

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
This is what we like seeing about Tanzanians.... Congratulations Mr Cheyo.
ReplyDeletetatizo la wafanyabiashara wa tanzania sio Honesty, magembe alikoanzia mpaka hapo alipofika wala usitake kujua, he was a crook just like other busiess people,eti leo kapata tunzo? je wakifuatilia his business conducts zake sijui hata kama atasimama. any way hiyo ndiyo tanzania.
ReplyDeleteWe anony wa 2 kama una usongo shauri yako, kama alifanya ukuruku ndio akafika hapo mpongeze maana amewini, sasa basi na wewe kafanye ukuruku uwini umpe michuzi picha tukupongeze. nani asie kuruku Tz ndio maana inaitwa Bongo.
ReplyDeleteNi kweli namuunga mkono Anony wa kwanza. Hizi ndio habari kuhusu watanzania tunazopenda tungezisikia zaidi. Hongera sana kaka!
ReplyDeleteJamani Magembe za cku nyingi tutafutane!
ReplyDeletehongera sana,nawengine tuwige hii mifano, sio tena kuanza kukandia manake,manake imekua kawaida ya washindwaji maisha wao kukandaa tu. hongera sanaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDelete