Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. NDUGU MARAFIKI ZANGU MIMI NAOMBA MSUDHURIE HIYO TARAAB KWASABABU HUYU MZZE YUSUPH KATIKA MOJA YA NYIMBO ZAKE ALIWAKASHIFU SANA WAKIMBIZI NA SISI WENGI NI WAKIMBIZI KISA KAKATALIWA NA MWANAMKE

    ReplyDelete
  2. Mzee yussuf hilo kundi la naksh naksh Zubeda Mlamali atakuwepo kama hayumo kwenye kundi lako jipya fanya jitihada za kumnunua huyo ndege anaimba na kughani kinamna babake, maneke sauti yake humtoa nyoka pangoni wallah, kila nyimbo aimbayo huwa tikcheeeee fanya jitihada zote awepo kwenye kundi lako uzidi kupata umaaruf ustadhiii

    ReplyDelete
  3. Mtoa maoni wa kwanza, hayo ni mawazo yako na jinsi ulivyoutafsiri ujumbe wa hiyo nyoimbo alomwimbia xx wake aidha wewe ni mhusika lisingekuuma hivyo mpaka unapiga upatu humu. ukweli hivi ni vitu adimu sana huko majuu na kunawapenzi maridhawa wapendao mambo ya mwambao sijui utwashawishije? usipohudhuria wewe wenzako wanakiu ya taarab live viti up to date wamechoka na copy, tena ukizingatia ni moja ya sehemu ya mtoko na kujirusha kwa vidole juu mshkaji tuliza boli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...