mbunge wa kisarawe ambaye pia ni mbunge wa afrika mh. athumani janguo (pili shoto) akishiriki katika kikao cha 10 cha kawaida cha bunge la afrika leo hapa pretoria baada ya kufunguliwa na mwenyekiti wa umoja wa afrika JK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. eeeee umewacha kuweka commnt yangu kumbe unajua ni kweli. Mafisadi mnajua na kwa vilemba. To tell the truth. You are one of them na hii usiweke tena

    ReplyDelete
  2. Kwani imekuwaje tena hapo juuu mbona unacho lalamika hakieleweki jamani hebu irudie tena hiyo comment basi?

    ReplyDelete
  3. Anon wa pili umenichekesha hadi machozi yamenidondoka, wewe ni mtundu sana, unachokoza mada ili upate hilo lilokiongelewa, yaani uko kama mwandishi wa khabari.

    Bi Mkicheka Nambieni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...