Makamu wa Rais Dr. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda na Naibu Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Ali Juma Shamuhuna wakiteta katika kikao cha kujadili muungano kilichoongozwa na Dr. Shein kwenye ukumbi wa hoteli ya Bwawani, Zenji, leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...