Kutakuwa na hija maalum ya Jubilei huko Nyakijoga, Jimboni Bukoba tarehe 26/10/2008. Wakristu wote wanaalikwa kwenda kwenye hija hiyo ya Mama Bikira Maria wa Lurdi ili kujichotea neema tele na kupata rehema kamili kama ilivyoidhinishwa na Baba Mtakatifu Pio XII mwaka 1958.
Watakaoshiriki hija:
tarehe 17/10/2008 kutakuwa na mafungo St. Joseph kuanzia saa 8:30mchana mpaka 12:00 jioni
tarehe 25/10/2008 kutakuwa na hija maalum kwa waumini wa Dar es Salaam
tarehe 26/10/2008 kilele cha hija kwa wote.
Wote mnakaribishwa.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...