Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli, mmenigusa hapo sio kama amekula miguu ya kuku....bora kuku anachagua pa kukanyaga...amekula miguu ya BATA kila mahali anakanyaga...si kwenye maji si wapi.... khaa!!! tumekuchoka sasa.
ReplyDeleteUjana wapo hujawahi kupanda ndege???? au wazipanda ukubwani?? nakuuliza wewe Mzee CHEAP !!!(.....)
Ya leo kali.
ReplyDeleteUhuru wa habri bila mipaka una matatizo..
ReplyDeleteni sawa na computer GURUS ku-hack computer systems za ikulu kwa kisingisio cha kuwa walikuwa wana jifunza mbinu alizowafundisha mwalimu wao pale Mlimani...
soma hii kali..
http://www.channelregister.co.uk/2008/10/20/sarko_bank_fraud/
mamlaka yote duniani huwekwa na Mungu, hivyo hata rais wetu kachaguliwa huwezi ku---katuni!
vinginevyo.........ulaaaaanike..
ni sawa na wale walioooooooooomuuuuuuuuuu...PoPOaaaaaa!
jamani kipanya hata kama ni maoni sio kihivyo inapaswa mtambue huyo ni mkuu wa nchi..hivyo naomba muwe na heshima au sio wazee wa libeneke ni hayo tu
ReplyDeleteKipanya, well sed brodda!! lazima tutumie kila njia kufikisha ujumbe kwa mheshimiwa raisi. Freedom of press!!! Bush hadi kny sinema wanamuigiza sembuse katuni?
ReplyDeleteNi fundisho kwa sasa inatakiwa kupunguza maneno mengi kwenye ziara la sivyo yawezakutokea makubwa zaidi ya hayo,mfano ni hotuba ya mwezi okt au sept bungeni maneno mengi muda unakwenda mpaka wabunge walipotaka copy ya hotuba yake waliikosa sababu maneno mengi yalikuwa ya kichwani tu na wazee waprotoko wawe makini na muda la sivyo unga utapotea
ReplyDeleteNadhani kabla ya rais kuingia madarakani labda mlitakiwa mumtengenezee Job description ili iwe rahisi kuhoji haya mnayo hoji leo. Lakini kama hamkufanya hivyo na yote anayofanya yako ndani ya mamlaka na utekelezaji wa kazi zake basi hii katuni ni ya kufurahisha tu na wala haitoi ujumbe wowote wenye maana.
ReplyDeleteKatuni itapita na siku hazigandi.
Wekeni issues na sio personalities.
Watu wanaosema ni mkuu wa nchi na hawezi kuongelewa inaelekea hamjui kabisa maana ya Urais na public power.
ReplyDeletePublic power is always at the scrutiny of the public. Kuwa Rais maana yake nini? Wengi hamjui. Mnabaki kuabudu kama Mungu vile...kha! The Executive position comes with its limits bwana!..hehehehe.
Kipanya ana haki ya kutoa maoni yake. Mimi nilisema zamani mbona jamaa miguu mingi...tehehe. Watu wakajaa juu. Sijui analipiwa na AU, nk. Haya bwana...wacha kipanya aseme badala yangu...tehehehe
TO FREEDOM!
mtoto
jamaa anakuwa kama mwanafunzi na ndio maana anafanywa kama mwanafunzi. Mkuu wa nchi anatakiwa kuliona hili na kujipanga upya kutumikia nchi yake. Wewe baba ua mama wa familia anaacha familia na matatizo kibao anaenda kuzurula nje na kutembe usiku. Noma hiyo.
ReplyDeleteMbona hayo ni madogo!! mwulize king Mswati naye anamtambua, ni mzee wa kujiachia.
ReplyDeleteJamani lazima tutambue watu wengine mambo ya ngoma, kujiachia, kuhudhuria shughuli ndio zao hata kama wana dhamana ya taifa letu. Usimlinganishe na Baba wa Taifa au viongozi wengine wenye maadili. Kitendo cha kuingia ikulu, ilikuwa tkt ya kuingia kila mahala na kuwatembelea watu maarufu wote huko waliko akiwa na delegation kubwa.
Utamsikia ziara yangu nimeweza kuonana na akina fulani na fulani, hadi nimefika pale ktk club ya Real Madrid.Nimetoa mialiko kadha wa kadha kwa wanamichezo, maana nami nilikuwa mpenzi... Ok. haya yote nayo yana mwisho,wacha akate kiu yake, tumsubiri tu siku zinahesabika!!!.
mtu akila miguu ya kuku ni nafuu kwani hukanyaga sehemu nzuri kwa kuzichagua........
ReplyDeletembaya na kali...
mtu alaye miguu ya BATA..
mweeeeeeee..haichaguii pa kukanyaga kwenye kinyesi twende,maji machafu twende....
After criticising him...nadhani hapa pia kuna kutokuelewa katiba ya nchi. Mtu anayesimamia uendeshaji wa mambo ya serikali on day-to-day basis ni waziri mkuu. Hii inampa rais chance ya kutoka na kwenda kutangaza nchi. Mimi ndo maana nasema katiba inahitaji kubadilishwa kusudi watu waelewe zaidi. Pia wafundishe watoto kwanzia primary kusudi watu wajue katiba na haki zao za msingi. Mimi ninachouliza ni fedha zinazotumika huko katika safari ni kiasi gani? Mtakuja sikia EPA nyingine hiyo...chekeni tu!Inakula kwa wananchi tu kila siku!
ReplyDeletemtoto