
Kwa yeyote anayehusika:
Linki ya Tovuti ya Serikali kwa ajili ya zoezi tajwa hapo juu ni: http://www.dvlottery.state.gov
Mwenye kutaka ama anayefahamu mwenye kutaka kushiriki zoezi atumie linki hiyo na si tovuti nyingine zenye majina yanayofanana na hiyo.
Hayo maneno kwenye linki yakikosa kwenda sambamba hapo kutakuwa na walakini. Linki ni lazima iwe DVLottery dot State dot Gov (Gov for Government)
HAKUNA MALIPO YOYOTE yanayodaiwa kwa zoezi hili kutoka kwenye tovuti hiyo, si kabla wala baada!
Kazi kwako.
Subi
HAKUNA MALIPO YOYOTE yanayodaiwa kwa zoezi hili kutoka kwenye tovuti hiyo, si kabla wala baada!
Kazi kwako.
Subi
KUMBE SUBI ULIENDA U.S.A KWA GREEN CARD SIYO? EEEEE.
ReplyDeleteWe anony wa 12.12am badala ya kufurahi kuwa m-bongo ametoa link ya kuwasaidia wabongo wenzie, wewe unaleta jokes. Subi amewatahadharisha mwanzo kabisa kwamba kama haikuhusu ipuuzie.ila wewe hujakubali hadi ukapost nonsense.. Duh, wabongo mtabaki nyuma milele mkiendelea na tabia hii.
ReplyDeleteJokes are part and percel of our lives, they do make days to go, there was no ubaya wowote kufanya joke hiyo, kwani ni kuna ubaya gani kumuuliza kuwa alienda kwa hiyo bahati nasibu, kwani ni kitu ya aibu kwenda kwa hiyo bahati nasibu, basi asingetuletea !!! hiyo joke wala hazuwii maendeleo yoyote ya wabongo au upendo baina yao, maendeleo na upendo ni pamoja na kuwa wawazi na wakweli.
ReplyDelete