NACHUKUA NAFASI HII KUTOA MKONO WA IDDI KWA WADAU WOTE WA GLOBU HII YA JAMII POPOTE WALIPO DUNIANI.

PIA NATOA HONGERA KWA WADAU WOTE WALIOFUNGA KATIKA KIPINDI CHOTE CHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI. NAWATAKIA KILA LA KHERI WOTE WATAOENDELEA KUFUNGA SITA BAADA YA SIKU YA LEO
VILE VILE NAWAOMBA WADAU WOTE TUZINGATIE MAFUNDISHO YA VIONGOZI WETU WA DINI KWAMBA MEMA YOTE YALIYOADHIMISHWA WAKATI WA FUNGA YAENDELEZWE HATA KATIKA MUDA AMBAO SIO WA RAMADHANI. TUJIEPUSHE PIA NA MAMBO AMBAYO SUBBHANA WATAALLAH ANAYAKATAZA WAKATI WA KUSHEREHEKEA SIKU HII KUU.

WABILLAHI TAWFIQ

-MICHUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Asalaam aleykum,nashkuru kwa kututakia eid njema na kutukumbusha ambayo tunatakiwa kuendelea nayo, Mungu akutangulie kwa kila jambo. Kila la kheri

    Mdau Amsterdam

    ReplyDelete
  2. May Allah accept our saum,
    Forgive our sins,
    Have mercy on us
    And guide us in the right path ... AMEEN..
    EID MUBARAK TO ALL!

    ReplyDelete
  3. Tumekupata,na wewe pia.

    ReplyDelete
  4. Minal faidhina Sheikh Michuzi

    Nakutakia siku njema yenye fanaka.

    Wabillah Tawfiq

    Dommy

    ReplyDelete
  5. Asalaam Alaykum. Eid Mubarak everyone. May Allah bless yall and keep you and ur family safe and may he accept our month of fasting. Ameen

    ReplyDelete
  6. Kaka michuzi unayosema ni kweli kabisa. Ramadhani ni chuo ambacho waumini tunatakiwa kuchukua mafunzo yake kwa ajili ya miezi kumi na moja iliyobaki, sio kuanza kuvurunga right from day one of Eid. Kaka nimefurahi kwamba nafasi yako uliyoipata kwa jamii kupitia globu yako unaitumia pia kwa manufaa ya kiroho bila shaka una nafasi mahususi wa wajamii hivyo ni budi uitumie katika mema.

    ReplyDelete
  7. MICHUZI UTAZANI ULIPITA HARVARD UNIVERSITY , NDIO MAANA TUNAIITA BLOG YA JAMII HIYO UJUMBE WA JUU SIYO MCHEZO HAUKUBAGUA DINI WALA NINI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...