UONGOZI NA WACHEZAJI WA KIJITONYAMA CHIPUKIZI SPORTS CENTRE UNAYO FURAHA KUWAALIKA WADAU WA SOKA KUONA FAINAILI ZETU MBILI:-
1) UPENDO CUP ITAFANYIKA JANGWANI UWANJA WA VILLA SQUAD SIKU YA JUMAPILI TAREHE 12-10,SAA 10:30,KATI YETU NA GONGA F.C. U-17 .
2)FAINALI YA PILI NI SINZA CUP ,TAREHE 19-10,SAA 10:30 KATIKA UWANJA WA T.P MANZESE UZURI,KATI YETU NA SIFA UNITED U-17.
3)VILEVILE TIMU YETU B ILICHUKUA UBINGWA WA BONANZA LA IDD LILILOANDALIWA NA KIDIYOSA (CHAMA CHA MICHEZO KWA VIJANA WADOGO WILAYA YA KINONDONI) JUMAPILI ILIYOPITA.
NYOTE MNARIBISHWA .
BY CHRIS FIDELIS
KNY KCSC
0713 481980
AU
0732 587839
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...