Kulikua na mashindano ambapo Baba mwenye watoto 10 anapata million 10.Jamaa alikua na watoto 9. Akamwambia mkewe mimi nilifanya kosa nikazaa nje.
Samahani dear, nilikua sijakuambia. Sasa subiri nikamlete yule mtoto ili tushinde hizo pesa.
Mama akawa anamwangalia tu, asijubu kitu.
Baba aliporudi na yule mtoto wa nje akakuta watoto 5 hawapo. Akamuuliza mkewe watoto wapo wapi? Mke akajibu wamekuja kuchukuliwa na baba zao.
Mdau
Rhxoqsa
Mdau
Rhxoqsa
Kazi ipo!
ReplyDeleteBasi story aikuishia hapo, jamaa akamwambia mkewe hakuna shida kwani ninao wengine saba lakini itabidi niwatafute wapo wapi na mmoja kati ya hao nilizaa na mama yako.
ReplyDeleteMjusi
Mmmh ze job iz zea
ReplyDeletekhaaaa wee annon wa pili juu,,,nyamafu,,,
ReplyDeleteteh teh teh hahahahhaaaaaaa
sasa kila mtu atasema ao watoto woote ni wa nje
Ha ha ha ha, aisee wewe mjusi ni kiboko
ReplyDeleteHeeee..hii kali wadau!!
ReplyDeleteGreat! Hiyo kali...nimecheka sana.
ReplyDeletekwa kumalizia ikaamua waede kufanya DNA test ya wilaya nzima wakakuta wote wapo 100% machi. wakaamua kubadili ukoo wote wakajiita mushi.
ReplyDeleteby mosha
hahahaha, ahsante kwa joks imetutoa stress imenichekesha hadi walichangia wametufaruhisha
ReplyDelete...Alafu siku ya pili watoto waliobaki yatima/pekeyao manake baba na mama walichukuliwa na wazazi wao...aaaah
ReplyDeleteNimetoka kupigwa kibuti da nilikuwa nimenywea vibaya mno lakini baada ya kusoma hicho kichekesho na comment za watu nimecheka vibayaaaaaa mno hata kibuti nimekisahau.
ReplyDeletewe need some more!!!
tatizo la hii story haikuishia na happy ending!!! mtoto waa jirani akapata ngoma!!! wakaanza kumeguka mmoja baada ya mmoja wakabaki 8....
ReplyDeleteby mosha