
--------------------
hongera kaka chaaaaazzzz kwa kusherehekea kutimiza miaka nanihiino. da! inagwa siku hazigandi lakini kaka umekwiva si mchezo. hata aboubakar mwana wa liongo haoni ndani...mashaallah!
nawe mdau saria hongera kwa tovuti bomba. mzee wa kiluvya usisahau jezi ya awei ya bwawa la maini kama tulivyoongea. saizi ile ile - maana nawe kwa kusahau hujambo....
-michuzi
Hongeza Brother Charles.Long Live.Ila siku hizi tunakumisi sana kwenye mambo ya macharanga. Kama vipi unaweza ongea tu na Uncle Tido akusawazishie Mambo pale TBC.Siku hizi Bongo tambarale kabisa kwahiyo usihofu masuala ya nanihii.Au kama vipi lianzishe libeneke hukohuko BBC.Badala ya taarifa ya habari ya saa nne asubuhi wewe twanga charanga moja (ubunifu tu)tehe tehe tehe!!
ReplyDeleteMdau, Cardiff
Hahah hongera mzee CHALESI HILALI JOKE Charles Hilal. au hilo la mwanzo hahaah. usitubanie SMS basi bbcswahili WESTHAM vipi? naona ISSA MICHUZI anaagizia tu jezi mwambieni jezi hali hahaaha mnapindika sana yeye anakula raha kwakwakwa. mzee wa kiswahili.
ReplyDeletekaka hongera sana,hiyo style yenu ya kucelebrate nimeipenda sana,hako ka-glass kamenitia kiu wacha na mimi niingie Break point nipate angalau mbili kwa ajili yako.
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY.
HAPPY BIRTHDAY TO YOU.......
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY TO YOU.......
HAPPY BIRTHDAY DEAR CHALESI
HAPPY BIRTHDAY TO YOU.....