
Katika tovuti ya Global Beauties, Miriam amewekwa namba 2 katika uchambuzi wa awali wa wataalam wa masuala ya urembo (soma:
/earth/2008/e08_tree.htm).
Nafasi hii ni ya juu na inaonyesha mafanikio ya Miriam Odemba katika mashidano haya. Hata hivyo Afrika inatabiriwa kufanya vyema mwaka huu kwani warembo wengine kutoka Botswana na Sudan ya Kusini pia wamewekwa katika utabiri huu wa 16 bora.
Lakini Miriam kawaacha mbali warembo hawa na wenzake wote isipokuwa mrembo wa Romania. Hii ni dalili njemakwani hata mwaka jana mrembo wa Miss Universe Tanzania 2007 Flaviana Matata aliwekwa katika orodha hii ya GLobal Beauties kama mrembo anayetabiriwa kufanya vizuri, na ikawa hivyo.
Hivi haya si mashindano ya nachural byuti? Mbona wanawake wetu wa afrika (karoso msudani) wana nywele bandia?
ReplyDeleteThis is pure nonsense
ReplyDeletejamani waswahili hamuachini hila kwani kinachoshiriki hayo mashindano ni nywele au mtu?
ReplyDeletenakubaliana na mdau aliyesema "this is pure nonsense" miriam kama haukufanikiwa wakati zile za face of africa mama sahau
ReplyDeleteumetanga tanga na njia na sasa uko huku jamani wadada wa kitanzania fanyeni mambo ya maana shule ni muhimu miss earth or whatsover won't take you anywhere get up na uangalie nini unataka and go for it na wadau wa urembo angalieni mbele
Wewe hapo juu unaona gere! kwani umeambiwa haja soma?
ReplyDelete