Home
Unlabelled
jk atua sauzi kuzindua
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani kina Balozi michuzi na wengine mlio karibu na mheshimiwa rais mwambieni awache hii tabia ya kutia mikono katika mifuko ya suruali.
ReplyDeleteJK bwana nampenda sana. Anakwenda na wakati sana huyu na anaelekea anafuatilia mambo ya kimataifa sana (social) . Alikua anaweka kifua juu kama Bush. Sasa naona anaweka mikono mifukoni kama Obama.
ReplyDeleteNadhani ulipaswa kutujuza kwa uchache aliyonena JK huko bungeni Mh. Balozi, japo mawili-matatu ya msingi, au moja na kwa kifupi.
ReplyDeleteAu unawahi mlo kiongozi! Magazeti ya TSN tutasoma lakini globu yetu nayo itumike.
taifa linaingia gharama na hasara kubwa kwa raisi wetu kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika.
ReplyDeletenafasi hiyo wangeachiwa maraisi ambao uchumi wao uko imara kidogo kama south africa, botswana, au namibia.
kumbe anapandaga ka ndege, nilidhani asnakaogopa
ReplyDeleteNampongeza sana rais wetu anajitahidi kukidhi kazi zake zote za nje na za ndani ya nchi. Mungu ambariki ampe nguvu na afya njema aishi milele.
ReplyDeleteAnon: October 27, 2008 7:58 PM
ReplyDeleteRais wetu yeye huwa anaangalia Rais wa Malekani anabehave vipi?, alianza na style za jeans copy from Bush. Hiyo ya KUTIA MIKONO MFUKONI kaidaka toka kwa Obama, ambaye ana 79.999% ya kuwa Next President wa US. Sasa anaona aanze practice kabisa ili msije sema baadaye kuwa anaiga.
JK sijui kama ana habari na hali halisi inayoendelea nchini mwake. I mean umasikini unaozidi kuwashambuliwa watanzania kila siku. Vitu muhimu vya kutumia nyumbani kama nyama, kuku, mkaa na vinginevyo vimekuwa anasa.
ReplyDeleteMimi nilifikiri huu ndo wakati wa kukaa na wachumi kuburainistomu ili kuona nini kifanyike.
Sio lazima JK ahudhurie kila kikao, vingine unamtuma hata makamu au waziri mkuu.
Inabidi aige na wenzake wanavyobraistorm kama wakati wa credit crunch watafanyaje.....nchi nyingine zote waameguarantee savings .....kwetu nasikia wameguarantee pesa za EPA zitarudishwa na mafisadi....tehee hee!
ReplyDeleteI hope hela ya gas ya kwenda hukoo kwa masaa machache inatoka katika mfuko wa umoja wa africa. Kama sio hivyo basi tumeliwa
ReplyDeleteYaani kuna watu wanaandika upupu humu hadi unashangaa..... eti anatumia pesa za nchi kuwakilisha mikutano ya AU... toba rabi nionee hurumaaaa...
ReplyDelete