Dear Mhe Michuzi,
Natumaini umzima ukiwa unaendeleza libeneke.Ni mpenzi mkuu wa hii glob yako,Na nikaona si vibaya nikatumia nafasi hii ili unifikishie ujumbe ufuatao na kwa utakeyemhusu.
Kama Kuna kijana anataaluma ya mapokezi(RECEPTIONIST)Kuna nafasi za kazi Zanzibar Serena inn.
Awasiliane na,
Charles Kisaka
Assistant Front Office Manager
Zanzibar Serena Inn
Po Box 4151
Tel :( 255 24)2233587
Fax :( 255 24)2233019
Mobile: 0713733382
Email:ckisaka@serena.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...