Dirk Kuyt scored an injury-time winner as Liverpool came back from two goals down to beat 10-man Manchester City.

Stephen Ireland lashed in a shot to put City ahead and Javier Garrido curled a 22-yard free-kick into the top corner to extend the home side's lead.

But Fernando Torres sidefooted home and, after City's Pablo Zabaleta was sent off for a tackle on Xabi Alonso, headed in to level for the visitors.

Kuyt dramatically decided the game late on when he slotted in at the far post.
Liverpool showed plenty of character and belief in completing a battling comeback which will only have served to enhance their title credentials.

/football/eng_prem/7639491.stm





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. beat 10-man Manchester City

    ReplyDelete
  2. Hahahah jamani kaka michuzi Ilikuwaje Zabaleta kapewa red card na Martin Skirtel alimrukia Steveen Ireland nadhani kwenye tumbo na hakupewa red ila kwa bahati mbaya kaumia knee ligament. Liverpool meonyesha nia yenu ya kutaka kuchukua League title ila naomba kuuliza Arsenal wanafikiria nini jamani???They should forget about the leage now kama nilivyosema awali maana sisi Manchester united tuko 1 point behind them and 1 Game on hand against fulham alafu narudia tena bado hawajacheza na team kubwa yoyote mbona kimbembe hicho!!Kwa mpenzi yoyote wa mpira so Far bargain of the first 7 games has to be GEOVANI of Hull City huyu jamaa akifunga magoli basi ujue ni goli zuri, on my opinion Hull are safe as they have reached 13 points already they need 20 more to be safe. Totenham haya team zinazidi kuacha chini 7 games no win.I have nothing much to say about our team so far this season despite winning on saturday i am not yet impressed by any of our perfomances so far this season.

    Manchester united for life
    Will Uk

    ReplyDelete
  3. Mkoba Skrytel kaumia enka na atakuwa nje kwa muda mrefu.Na kikosi chenu kilivyo chembamba akiumia mwingine mmekwenda na maji.Usitukane mamba mto bado mpana.

    ReplyDelete
  4. We anony wa 2.21 hujui kikosi cha Bwawa la maini vizuri. Kuna mtu anaitwa Agger, ambaye ana style tofauti na kipaji cha free kicks na mashuti ya mbali.... bila kumsahau babu Hyppia.

    Mwaka huu ni wa Bwawa la Maini tu

    ReplyDelete
  5. Mdau Will UK,hongera kwa kuwa mfuatiliaji na mshabiki wa kweli wa mpira na Man U kwa ujumla.

    Ukweli ni kwamba man u tayari wamesharudi kwenye form tho we unasema hawajaonyesha kiwango cha juu kama kipi??..toa mfano mechi moja msimu uliopita.mwanzoni kweli hali ilikuwa mbaya na hata pia ujio wa Baba Kitovu(Berbatov) haukuwahi ndio maan hata Fergie alisema angependa kama angekuwa nae tangu July 1 na sio Aug 30,hii ni ukweli kwani pamoja na kuwa mchezaji mzuri lakini maelewano dimbani yanakuwa hafifu,ila kwa sasa ukweli ni kwamba wameshaanza kuelewana wote as a team na utaenjoy maana Fergie huwa anasemaga ukweli kwani alidai man u watakuwa on form by October,wait n see.

    Kwa Upande wa Liverpool na Michuzi hongereni kwa mwanzo mzuri wa msimu,siwaombei mabaya ila inashangaza kuwa kila msimu mnaanza vizuri lakini baadae mnaponzwa na DROO wakati ligi ndio inachanganya,MNASHANGAZAGA sana na ni ugonjwa wa long time.lets hope for some changes this time.

    Kwa Arsenal sijui nisemaje ila ukweli ni moja ya miongoni mwa timu zenye mpira wenye mvuto zaidi England,hawana Sub za uhakika na zenye chachu ya kubadili game hali ikiwa mbaya...mfano na Hull City...tuwaombee mazuri ligi iwe na mvuto.

    KWA MICHUZI mwenyewe.....najua unaweza usiweke hii kutokana na kuwa ni ndefu au hujapendezwa nayo but ukweli ni kuwa Tunachoka na kushangaa unaiita hii blog ya JAMII wakati habari za michezo unatoa tuu pale timu yako Liver ikishinda,Je,,,,Jamii yote ni Liverpool????.... Je Liverpool wakidroo na Stock City Jamii haipaswi kujua???
    Je HULL City akimchapa Arsenal jamii haipaswi kujua???au MAN U akidroo na Chelsea hatuoni au ndio hadi wafungwe uwasema ubaya???
    Tunaomba uzalendo pia kwenye michezo sio kila siku YANGA na LIVERPOOL tena hadi zishinde ndio tunaziona.

    Samahani kwa waraka ila Habari ndio hiyo.....................!!

    ReplyDelete
  6. KAKA MICHUZI BWAWA LA MAINI MWAKA HUU WATATUKOMA. MDAU MKWABI SISI MATAWI YA JUU HATA KAMA SKIRTEL KAUMIA BADO TUNAO KAMA YEYE WAWILI NJE BADO TUTAPETA WENYE WIVU WANYWE CHOKAA YA MOTO.

    ReplyDelete
  7. LIGI BADO SANA JAMANI. NYIE LIVERPOOL HAMNA KITU MTAPOTEA NYIE KUWAFUNGA MAN MMECHONGA.
    HAYA TUSUBIRI.ME SINA MAMENO
    MAN U kama kawa by May 2009 ndo tunaongea.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...