ile globu mahususi kwa 'walevi' wa taswira inaendelea kama kawa kule libenekelataswira.blogspot.com
ambako unakutana na mambo kama hayo huku ukikaribishwa kuchangia maoni, darasa, taswira na kadhalika.
karibu sana mdau
-michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Brother Michuzi nilikutumia picha yangu niliyopiga Unguja wala hujaiweka ikakosolewa ili nijue kupiga picha. sasa hivi nimesusa blog yako ya taswira.

    ReplyDelete
  2. picha haijatulia kbs haina huai,ni giza tupu,siku ingine tafuta vitu vya uhai ivi then piga,,afu camera ulotumia ni ndogo sana (no capacity)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...