Kulikua na mashindano ambapo Baba mwenye watoto 10 anapata million 10.Jamaa alikua na watoto 9. Akamwambia mkewe mimi nilifanya kosa nikazaa nje.
Samahani dear, nilikua sijakuambia. Sasa subiri nikamlete yule mtoto ili tushinde hizo pesa.
Mama akawa anamwangalia tu, asijubu kitu.
Baba aliporudi na yule mtoto wa nje akakuta watoto 5 hawapo. Akamuuliza mkewe watoto wapo wapi? Mke akajibu wamekuja kuchukuliwa na baba zao.
Mdau
Rhxoqsa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Kazi ipo!

    ReplyDelete
  2. Basi story aikuishia hapo, jamaa akamwambia mkewe hakuna shida kwani ninao wengine saba lakini itabidi niwatafute wapo wapi na mmoja kati ya hao nilizaa na mama yako.

    Mjusi

    ReplyDelete
  3. Mmmh ze job iz zea

    ReplyDelete
  4. khaaaa wee annon wa pili juu,,,nyamafu,,,
    teh teh teh hahahahhaaaaaaa
    sasa kila mtu atasema ao watoto woote ni wa nje

    ReplyDelete
  5. Ha ha ha ha, aisee wewe mjusi ni kiboko

    ReplyDelete
  6. Heeee..hii kali wadau!!

    ReplyDelete
  7. Great! Hiyo kali...nimecheka sana.

    ReplyDelete
  8. kwa kumalizia ikaamua waede kufanya DNA test ya wilaya nzima wakakuta wote wapo 100% machi. wakaamua kubadili ukoo wote wakajiita mushi.
    by mosha

    ReplyDelete
  9. hahahaha, ahsante kwa joks imetutoa stress imenichekesha hadi walichangia wametufaruhisha

    ReplyDelete
  10. ...Alafu siku ya pili watoto waliobaki yatima/pekeyao manake baba na mama walichukuliwa na wazazi wao...aaaah

    ReplyDelete
  11. Nimetoka kupigwa kibuti da nilikuwa nimenywea vibaya mno lakini baada ya kusoma hicho kichekesho na comment za watu nimecheka vibayaaaaaa mno hata kibuti nimekisahau.
    we need some more!!!

    ReplyDelete
  12. tatizo la hii story haikuishia na happy ending!!! mtoto waa jirani akapata ngoma!!! wakaanza kumeguka mmoja baada ya mmoja wakabaki 8....
    by mosha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...