikozi zeiya komenti meki mi lafu veri veri..
ReplyDeleteMitchu, pamoja na kuheshimu maoni anuwai, hapana budi huyu mdau (anony. 1st Oct. 3.46PM) aelezwe maana (ingawa asiyejua maana haambiwi maana). Nimeshindwa kuelewa linalomkera ni nini, na akipenda basi aliweke wazi. Ikiwa hii ni juu ya mapenzi yake binafsi, basi hamna tabu na iwe ivyo kwani kiinglishi wanasema ‘kitoweo cha huyu chaweza kuwa sumu kwa yule’.. laa ikiwa ana sababu zingine basi na atongoe tupate elewa..
ReplyDeleteNaona ameng’ang’ana na kosa lako la ‘kuitundika’ barua yote…
Yeyote anaotaka kujua sababu za ‘globu’ yako kuwa juu, ajue kuwa mbali na sababu za ki-ufundi (si wa mlingotini!), neshno hili la misupu globu linarandana na haiba yako binafsi ambayo ni ucheshi, uwazi na ujasiri - wa kutangulia njia (Jenerali Ulimwengu ameleta neno jipya katika msamiati ‘kilongola’). Michuzi ni self-made man tangu alipoanzia u-roving photographer (mitaani) hadi sasa ‘ananuka vekesheni’…
Ni rahisi kuona jinsi ‘wadau’ wanavyokutania na familia yako kama vile wamewajua tangu dahari na dahari – ‘mkuu wa wilaya ya nanihii’... Utani wa ‘fulannazz’, ‘konoooz’ na ‘nondooz’ umesambaa humu na kwa ‘blogaji’ (najua halipo, sasa‘kiinglishi noti richebo’, nitende zeze :p) wengine pia.. ni rahisi kuona jinsi ulivyopandisha juu matumizi ya nahau hizo hapo juu na pia ‘kwa watani’, ‘kwa wakwe’, ‘mai waifu wangu’, chuo kukuu cha Dar Univesiti, ‘bwawa la maini’ (ilhali ni dimbwi tu, pool haliwezi kuwa bwawa, bwana – linganisha na swimming pool) na ‘ukerewe’..karibuni tutakua na tungo za ‘misemo-chuzi’ (michuzi speak). Huyu ndiyo michuzi anavyofahamika si globuni tu bali hata kimakwelini..
Moja ya burudani kwenye ‘globu hii ya jamii’ ni vijimambo ambavyo mkuu wa nanihino anavileta mara kwa mara…kama hizi ngano (saga) za ‘fulanaaz’..sina shaka kwamba kwa wadau wengi hii ni burudani tosha na namhimiza mdau mkuu akoleze hili..kwa minajili hii basi, e-mail ya bintiye (kwa ukamilifu wake) imekuwa ni chachandu nzuri..hata kwa akina siye ‘inglish iz not..’..kama imetungwa, imetiwa tui, imeungwa ikakaangwa si hoja hata kidogo..huyu mdau ananung’unika kujua kwamba bawabu za kabati (binti atambue kwamba nguo huhifadhiwa kwenye ‘cabinets/lockers’ sio ‘cupboards’!) wa mitchu unakereza – akatazame BB3, na huko basi hadi ‘makufuli’ ya akina Latoya yalikuwa nje-nje! Dawa yake pekee ni kutotazama na hapapia kama yamkera mdau basi na asisome..
Pia kama ambavyo wamesema wengine, fursa ya kujua kwa undani (kiasi, kumbuka Mitchu hadi leo hajabandika picha ya ‘mai waifu wake’ ikiwa ni ithibati kwamba kujionyesha si hulka yake hapa imebidi tu kunogesha vijimambo…) kuhusu mdau mkuu nayo inaleta burudani ya aina yake..hivi huyu mdau hajaona kwa mfano chapisho la barua za Marehemu Shaaban Robert ama watu wengine mashuhuri kwenye Makumbusho mbalimbali. Ama ndio akili ya watu wengine kwamba habari za mawasiliano ya michuzi na mwanae zitawekwa hadharani miaka 200 kutoka sasa… nakubali kwamba hii yaweza onekana kama vile kuua panya kwa bunduki lakini hasa ni kwa jinsi mdau huyu na mwingine wanavyoshikia bango masuala mengine ya globu bila mashiko yoyote ya maana..
Mitchu, mueleze bint kwamba kiinglish chake kiko juu!.. hata hivyo, ‘ndege zatua kwenye ‘runway’ sio ‘airport ground’.. she might look a lot like you but I also detect uncanny likeness to ‘hima’ features.. a legacy from ‘kwa wakwe’… Ahsante saaana kwa kuboresha maisha yetu sote kwa kujitoa kwetu kwa njia hii ya globu, Shukran!
Mzee Michuzi, tupe kontakts za mai dota wako basi.
ReplyDeletekaka hongera una dongo zuri. mimi nilikupa mwisho miaka 35 siamini una mtoto mkubwa hivi. hongera pia kumlea kuwa mtoto honest and sincere hivi kwa kweli anafurahisha na hongera kwa mkeo.
ReplyDeleteAmb.Michuzi,
ReplyDeleteEid Mubarak!
Have a look at this and think when this technology lands in Bongo.
A Korean telecom company has developed a "Love Detector".
The "Love Detector" service from Korean cell phone operator KTF uses technology that is supposed to analyze voice patterns to see if a lover is speaking honestly and with affection. Users later receive an analysis of the conversation delivered through text message that breaks down the amount of affection, surprise, concentration and honesty of the other speaker.
With this service (in Bongo), we can detect how affectionate our spouses/galfriends/boyfriends are, how truthful and honesty they are, etc.
And we can modify it to be GPS(Global Positioning System) assisted so that the two speakers can always know exactly where the other person is, so that the next time you say you are still in the office, you better be there and not somewhere else. LOL !!
Mdau.
Hongera kak ayangu ...una my daughter mzuri sana na big up kwa kumpeleka shule na anaonekana she knows her things
ReplyDeleteLakini kwa upande wangu don't do this again....she is a teenager ....unajua haya? just imagine ulivyokua na umri huu ...ulikua hutaki hata ding aje shuleni sasa kweli kuweka email yake huku....I don't know.... but personal my dad would have paid big time for this.
Kusomesha nje ya Tanzania mtoto si swala la kwamba elimu ya Tanzania haina maana au ni mbovu ni matakwa ya mtu binafsi, wala si lazima mtu kusoma Tanzania, na wala si swala la kuwa na pesa nyingi, kwanza kwa sasa elimu nje ya Tanzania, hasa KENYA NA UGANDA ni so cheap when compared to our school fees in Tanzania, mimi binafsi ada niliyokuwa nalipia watoto wangu KENYA ni robo ya ada zinazolipwa Tanzania kwa sasa, na UGANDA ni cheap kuliko hata KENYA kwa sasa, na wala mtu hafanyi kosa lolote lile liwe la jinai au madai, kumsomesha mtoto nje ya Tanzania ni matakwa ya mzazi husika, si swala la kutomuona mtu kuwa mzalendo. Mimi binafsi ni masikini wa kutupwa nina watoto wawili wote wamesoma KENYA toka vidudu hadi Secondary school na sasa wanasoma FALMOUTH UNIVERSITY IN UNITED KINGDOM na wala mimi si tajiri wa namna hiyo ni na struggle tu kama watanzania wengine, NI NJIA TU YA KUMPA MTOTO CHALLENGE YA MAISHA, UNAMTAYARISHA KWA MAISHA YAKE MWENYEWE.
ReplyDeleteHili la kuweka barua ya binti yake/binti yetu katika blog wala halina taabu na wala si issue, hata kama ni siri yao familia, na mpaka wameamua kuiweka wazi ni kwama familia imeridhia ku-share siri zao na sisi so there is no wrong with that, as they have decided to waive their rights, mtu mpaka ameamua kutoa siri ya familia hadharani ni kwamba wameridhia kufanya hivyo, BASI BRO MICHUZI ACHANA NA HAO WATU WASIOJUWA WASEMALO
MICHUZI NAONA UNAMNADI MAI DOTA WAKO KIDIZAINI. MAANA UMEMWEKA HAPA ILI AKUTE ANAPATA MARKET KABISAA...THATS SMART!
ReplyDeleteMzee Mithupu KALA CHUMVI.Angekuwa 35 mmngemkoma.LAKINI DONGO LAKO LA FINYANZI KWELI ZURI,lol,You r a Nice guy, we r just having fun with you bro.
ReplyDeleteBarua iko poa, na mpaka michuzi kaitoa hapo, anajua its ok.Kama amelea mtoto mpaka hapo, he knows what he is doing.HONGERA Walezi HASA MAMA MTOTO.
ReplyDeleteWABONGO BANA KWA KUSUKUTUWA VINYWA, SASA HIZO NEGATIVE COMMENT ZA NINI JAMANI? MZAZI KUMSIFIA MWANAYE NI WAJIBU, ACHENI NYOMI
ReplyDeletenimefurahi sana kwa barua ya mwanao m,mungu azidishie mashallah mtoto anapondo sana na familia yake,M,Mungu akuekee na mzidishie,kuhusu fulana nakupa hongera kwa kuoneka lkn hata sijafurahi maana sikipendiiiiiii
ReplyDeleteKwa Mdau wa Oct.01. 9: 07PM
ReplyDeleteUmeandika, “ kumbuka Mitchu hadi leo hajabandika picha ya ‘mai waifu wake’ ikiwa ni ithibati kwamba kujionyesha si hulka yake hapa imebidi tu kunogesha vijimambo”
Katika ‘the truth meter’ hii si kweli. Muulize kaka Michu athibitishe uongo wangu na ukweli wako ndipo utajua kuwa huna cha kunifundisha kuhusu globu hii ya jamii. Kuna siku hata tuliomba abadili na kutundika picha kubwa ya ‘maiwaifu wake’ na siyo ile ambayo ilimuonyesha kwa mbali.
Umeandika, “ Nimeshindwa kuelewa linalomkera ni nini, na akipenda basi aliweke wazi..”
Suala lililonikera ni kuwa maoni yangu ya mwanzo hatakuandikwa mpaka niliporudia na hata sasa sitegemei kuomba kuwa ufafanunuzi wa sasa usiminywe maana itakuwa kero nyingine tena.
Zaidi ya yote, ni kwamba, maelezo mengine (katika email ya binti) yaliyotolewa yalikuwa si ya lazima kufuatana na kichwa cha mada ambacho kilikuwa ni ‘kupatikana kwa fulana.’
Ingawa simfundishi kaka Mithupu kazi (maana anaweza kuwa na uzoefu kuliko wangu) exerpt ifuatayo ingetosheleza kufikisha ujumbe uliotarajiwa.
“...Before I finish my email please forgive me because I have got your favourite T-shirt with me here (That light-blue one with yellow and black stripes). I had somehow packed it together with my clothes after I had ironed them...”
Kwa ufafanuzi zaidi, ebu soma bila mningĂnio maoni ya hawa wadau.
mtoa maoni ya Oct. 01. 2008 11.22 PM
“...just imagine ulivyokua na umri huu ...ulikua hutaki hata ding aje shuleni sasa kweli kuweka email yake huku....I don't know.... but personal my dad would have paid big time for this...”
Mdau wa Oct.01. 7:44PM
“...na wasiwasi wanafunzi wanaosoma na bintiyo wanweza anza kumfanyia bullying bintiyo wakioa waraka huu...”
Mdau wa 9:39 PM
“...Baba Mkwe acha hizo uwe unamcheki cheki kiaina dota ili naye ajivunie kuwa na baba kama wewe manake ukimbania mshiko namna hiyo utamfanya awe na stresi halafu asifanye vyema shuleni..”
M.M. Mwanakijiji
“Michuzi mambo gani haya ya kumfanya mai douta wako kukupigia pasi? Junior si yupo?”
Kwa kifupi hatuna haja ya kumexpose binti na kumfanya awe mada wakati kichwa cha habari ni “breaking nyuzzzzz........ fulanazz imeonekana’ na sio ‘waraka wa your dotazz wangu’.
Hapa hakuna suala la wivu wala kumbeza kaka Michuzi. Yeye ni binadamu anaweza kujikwaa na akasahihishwa. Narudia tena kuwa habari inayohusiana na kichwa cha habari ndiyo ingechomolewa na kutundikwa vinginevyo tutaanza kujadili hata kiasi gani anachopewa huyo binti na atutumie bajeti yake huko Uganda tuone kama analongea ni la kweli au la na tutaomba huyo rafiki yake anayemcheka tumkarabati maana mwanafunzi akiwa na fedha isiyotosha si wa kuchekwa bali kuhurumiwa! Na tutaanza kumuuliza Mwanakijiji,kuna ubaya gani binti wako akinyoosha nguo za baba yake n.k.
The bottom line: superfluous reporting may bring unnecessary questions, if not leading into unwarranted direction!
MICHUSZI MIMI NINA ASILI YA UGANDA NINATAFUTA MCHUMBA AMBAYE YUKO FORM SIX ANAYEJUA KINGEREZA NA MWISILAMU PYUA KWA SABABU NINAPENDA SANA KIPINDI CHA RAMAZANI KWANI TUNAPATIA MUDA WA KUFUTURU KWA KIYO INGAWA MIMI SIYO MWISILAMU LAKINI NITAKUWA NADOWEA FUTARI. HUYU BINTI YAKO NI MZURI LAKINI NINGEPENDA KUJUA KAMA HUKO UKWENI KUNA MARAFIKI ZAKE WAZURI KAMA YEYE. MIMI NIKO DAR HAPA NIMEMALIZA MUZUMBE CHUO KIKUU NA NINA UPEO WA JUU SANA WA MASUALA YA KIGENI/FOREIGN AFFAIRS. NAWAJUA HATA KINA BILL O`REILY WA MAREKANI, KINA BILL COSBY NA BILL CLINTON. NAFUATIRIA VITA VYA GUBA KWA KARIBU NA VILEVLE NAFUATILIA MFUMUKO WA BEI YA MAFUTA NA UCHUMI WA GEORGE BUSH, KAMA UKIWEZA NAOMBA NIPE CONTACTS ZA UGANDA BASI. ASANTE MORA ANAKUPENDA SANA!
ReplyDeleteGood heavens! Nice to hear that fulanaazz imepatikana! Was on my way to Hargeysa market kumkamata yule jamaa niliyemtuhum kuwa ka--- fulaazz kama ilivyokuwa azma yangu after Idd. I am now going to cancel the DAALO flight and Nairobi arrangements!!!! Iwekee security alarm isipotee tena otherwise wadauz tutachanganyikiwa! Amani.
ReplyDeleteGood heavens! Nice to hear that fulanaazz imepatikana! Was on my way to Hargeysa market kumkamata yule jamaa niliyemtuhum kuwa ka--- fulaazz kama ilivyokuwa azma yangu after Idd. I am now going to cancel the DAALO flight and Nairobi arrangements!!!! Iwekee security alarm isipotee tena otherwise wadauz tutachanganyikiwa! Amani.
ReplyDelete